Website design
Member
- Sep 8, 2017
- 55
- 259
Habari
Mimi ni mtaalamu wa masuala ya I.T
Nimefanikiwa kutengeneza mobile apps za food delivery kama ambavyo ilivyokuwa inafanya kazi jumiafood au ubereats
Hapa kunakuwa na apps 3 ambazo ni
1.application ya mteja anaye order chakula
2.application ya mmiliki wa restaurant ambaye anakuwa ameandaa menu yake na kui upload mtandaon
3.application ya delivery boy huyu ni dereva ambaye kazi yake ni kufuata chakula kutoka kwa mwenye restaurant na kupeleka chakula kwa mteja aliyefanya order
4.Kunakuwa na system ya kumonitor shughuli zote.. Hii system inakuwa ya mmiliki wa mfumo kucontrol apps zote
Mmiliki wa mfumo huu hana haja ya kuwa na restaurant.Bali anaingia mkataba na wamiliki wa restaurant kwa ajili ya wao kuweka menu zao online na mmiliki kupata % za kila order na pia hana haja ya kuwa na pikipiki(akiwa nazo itakuwa poa tu) ila anaweza kuingia makubaliano na wenye piki piki wakamfanyia delivery
Kazi kubwa ni kufanya marketing na kuhakikisha watu wana download application kwa ajili ya kufanya order za vyakula
Hapo ndipo inapokuja suala la digital marketing au social media marketing kwa ujumla.
Kwa yeyote mwenye nia ya kuwekeza kwenye hii business anakaribishwa kununua application hizi
CLOSED CLOSED CLOSED