ujumbe

  1. Slobodan Mirosovich

    JamiiForums Tanzania UMEELEWA NI K KUHUSU UJUMBE WA PICHA HII

    Ujumbe huu nimeukuta mtandao wa Twitter(x) mwandishi hajaongeza neno lolote zaidi ya picha Nakaribisha tafakari
  2. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni hii leo akutana na Ujumbe wa Abdul Hafidh mtoto wa Samia ikulu ya Entembe. Hivi huyu dogo ana cheo Gani serikalini?

    Kuna maswali yanakuja kichwani kwangu bila majibu. Rais wa Uganda anampokea kwa itifiki ipi je ni ya kiserikali au huyo bwanamdogo ni mfanyabishara au mwanasiasa au balozi wa hii Serikali? Mwenye ufahamu tafadhali maana nachanganyikiwa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake afika Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinavyoweza kunufaisha Tanzania na Uganda

    Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake akaribishwa Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinzvyoweza kunufaisha nchi hizi Mbili
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania UJUMBE WA ASUBUHI: kwa sababu tu unaendana nao/navyo haimaanishi ndio stahili yako au ndio panakufaa/wanakufaa

    Sawa ni marafiki zako ila sio lazima uende nao. Sawa ni ndugu zako ila sio lazima uungane nao.
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Misemo na methali mbalimbali zenye nasaha na ujumbe mzito kutoka kwa watu jamii ya Kihindi

    Kuna misemo mingi maarufu ya Kihindi. Hapa kuna baadhi yake pamoja na maana zake: “Duniya gol hai” (दुनिया गोल है) 🌍 Maana: Dunia ni duara. Mara nyingi hutumiwa kumaanisha kuwa dunia ni ndogo; unaweza kukutana tena na mtu au jambo ulilodhani limepita. “Jo hoga, achha hoga” (जो होगा, अच्छा...
  6. zaza1

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Heche

    Heche, kupambana kisiasa ni haki yako, na kukosoa mfumo ni sehemu ya demokrasia. Lakini siasa haipaswi kufika mahali ambapo furaha, maendeleo na maslahi ya Taifa yanafanywa kuwa mhanga. Kama kweli kuna kauli za kuzuia au kuhujumu mambo yenye maslahi mapana kwa Tanzania—ikiwemo michezo, Yanga...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wahadhiri 100 kuchanga sh laki tano pekee kwa Mhadhiri wa UDOM anae shitakiwa kwa ugaidi. Je huu ndio ujumbe wanao upeleka kwa serikali ya Samia? 👇👇

    Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
  8. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Video: Heche kuna ujumbe wako hapa, acha kuropoka

    Najuwa ndani ya CHADEMA hakuna mtu wa kumkosoa. Huyu dogo hapa amempaka za uso. My take: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yuko overrated. Anahitaji kuwa adjusted kidogo. Sometimes anakuwa kama amevuta bangi.
  9. Faana

    JamiiForums Tanzania Kuna Ujumbe Mzito Huku

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemjulia hali, Mama Fatma Karume,Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, ambaye anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Lumumba Zanzibar.
  10. Etwege

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kifo kwa Rais wa Syria inatuma ujumbe gani kwa wahusika wa October 29?

    #HABARI: Wakazi wa mji wa Idlib nchini Syria wamekusanyika kusherehekea baada ya mahakama kumhukumu kifo Rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al Assad. Mahakama moja nchini Syria imemhukumu kifo kwa kutokuwepo rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, kwa makosa yanayohusiana na uhalifu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa leo: Hakuna uhaini wa mtu mmoja, labda kama ulimlenga risasi rais

    Tafakari kesi ya Lisu inavyoendelea......................................... Anyway kesi ikiwa mahakamani wanasema tusiijadili....
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Ujumbe ambao Hatari Mkapa aliwaambia CHADEMA

    My Take Chadema ni wapumbavu sijui wanahubiri ukombozi gani wakati Tanu ilishaleta ukombozi 😂😂👇👇 https://www.instagram.com/reel/DbsGl72oHQJ/?igsh=cXJvajNzaTVnZXd6
  13. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa machawa wote

  14. S

    JamiiForums Tanzania Leo nataka niwaeleweshe juu ya ishu ya "vacancy not budgeted" kwenye mchakato wa uhamisho wanaokutana huu ujumbe

    LEO NATAKA NIWAELEWESHE JUU YA ISHU YA "VACANCY NOT BUDGETED" kwenye mchakato wa uhamisho wanaokutana huu ujumbe
  15. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa John Heche kwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza (Mutafungwa)

    Bwana Mtafungwa unataka nije kuripoti nini kwako? Yaani nije kukupa ripoti ya jambo ambalo unalijua ili iweje? Hiyo gari yenye namba fake ambayo inatoka ofisi ya RCO unataka nije kukuambia nini? Kama jambo liko kwenye public unahitaji mimi kuja au wewe kufuatilia na taarifa zako za...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  17. Khantwe

    JamiiForums Tanzania Mabinti Sayuni kuna ujumbe wenu hapa

    Hakyamungu, ndio maana huwa silali kwa watu
  18. D

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo Ujumbe wangu kwa Dotto Magari.

    Ujumbe wangu kwangu Dotto Magari, haya majaribu unayopitia ya kuhusishwa Kwamba umeathirika na Virusi vya UKIMWI ni mpango wa MUNGU ambao amekuandalia katika Maisha yako Kwamba ipo siku haya yatatokea. Mimi nikushauri Mdogo wangu usikate tamaa ugali wako na familia yako hakuna atakayelisha...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu hii picha imebeba ujumbe mzito sana

    Ujumbe huu ni mzito sana. 👇
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wana-JF tusiwe wavivu ku-comment na kuishia kutoa likes nk peke yake; reply thread nzuri ili zikae kwenye chat muda mrefu na ujumbe usomwe na wengi

    Kuna watu wanatembelea JF ilikusoma threads za watu wengine na kazi yao ni kutoa likes, laughs, dislikes, fire etc peke yake, Nadhami mnatambua JF wametengeneza system kwa namna mbayo thread isipopata replies au comments basi itazidi kushuka chini na kupotea, ili kutoa nafasi ya juu kwa thread...
Back
Top Bottom