ujenzi

  1. Environmental Security

    JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa mji serikali (Mtumba - Dodoma): Ushauri wangu kwa CS Hussein Katanga na VP Dkt. Phillip Mpango

    Habarini wakuu, Leo napenda nami pia kupongeza uteuzi wa Mh. MPANGO na Mh. KATANGA kwa nafasi ambazo wameaminiwa na Mheshimiwa Rais na taifa kutumikia. Nijielekeze ktk mchango wangu wa mawazo juu ya mradi muhimu wa ujenzi wa mji wa serikali, nikichagizwa na furaha ya kuhakikishiwa na Rais wetu...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa ujenzi wa vituo vya mafuta DSM

    Habari Watz, Kuna jambo ambalo Mimi naliona toka tumalize uchaguzi wa 2020 linatokea kila kukicha nikipita barabarani ambalo hatukulizoea kwa kipindi hiki Cha Hayati. Kumekuwa na ongezeko kubwa la ujenzi wa vituo vya mafuta hasa Bagamoyo Road kuanzia maeneo ya Tegeta hadi Bagamoyo ilihali...
  3. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Jaman mlipata kazi ujenzi wa reli hawamu ya tatu kuna aliyeitwa kazini?

    Jaman ujenzi wa reli hawamu ya tatu kutoka singida umeanza? Je kuna aliyeitwa kazini?
  4. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Waziri Mkuu, Majaliwa kuanza ziara ya siku mbili Mkoani Mbeya, namshukuru Rais Magufuli kwa ujenzi wa Hospitali ya Rungwe

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema Waziri Mkuu, Majaliwa anaanza ziara ya siku mbili mkoani Mbeya. Akiwa mkoani Mbeya Mhe. Majaliwa atafungua Jengo la Mama na Mtoto jijini Mbeya, atafungua hospitali iliyoahidiwa na Rais Magufuli wakati wa kampeni wilayani Rungwe na atafungua kituo...
  5. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Michango ya ujenzi wa shule sio lazima, wilaya ya Hai Kingereka mnatia aibu

    Kuna watu wanapita kuchangisha fedha sh.5,200 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya kingereka ndani ya wilaya ya Hai sehemu inaitwa kingereka jirani na mlima Kingereka walipopita ni nyumba zilizopo jirani na kanisa la wasabato. Hivi kama sijakosea Waziri wa Elimu si alisema watajenga madarasa? Hawa...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa SGR Mwanza-Isaka kuanza wakati wowote

    Kauli hii imetolewa na mkurugenzi wa TRC ndugu Masanja Kadogosa akiwa Malampaka mkoani Simiyu. Kwa mujibu wa ndugu Kadogosa ni kuwa kutakuwa na kambi kubwa hapo Malampaka ambayo itachukua takribani watu 3000. Kipande hiki kina takribani KM 341 na kitagharimu tril tatu nukta sita za Kitanzania...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Nawapongeza sana Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito, Leo nimefurahi sana!

    Waziri wa Afya Dr Gwajima ameupongeza mkoa wa Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito. Dr Gwajima amesema LEO amefurahi sana. Waziri wa Afya yuko ziarani mkoani Mbeya akikagua shughuli mbalimbali za wizara yake. Source Upendo tv Maendeleo hayana vyama!
  8. EJOSMAT

    JamiiForums Tanzania Mtindo mpya wa ujenzi Tanzania hiden roof (contempolary)

    Contempo.(hiden roof) ni mtindo mpya wa ujenzi wa nyumba Tanzania lakini wengi wanaishia kupata hasara kwasababu wanajenga bila kua na michoro ya kitaalamu hivyo zinaishia kuvuja. Ili ujenge mtindo huu unatakiwa kwanza kuwasiliana na wataalamu wa ramani wakuandalie mchoro hutapata shida...
  9. mjoli wa kweli

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya vifaa hivi vya ujenzi

    Ndugu Amani na iwe kenu. Kwa wazoefu wa kuuza/ kununua, waashi na wahandisi wa majengo, naomba kujuzwa bei elekekezi kwa vifaa tajwa hapo chini 1. Mfuko wa Cement 2. Nondo (12Mm) 3. Nondo (16 Mm) 4. Tofali za kuanzia msingi (Ngumu) 5. Tofali za ukuta 6. Tipa la mchanga 7. Tipa la Mawe 8. Tipa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kujenga kwa Mkandarasi

    Habari wakuu, Wakati najipanga hapa nikaona niombe mchango wa mawazo na uzoefu wenu. Bila shaka wapo ambao mnafahamu gharama ya kumtumia mkandarasi kujenga, walau kwa kukisia tu. Nashukuru sana kwa mchango wenu.
  11. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Je, ujenzi wa reli unaishia Dodoma au unaendelea?

