ujumbe

  1. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa faraja

    “Tumepitia mambo ngumu sana kama taifa, na wengi wamepoteza walio karibu nao. Pole kwa familia zote zilizoathirika maumivu yenu ni ya kweli na yanaguswa na wengi. Katika wakati huu majonzi yakiwa hayajaisha, tuendelee kushikana, kutiana nguvu na kulinda utu wetu. Tuwafariji walioumizwa na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Kwa Ukhti Niffa

    Ujumbe Kwa dada Niffa Assalamu Alaikum wa Rahmatullah Niffa, Ningependa nikushirikishe maneno ya wema na hekima kwa sababu nakuheshimu kama dada yangu katika Uislamu, na natamani uishi maisha yenye utulivu, heshima na baraka za Allah katika dunia hii na Akhera. Niffa, mtihani ulioupitia si...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kwanza wa Niffer baada ya kutoka gerezani

    Baada ya kuachiwa huru mapema Jumatano, kufuatia uamuzi wa DPP kufuta mashtaka yake, mfanyabiashara na mwanamitandao maarufu Jenifer Jovin (26) “Niffer” amerejea kwa nguvu mpya na ujumbe mzito uliowagusa maelfu ya wafuasi wake. Katika video aliyoipakia akiwa ndani ya msikiti, Niffer alionekana...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Niffer kama kweli kaachiwa huru, kwanini gari lilomchukua lilikuwa na Polisi wa kike na hapo hapo kaitishiwa Vyombo vya Habari

    Haya ndio mweshimiwa lissu aliyakataa yani utoke kwa makubaliano kisa mkubwa na sio mahakama. Angalieni video vizuri ya niffer ambayo unaona alivyotoka mahakamani bado yupo na mapolisi na usalama. Hii script ya CCM kusema raisi kawa na haki ni uwongo.
  5. Mfilisiti

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwenu nyinyi mnaombeza Augustino Polepole "Kisasi hakina Deadline"

    Watanzania tunaishi kwa mazoea sana, hata tarehe 29 wengi wenu mlitoa maneno ya kejeli mkisema ni mikwara tu, Je kilitokea nini?? Augstino Polepole amewapa masaa 24 ndugu yake awe amepatikana, kinyume na hapo ni kisasi. Augustino Polepole hajasema kisasi kitatekelezwa lini. Kisasi hakina...
  6. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mc Pilipili Amewaachia Ujumbe Wanaume Hapa

  7. B

    JamiiForums Tanzania Chalamila atuma ujumbe mzito kwa waliosema watakata watu vichwa

    24 November 2025 RC ALBERT CHALAMILA MKUU WA MKOA WA DSM ATUMA UJUMBE MZITO KWA WALIOSEMA WATAKATA WATU VICHWA https://m.youtube.com/watch?v=Gv-JhuTHmN4 mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni mwenyekiti kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa inayokusanya wajumbe kutoka jeshi la polisi...
  8. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa M7 kwa wanaokunywa sana pombe

  9. TODAYS

    JamiiForums Tanzania SOMA: Ujumbe Kutoka Zanzibar Kuelekea Dec. 9. 2025

    Mimi niko Zanzibar, huku hali ni mbaya kuliko hata bara, hakuna utaliii Zanzibar tokea vurugu zianze bara na sababu ni hii, hakuna wataliii wanaotokaga makwao kuja TZ kwa ajili ya kwenda Zanzibar, huwa wanakuja kwa ajili ya kwenda mbuga za Wanyama then Zanzibar huwa wanamalizia ku relax beach...
  10. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ujumbe Kwako Mwigulu, Usimjaribu Mungu Wala Usimkufuru

    Nimemsikia Mwigulu alipopewa nafasi ya kutoa salamu zake kwa waumini alipohudhuria ibada kwenye kanisa lake la KKKT. Kwenye ujumve wake, amewaomva waumini wamwombe Mungu aliletee amani Taifa. Hii ni kufuru kubwa mbele za Mungu. Kila siku watawala wapo busy kutengeneza mazingira ya kugukuza...
  11. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali iruhusu maandamno ya D9 lakini yawe na viongozi, ujumbe na destination

