ujenzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Barabara Mbezi - Makabe: Waziri wa Ujenzi njoo uone TANROADS walichokifanya

    Kuna matengenezo ya mitaro ya maji taka yalikuwa yanafanyika na yalianza kipindi cha mwishoni kabisa cha uhai wa JPM. Na Mara tu alivyofariki jamaa hawakurudi kumalizia kazi kana kwamba waliona hakuna wakuwawajibisha tena. Ni ngumu kuelezea kazi ilivyofanyika , lakini kwa macho tu HUWEZI...
  2. Paa

    JamiiForums Tanzania Bei za Malighafi mbalimbali za ujenzi

    Nimeona nianzishe uzi wa ku-update bei za vitu mbali mbali vinavyotumika katika ujenzi... kama mabati, tofali, kokoto, rangi, misumari n.k Uzi utakuwa updated kila wakati bei zinapobadilika na kama kuna material mpya ambayo haimo kwenye thread itaongezwa kwenye list katika post namba #2 ambayo...
  3. instanbul

    JamiiForums Tanzania Stendi kuu ya mkoa wa Kagera inahitaji marekebisho

    Wakazi million tatu na laki mbili wanaoishi katika mkoa huu wa kagera hasa mji mkuu wake bukoba wanazidi kushangaa ukimya wa viongozi wa mkoa, wanasiasa, wasomi nk ambao hupita kila siku katika hii stendi (maana ipo katika barabara kuu iingiayo mjini) wanavyojikausha kama haiwahusu vile hiki...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba kwa kutumia tofali mbichi

    Habarini wadau, Nimetembelea mikoa ya KIGOMA, Rukwa, Katavi na kukuta wao wanapendelea tofali za kuchoma na zile za saruji! Mkoa wa Mbeya wao wanatumia hata tofali mbichi kujengea! Hivi tofali hizi ni imara kweli? Kuna utafiti wowote kuunga mkono uimara wa tofali mbichi za MBEYA?
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbunge ameomba fedha kwajili ya ujenzi wa daraja katika kata ya Loya ambalo watu zaidi ya ishirini wanafariki kila mwaka

    Mbunge wa jimbo la Igalula, Venant Protas ameomba kutengwa fedha kaajili ya ujenzi wa daraja katika kata ya Loya ambalo watu zaidi ya ishirini wanapoteza maisha kwa kusombwa na maji hasa akinamama wajawazito wanaofuata huduma kata jirani na wanafunzi. Venant amesema Daraja hilo limekuwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde agawa tani 29 za saruji kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na zahanati Dodoma Jiji

    MBUNGE MAVUNDE AGAWA TANI 29 ZA SARUJI KWA AJILI YA UJENZI WA MADARASA NA ZAHANATI DODOMA JIJI Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde leo amekabidhi saruji tani 29 kwa Afisa Elimu Msingi na Afisa Elimu Sekondari ili kusaidia ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo kwa shule za msingi...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara ya mwendokasi, Magomeni - Karume waanza kwa fujo

    Naona barabara ya kuelekea Karume tokea Kigogo 2014 inayotokea magomeni imeshaanza kufumuliwa na kutanuliwa kwa fujo, tayari kwa kutandikwa mkeka wa BRT. Taarifa zimfikie CAG. Leo naweka picha kabisa.
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mwita Waitara akagua kazi za ujenzi mkoani Mara

    Leo amekagua sehemu mbali mbali mkoani Mara ambazo zinafanyiwa ukarabati baada ya kuharibika sababu ya Mvua. Huyu ndie jembe aliesambaratisha iliyokuwa ngome ya Chadema Tarime. Bigup Waitara piga kazi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kimei aishukuru klabu ya Rotary Mwika kushiriki maendeleo vunjo

    Na Mwandishi Wetu Vunjo. Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameishukuru klabu ya Rotary ya Mwika kwa kujenga kivuko cha Koongo-Saghai kinachounganisha kata za Mwika Kusini na Mwika Kaskazini. Ujenzi wa kivuko hicho umegharimu shilingi milioni 10.5 fedha zilizotolewa na...
  10. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Fahamu ujenzi wa SGR unavyoendelea

    TANZANIA :- FAHAMU UJENZI WA SGR UNAVYOENDELEA Ujenzi wa Reli ya Kati kwa Kiwango cha Kimataifa (Standard Gauge Railway) ambapo ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam - Morogoro (km 300) umefikia asilimia 90.34 na kipande cha Morogoro - Makutupora (km 422) asilimia 57.57. Aidha, tayari Serikali...
  11. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Esther Matiko: Tenda za ujenzi wa bandari ya Bagamoyo zitangazwe upya

