Miaka fulani , niliwahi kuinteract na jamii ya wasomali sasa katika maongezi yao nikawauliza hivi nyie inakuwaje mtu anaweza kuja mkamkopesha kiasi cha pesa bila dhamana wala maandishi yoyote?
Wakasema ni uaminifu tu miongoni mwa jamii ya kisomali, ila nikaona niwachimbe zaidi ndio kugundua Somali kuna kitu wanaita "communities" japo sio kwa lugha rasmi sasa ile community inabeba jamii fulani ya wapi yaani msomali fulani akijitambulisha tu jina anajulikana ni wa jamii fulani hivyo ikitokea kaenda kinyume atafuatiliwa hadi chini kule kwenye chimbuko lake na atashughulikiwa vilivyo.
Mantiki ya kutoa huu mfano ni ipi, miaka nenda rudi tumekua tunasikia watu fulani anateka fulani anaua ila hatua hazichukuliwi na mamlaka.
Wanaoteka na wanaoua wanasababisha majonzi na simanzi kubwa kwa familia za waliopotea , hebu fikiria kuanzia 2016 hadi leo familia ya Ben Saanane haijawahi kumuona kijana/mume/baba ambaye hawajui kama ni mzima au yu hai na hata kama si mzima hawakupata hata nafasi kumzika kwa heshima na kujua amezikwa wapi.
Ifike mahali utekaji ujengewe awareness na kutambulika kama ni janga la kimataifa nina mawazo aina mbili.
Moja familia zote za waliowahi kutekwa /kuuwawa waunde umoja watafute wakili wakusanye ushahidi wafungue kesi mahakama za kimataifa na waweke pressure ya kutosha kupitia njia mbalimbali kama makala, vipeperushi vya wapendwa wao waliopotea jamii ikilioona hili suala kwa mawanda mapana [sio kuumia hadi atekwe ndugu yako] basi hata tahadhari zikatolewa naamini kutakua na uamsho fulani.
Pili, hii ni njia iliyo rough ila naona ndio inaweza kuwa tiba ya matukio haya yanayotekelezwa na washenzi wenye kinga za dola , kwa mfano niliotolea kwa jamii za wasomali kumfuatilia mtu hadi chimbuko lake ndio sababu ya uaminifu na kuogopa hadi wale wapendwa wake wa ndani kabisa kufikiwa humfanya mtu kuwa na adabu na kusimamia misingi na ustaarabu njia hii hii itumike kudeal na watekaji.
Akijulikana mtekaji/muuaji , maana hawakai sayari ya Mars , wana ndugu [mke, dada, kaka, shangazi, mjomba, watoto nk] familia za waliotekwa wakiungana wakatafuta mtu nae akaangusha ndugu wa muhimu kabisa toka familia ya mtekaji /muuaji lazima kutakuwepo na kuheshimiana.
Ustaarabu kwa sasa umeonekana mgumu matukio ya utekaji yanashamiri na washenzi wana kinga haramu za kidola hivyo watu wakianza kuumiza familia zao ule utu utarudi na kuheshimiana kutakuwepo.