Video: Heche kuna ujumbe wako hapa, acha kuropoka

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
9,717
Reaction score
14,463

Najuwa ndani ya CHADEMA hakuna mtu wa kumkosoa. Huyu dogo hapa amempaka za uso.

My take:

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yuko overrated. Anahitaji kuwa adjusted kidogo. Sometimes anakuwa kama amevuta bangi.
 
GOgB3TOXEAA2tV5.jpg
 
View attachment 3651227

Basi tengeneza video nyingine kuikataa CMM, wanapokuja kwenye majukwaa yenu ya mpira na mziki kutangaza mambo yao siasa na kupiga simu kwa wakubwa wao kutoa salam kwenye jukwaa lisilo la siasa
 
Jamaa kama vile anaongea point ukimsikiliza kwa mhemko.

Lakini ukituliza akili utagundua Heche yupo sahihi, tumeshaona mara nyingi wasanii wakitumiwa na CCM kwa maslahi yake.

Tumeshaona pia kwenye mpira "goli la mama" linavyotumiwa kwa malengo ya kuwalainisha wenye mpira wao ili waanze kumsifu na kumuabudu mama yao.
 
Subiri matusi yatakayokuja .. Somo 101 la kuwa mwana chedema nomkufundishwa.matusi then Heche is always right.....
Kijana umeelezea vizuri anajiona yeye ndiyo Kila kitu. Kumbe ni failure
 
Vyama vyote duniani vina watu aina ya heche
 
Niseme kitu

Tuna changamoto kwamba bado tuna watu wachache walioimprove kutoka kwenye zile siasa za kizamani.

Zile siasa za kutojadili hoja badala yake zinawekeza kwenye kushambulia.

Mfano RC Makala alipoteuliwa kua katibu mwenezi kitu cha kwanza alichosema ni chadema inataka kusambaza ebola Tanzania.

Makala ni old school politician yeye aliamini bado tupo kwenye zama ambazo unaweza ongea kitu kizito na watu wakakipokea bila kuhoji.

Mfano mleta uzi anaposema "amempaka za uso" yeye hayupo excited na hoja, yupo excited na old school politics za kupakana matope.

Bahati mbaya kuelimika bado janga Tanzania kwa wengi wetu
View attachment 3651227
Najuwa ndani ya CHADEMA hakuna mtu wa kumkosoa. Huyu dogo hapa amempaka za uso.

My take:

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yuko overrated. Anahitaji kuwa adjusted kidogo. Sometimes anakuwa kama amevuta bangi.
 
Tufanye vyote tuepuke kuwa NGAZI , za wajanja na werevu wenye akili nyingi katika kufikia malengo yao,
#WENGI WA WALIOGEUZA WENZAO NGAZ
1000011042.png
I WAMEFANIKIWA KUWA NA MAJUMBA YA KIFAHARI/ NA MAISHA MAZURI SANA,
* Wakati zile ngazi zilizowapandisha zikikondeana na kupauka zikibakia kuropoka na kuwa na ghadhabu kali sana*
 
Jamaa kama vile anaongea point ukimsikiliza kwa mhemko.

Lakini ukituliza akili utagundua Heche yupo sahihi, tumeshaona mara nyingi wasanii wakitumiwa na CCM kwa maslahi yake.

Tumeshaona pia kwenye mpira "goli la mama" linatumiwa kwa malengo ya kuwalainisha wenye mpira wao ili waanze kumsifu na kumuabudu mama yao.
Kwa hiyo, siku moja wakipata mamlaka, hatutacheza mpira wala kusikiliza muziki, kwao havitakuwepo. Wote tutakuwa wanasiasa. Hata sheria sijui kama zitakuwepo.

Mahakama ni sehemu ya kudai haki duniani kote, lakini wakishitakiwa mwanachama wa CHADEMA, inaonekana si jambo linalokubalika. Hili linatukosea sisi wengine ambao ni wapenzi wa mpira, ngumi, muziki, ngono na burudani nyingine. Sote tukawa wanasiasa, itawezekana wapi? Itakuwa ni fujo, na hata wao wenyewe watashindwa kutawala.

Let's be serious Heche bado kinda kwenye uongozi na speech
 
Basi tengeneza video nyingine kuikataa CMM, wanapokuja kwenye majukwaa yenu ya mpira na mziki kutangaza mambo yao siasa na kupiga simu kwa wakubwa wao kutoa salam kwenye jukwaa lisilo la siasa
Huwezi ku manage feelings za watu, haya mambo ni spontaneous by natural stimuli. How can nchi mzima tujadili siasa tu??

Waache watu wapende vinavyo wafurahisha
 
Subiri matusi yatakayokuja .. Somo 101 la kuwa mwana chedema nomkufundishwa.matusi then Heche is always right.....
Kijana umeelezea vizuri anajiona yeye ndiyo Kila kitu. Kumbe ni failure
Wao matusi ndiyo sera zao, I know that
 
Kwa hiyo, siku moja wakipata mamlaka, hatutacheza mpira wala kusikiliza muziki, kwao havitakuwepo. Wote tutakuwa wanasiasa. Hata sheria sijui kama zitakuwepo.

Mahakama ni sehemu ya kudai haki duniani kote, lakini wakishitakiwa mwanachama wa CHADEMA, inaonekana si jambo linalokubalika. Hili linatukosea sisi wengine ambao ni wapenzi wa mpira, ngumi, muziki, ngono na burudani nyingine. Sote tukawa wanasiasa, itawezekana wapi? Itakuwa ni fujo, na hata wao wenyewe watashindwa kutawala.

Let's be serious Heche bado kinda kwenye uongozi na speech
Chadema ikipata mamlaka wafiraji,mafisadi,wauwaji ma-cartels ya mafuta lazima yakimbie Nchi halafu mpira utatumika kwa malengo ya mpira sio siasa.
 
Back
Top Bottom