Kuna Ujumbe Mzito Huku

Kuna Ujumbe Mzito Huku

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
42,665
Reaction score
50,638
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemjulia hali, Mama Fatma Karume,Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, ambaye anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Lumumba Zanzibar.

1786653238455.jpeg
 
Wanasiasa bwana! Watafanya kila kitu kuonekana humble, lakini tunajua macho yote yapo kwenye kura za familia ya Karume.
 
Back
Top Bottom