ujenzi

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Siasa za Ujenzi wa Viwanda: TRA na Wizara ya Viwanda ni watuhumiwa wa kwanza

    Hongera CCM kwa kutimiza miaka 44. Jana nimefuatilia kidogo mjadala wa CCM uliokuwa unaongozwa na Comred Polepole, wachangiaji wa mada walishindwa kueleza sababu hasa za nchi yetu kushindwa kutunga na kutekeleza na kusimamia sera za kujenga uchumi wa viwanda ili kutuondoa katika dimbwi la...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya Wilaya ya Kinondoni unaendelea Kwa kasi Mabwepande

    Picha inajieleza vema kabisa Ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Kinondoni umeshika kasi sana na upo mbioni kukamilika. Matumizi sahihi ya rasilimali zetu huleta matokea chanya. Hongera Rais Dkt John Magufuli kwa kutimiza ahadi.
  3. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa mambo ya ujenzi

    Habarini ndugu zangu, Nataka kuanza kujenga nyumba ya kuishi, maeneo ni Dar es Salaam, naombeni mbinu bora ya kufanya ujenzi katika angle ya kuwalipa awa mafundi ujenzi, kuna fundi nimeongea nae kuhusu kuniwekea msingi tu wa mita 12 kwa 12 aliniambia almost milion 1.8 nimechoka na kuchoka...
  4. Abdul Ghafur

    JamiiForums Tanzania Unajenga? Tuna aina mpya ya vifaa vya ujenzi vinavyokupunguzia gharama za ujenzi na kukuokolea muda

    Kama unajenga au una plan kujenga au u fundi ujenzi au unataka kuongeza nafasi kwenye nyumba ya bati uliyonnayo sasa, wasiliana na na sisi kwa ushauri wa bure na kujionea aina mpya kabisa ya ujenzi unaokupunguzia sana gharama za ujenzi. Mafundi wote ujenzi tunawapatia masomo ya bure kabisa kwa...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania TAFAKURI CWT: Kwani umoja wa walimu hawawezi kumiliki kampuni/kitengo chao cha ujenzi wakawa wanajenga shule zao wenyewe kama wafanyavyo SUMA JKT?

    Habari zenu waheshimiwa wa humu jamiiforums. Eti ndugu zangu; Kwani umoja wa walimu hawawezi kumiliki kampuni/kitengo chao cha ujenzi wakawa wanajenga shule zao wenyewe (Primary & Secondary) kama wafanyavyo SUMA JKT? Kwanini tenda apewe mkandarasi mwingine wakati walimu wanaweza kuunda umoja...
  6. Faana

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Ujenzi wa Barabara 88 hadi Tungi una Kasoro

    Naandika kukufahamisha Meneja wa TARURA Morogoro kukufahamisha kuwa kama umekaa ofisini nenda site kasimamie kazi, tunashukuru serikali imetoa fedha kwaajili ya ujenzi wa barabara hiyo lakini yaelekea kuna fedha inaliwa na wajanja. Haiwezekani kampuni ikapewa kazi ya kujenga barabara bila...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Zijue aina za mitambo mikubwa zinazotumika kwenye shughuli mbalimbali za miradi ya ujenzi mkubwa

    Aina mbalimbali za mitambo itumikayo kwenye tasnia ya ujenzi. Excavators Backhoe Dragline Excavator Bulldozers Graders Wheel Tractor Scraper Trenchers Loaders Tower Cranes Pavers Compactors Telehandlers Feller Bunchers Dump Trucks Pile Boring Machine Pile Driving Machine 1.Excavators Fig 1...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anaweka jiwe la msingi ujenzi ofisi ya halmashauri ya Malunga Kahama - Shinyanga!

    Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV. Up dates; Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya. Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka. Maendeleo hayana vyama!
  9. X

    JamiiForums Tanzania Ujenzi kutumia Interlocking blocks

    Nimeangalia nchi nyingi katika ujenzi wanatumia Interlocking blocks. Je, kwa nini sioni ujenzi huu Tanzania? Kuna mtu anaweza kutujulisha ni unaweza kusaidia kupunguza gharama za ujenzi kwa kiasi gani hasa wakati huu ambapo gharama za ujenzi zimepanda?
  10. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Ubunifu waibeba Arumeru ujenzi wa madarasa

    Naibu waziri ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe David Lusinde (Mb) amesema kitendo cha ubunifu wa ujenzi wa shule tatu za mchepuo wa kingereza ambazo zitakuwa zinamilikiwa na Serikali kupitia Halmashauri ya Arusha Dc zitasaidia kuchochea kasi ya Ujenzi wa madarasa kutokana na mapato ya shule hizo kila...
  11. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini watu huzungusha mabati site wakati wa ujenzi?