    Mbunge wa viti maalum kutokea Chadema mh Esther Matiko akichangia bungeni, amesema kama ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kutoka kwa Wachina una mashariti magumu, basi tenda zitangazwe upya na makampuni yaombe ili sisi Watanzania tuamue ni kampuni ipi itujengee kwa manufaa ya taifa letu. My take...
  12. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Ujenzi Bwawa la Nyerere unaendelea kwa kasi

    Waziri mkuu wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa leo ametembelea mradi wa bwawa la Nyerere na kuwataka watanzania kuwapuuza wale wote wanaosema mradi huo hauna faida kwa nchi. Mh Majaliwa amesema mradi huo unatarajiwa kukamilika mwezi wa 6/2022 na kukabidhiwa kwa watanzania tayari kwa matumizi.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha na Waziri wa Ujenzi, msijisahaulishe kuweka ahadi ya barabara za jimbo la Kibamba aliyotoa JPM (RIP) wakati akizindua stand ya mbezi

    Kwa kuwa kila anayesimama anasema tutamuenzi kiongozi wetu Hayati JPM, basi waziri wa ujenzi na yule wa fedha msije kusahau kuwa kabla ya umauti kumkuta mzee wetu alikuwa ameagiza TANROAD kuanza kushughulika na barabara za jimbo la Kibamba kwa maana ni jimbo pekee ndani ya Dar ambalo lina chini...
  14. Nebuchadinezzer

    JamiiForums Tanzania Nawaamasisha Watanzania tuandamane kupinga Ujenzi wa Bandari Bagamoyo

    Ndugu zangu watanzania, Hii nchi sio ya Ndugai wala Wabunge, hii nchi ni yetu sote sisi na watoto wetu. Kumbukeni hatuna sehemu duniani ila hapa Tanzania. Huu ujenzi wa bandari hii ni kujifunga na kuuza nchi yetu kwa mataifa mengine. Hebu fikirieni kuna nchi mpaka sasa zimekabwa mashirika yao...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

    Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo. Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kila mradi wa ujenzi wa Serikali kuwe na separation of duties usifanywe na taasisi moja, ni rahisi kuibiwa na kuwa na jengo substandard

    Unakuta mradi wa Serikali Mfano bango linaonyesha Contactor ni NHC Architect ni NHC Quantity Surveyor ni NHC Subcontractor ni NHC Hakuna segregation of duties Inatakiwa mfano Architect awe mwingine siyo NHC aweza kuwa Private sector au quantity surveyor akawa Private sector na subcontractor...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Tsh milioni 400 katika ujenzi wa vituo vya Afya Ndago na Kinampanda wilayani Iramba, nini hatma ya DC na DED?

    Mtakumbuka mwaka 2019 waziri Mkuu Kasim Majaliwa aliibua wizi mkubwa wilayani Iramba mkoani Singida. Waziri Mkuu katika ziara yake aliwaambia wanainchi kuwa serikali ilitenga mabilioni ya fedha kwa ujenz wa vituo vya Afya kote nchini. Alisema ktk wilaya ya Iramba zaidi ya Tsh million 400...
  18. Black Thought

    JamiiForums Tanzania Gharama za Ujenzi kwa Nyumba za ‘Contemporary’ Vs ‘Traditional’ Roof

    Habarini wakuu, Kuna mjadala uliletwa humu kuhusu ni nyumba zipi zina gharama nafuu kwenye ujenzi kati ya hizi za kisasa za kuficha bati (‘contempoarary) na zile za kawaida. Ambapo kwa uzoefu wangu nilijaribu kuelezea kuwa kwa kawaida tunatarajia nyumba za paa la kuficha zitatumia tofali nyingi...
  19. Marumeso

    JamiiForums Tanzania CDA Dodoma: Ruhusuni ujenzi wa fensi ndefu za moja kwa moja

    CDA Dodoma: Ruhusuni ujenzi wa fensi ndefu za moja kwa moja. Hizi fensi za marembo mnazowataka watu wajenge zinaruhusu mtu aliyeko nje kuona kilichopo ndani matokeo yake watu wanaibiwa sana.
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Jiwe la msingi SGR Mwanza - Isaka kuwekwa hivi karibuni, ujenzi kuanza punde si punde

    Maandalizi kwa ajiri ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Sgr kati ya Mwanza na Isaka yamekamilika. Na jiwe la msingi litawekwa wakati wowote na rais wa JMT, SSH. Ziara ya kukagua maandalizi hayo imefanywa na waziri wa ujenzi Leonard Chamuriho akiwa na naibu wake Mwita Mwikabe na maandalizi...
Back
Top Bottom