    Ni wazi kwa sasa siyo rahisi kuzuia maandamano ya Gen Z kutokana na kwamba vijana wako tayari kufa. Radicalisation iliyofanyika through mitandao na matokeo ya Oktoba 29 yanaonyesha hawana cha kupoteza. Kwa ushauri wangu sioni ubaya Serikali wakawaruhusu waandamane kwa mujibu wa Katiba ya JMT na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Godbless Lema baada ya kupata dhamana

    Kaandika hivi kupitia mtandao wa X: "Kukata tamaa katika kuutafuta wema wa watu ni dhambi mbaya sana ktk maisha ya Binadamu. Kuutafuta wema na haki inapaswa kuwa kusudi la kila mmoja ktk maisha. Matatizo mengi duniani yanasababishwa na watu wema kukaa kimya wakati uovu unashamiri. Mateso kwa...
  13. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Mzee wetu Clemence Mwandambo ana ujumbe kwa vyombo vya serikali

    Huyu mzee ana vitu tunavitaka, yupo zake huko vijijini anawachapa CCM na serikali yake.
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania MCh. Carlos R.W.Kirimbai: Ujumbe kwa Taifa la Tanzania juu ya athari ya damu isiyo na hatia inayomwagwa na binadamu wengine katika nchi yetu

    Huu ni ujumbe wa Mungu muumba kwa Watanzania; Damu ya mtu ikimwagwa isivyo halali juu ya nchi (ardhi yenye mipaka rasmi na halali) nchi husika inanajisika. Nchi ikinajisika hamna sadaka wala kafara iwezayo kuondoa huo unajisi ila damu ya huyo aliyoimwaga vinginevyo nchi itabaki najisi...
  15. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Mzee wetu Mwandambo ana ujumbe kwa Jeshi letu la Wananchi

  16. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Angalia mwamba alichomfanyia rais wa Mexico, kijana ajaribu kumpiga busu rais hadharani

    ukio lisilotarajiwa limezua gumzo nchini Mexico baada ya video kusambaa ikimuonyesha mwanamume mmoja akijaribu kumbusu Rais wa Mexico, Claudia Sheinbaum, alipokuwa akitembea katikati ya umati jijini Mexico City. Sheinbaum, ambaye ni rais wa kwanza mwanamke katika historia ya taifa hilo, alikuwa...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ujumbe uliosomwa nje ya mahakama ya ICC leo Novemba 5, 2025

    Ujumbe uliosomwa nje ya mahakama ya ICC asubuhi ya leo juu ya kile kinachoendelea Tanzania, waandamanaji wanaitaka mahakama ya ICC kuchukuwa hatua kali juu ya Mauaji ya Tanzania.
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Mahsus kwa Watu Mahsus Kuhusu Watekaji, Watesaji na Wauaji 'Wasiojulikana' wa Watanzania!, Machozi, Jasho na Damu, Inakulilia!, Itoshe!, Iishe!

    Wanabodi Kwa muda mrefu taifa letu limekuwa linakabiliwa na hili jinamizi la watu wasiojulikana, ambao wanateka Watanzania, wanatesa Watanzania, na wanaua Watanzania bila huruma. Kila tukio wanalofanya, wakifanya mchana mbele ya watu, wanakuja na silaha nzito na magari kama ya polisi, na...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ujumbe muhimu sana kwa watanzania wote

    01 November 2025 SIKU YA 4 : MAANDAMANO UJUMBE MUHIMU SANA KWA WATANZANIA WOTE https://m.youtube.com/watch?v=P5euUGyx3LQ WaTanzania mwenzenu nina ujumbe muhimu. Kwanza nawapongeza GenZ na leo ni siku ya nne na mnafanya kazi takatifu. Mmeonesha kiu ya mabadiliko. Historia itawakumbuka kwa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mdada ajilipua, amwaambia Polisi wamepoteza uhalali kwa waTanzania

    Ujumbe umekaa kizalendo sana: Naona Polisi mmepoteza uhalali wa kuwaelekeza waTanzania cha nini chakufanya bali mnatoatoa maelekezo hayo maelekezo mmepoteza uhalali kwa sababu msingi wa kuundwa kwa jeshi la polisi ilikuwa ni kulinda Raia na mali zake na si kulinda mafisadi, wezi wala...
Back
Top Bottom