    Hapo vip! Binafsi najua baadhi ya sababu za kuzungushia mabati katika saiti ya ujenzi ila ningependa kufahamu sababu zingine kutoka kwako?
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mtendaji wa Kijiji cha Hydom amshindilia makonde mwanakijiji. Asimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Taarifa zinaonesha kwamba Mh Mtendaji anaitwa Adella na ni Mtendaji wa kijiji cha Hydom kilichopo Mbulu , mkoani Manyara. Cha kushangaza ni kwamba Mwananchi aliyedundwa ndiye ameshtakiwa mahakamani kwa kumshambulia Mtendaji. Nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazalendo waliorekodi tukio hili la...
  13. babu M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Shule ya sekondari ya Ihungo umegharamiwa na serikali ya Tanzania au UK?

    Nimesoma sehemu jana inasema kwamba shule ya Sekondari ya Ihungo imejengwa na serikali ya Tanzania baada ya kuharibiwa na earthquake. Lakini leo katika ufunguzi nimemwona kuna mzungu fulani nadhani ni balozi wa UK Tanzania akiwa kwenye msafara lakini kama anapotezewa vile. Hii imeni-prompt...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kamata kamata michango ya ujenzi wa shule Kagera

    Mabibi na mabwana hii imekaa je. Pana habari tokea pande za wilaya ya Ngara kuwa wanakamatwa watu hovyo kisa 10,000/= michango ya ujenzi wa shule hasa pande za kule Rusumo. Sheria zipi zinazohalalisha unyanyasaji huu? Au ni moja ya zile amsha amsha katika ziara ya lile jembe letu mkoani Kagera...
  15. Granite

    JamiiForums Tanzania Engineer wa Ujenzi natafuta kazi

    Wakuu naleta kwenu maombi yangu ya kazi za ujenzi, nimesota mtaani miaka mitatu. Nimefanya vibarua vya kujitolea kwenye miradi ya kampuni ndogo sijafanikiwa kupata ajira. Naweza kusimamia Site iwr ya mradi wa Majengo, Barabara au Maji, naweza kufanya Design, naweza kutumia Software za...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza mchakato wa ujenzi wa Mradi Mkubwa wa Umeme Mto Ruhudji Njombe

    Timu ya Watalaamu wa Serikali imefika na kufanya ukaguzi wa kwanza katika maporomoko ya mto Ruhudji katika kijiji cha Itipula mkoani Njombe ambao unatarajiwa kujengwa mradi mkubwa wa umeme utakaozalisha megawats 358 za umeme. Mradi huo ambao utajengwa katika kipindi cha miezi 36 unaotarajiwa...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Balcony inachukua nafasi kubwa ya eneo, unaweza kujenga ghorofa bila balcony

    Nimeona hii nyumba na kutafakari. Kwa wale wapenzi wa ghorofahii ni plan ni ya bei nafuu. Juu Ina vyumba vitatu vya kulala a family bathroom. Chini ina jiko, choo, sebule na dining. Katika kiwanja cha kawaida cha 1/4 eka unaweza kujenga hii nyumba na nyuma ukapata nafasi ya banda la kuku...
  18. Olmost

    JamiiForums Tanzania Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

    CHATO STADIUM KUJENGWA HIVI KARIBUNI‬ ‪Waziri Medard Kalemani amesema Serikali ipo mbioni kujenga Uwanja wa mpira wa Chato Stadium ambao amedai utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na hasa Watalii wanaotoka nje ya Tanzania --------- Serikali imetangaza kujenga uwanja mkubwa wa mpira...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania imelipa kampuni za China wastani wa $1B kwa mwaka kwa ujenzi pekee

    Kwa maelezo ya Raisi Magufuli mwenyewe Tanzania imelipa kampuzi za China $10B kwa miaka 10 iliyopita! hii ni wastani wa $1B kwa mwaka. Hii inashutusha kwa jinsi tunavyotoa wahandisi kwenye vyuo mpaka sasa bado kazi nyingi zinafanywa na makampuni ya China. Kazi nyingi kama za majengo, visima...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kuchangia Ujenzi wa madarasa ni maendeleo ya Vitu au Watu?

    Nauliza tu maana hapa Kihesa Iringa kuna watu wanasuasua kuchangia ujenzi wa madarasa kwa madai kuwa hiyo siyo sera ya chama chao. Binafsi nimeshachangia mifuko 10 ya cement. Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka. Maendeleo hayana vyama
Back
Top Bottom