Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 62,732
- 105,393
Marehemu hakufa kifo cha kushtukiza, alijua ugonjwa wake utampeleka kaburuni ndio maana akaomba hadi mpako wa wagonjwa,
Je hakuacha ujumbe wowote wa kuzingatiwa kwa aliokuwa akifanya nao kazi kwa karibu?
Kwa nini hatujawahi kusikia wosia wa marehemu kutoka kwa yeyote aliyekuwa karibu naye?
Kama aliacha wosia je ulizangatiwa kama mila na tamaduni za Africa zinavyotaka wosia wa marehemu kuzingatiwa?