    Habari wakuu nilikuwa natamani kujua je ujenzi wa reli ukifika Dodoma utaendelea mbele? Na kama utaendelea awamu hiyo inaanza lini? Nia ya kuuliza ni kwamba walituma maombi hapa VETA Songea wakihitaji mafundi na baada ya kupewa majina wapo kimya ni mwezi sasa na ujenzi unakaribia kwisha. Je...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa reli Isaka - Mwanza unaendeleaje?

    U hali gani wapendwa, Mwenye taarifa za kinachoendela kwenye mradi wa reli kuanzia isaka tabora hadi Mwanza maana imepita miezi miwili sasa tangu wasaini mkataba na serikali.
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Hoteli ya nyota Tatu inajengwa Chato, Wana-CCM mnafurahishwa na kitendo cha kupeleka kila mradi wa ujenzi Chato?

    Maelezo ya Picha: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja(Kulia) akikagua hoteli ya nyota tatu inayojengwa na Hifadhi za Taifa Tanzania inayojengwa Wilayani Chato mkoani Geita. Mwalimu Nyerere akijua kabisa kuwa kuku wa taifa lazima aliwe na wote, aliamua almasi inayochimbwa...
  14. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kukadiria gharama za ujenzi

    Habari wakuu . Nataka kuanza ujenzi ule wa mdogomdogo atleast by the end of the year niwe nimepaua na kuweka grill kwenye madirisha na milango ya nje. Ramani ina ukubwa wa m 15 x m 14 na ni nyumba ya vyumba 4, vyumba 2 ni self contained na vikolombwezo vyake vyote. Uwanja ni tambarare na...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nachingwea: Mwalimu Mkuu na Afisa Elimu wapewa siku 3 kujieleza kwa kukwamisha ujenzi wa Bweni tangu 2017

    Naibu waziri wa ofisi ya Rais TAMISEMI David Silinde amewaagiza kuandika maelezo ndani ya siku tatu mkuu wa shule ya sekondari ya Nachingwea Mwalimu Longinus Nambole na Afisa elimu sekondari ya kwanini wasichukuliwe hatua za kinidhamu baada ya kushindwa kusimamia mradi wa ujenzi wa bweni la...
  16. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  17. Nile_house_designs

    JamiiForums Tanzania UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile house designs

    UJENZI: Let us transform your design ideas into reality: NILE HOUSE DESIGNS (nilehousedesigns on instagram). Karibu tukutengenezee nyumba ya ndoto yako, tuambie unataka nini na sisi tutaboresha wazo lako. Kwa bei poa kabisa utapata design yako Baadhi ya kazi zetu Affordable price tupigie...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Kenneth Kaunda wakioneshwa ramani ya ujenzi wa reli ya Tazara

    Tukio hili limetokea miaka ya 1970's wakati wa mchakato wa Ujenzi wa Reli ya Tazara inayounganisha nchi za Tanzania na Zambia. Mradi huo wa kimkakati ulifadhiliwa na na Serikali ya China...
  19. J

    JamiiForums Tanzania DC Gondwe: Serikali hairidhishwi na kasi ya Ujenzi wa mradi wa Mwendo kasi (BRT)

    Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali ya Rais Magufuli hairidhishwi na kasi ya mkandarasi katika mradi wa ujenzi wa miundombinu ya mwendo kasi wilayani Temeke. Gondwe amempa miezi mitatu mkandarasi huyo kupeleka mpango kazi wa ujenzi huo ofisini kwake. Source ITV habari...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Ujenzi wa Mradi wa Kituo cha Kisasa cha Michezo unaendelea kwa kasi Kigamboni

    Hongera kwa Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Mzalendo nambari moja Dkt John Pombe Magufuli kwa kuthamini na kuwezesha kuwa na mazingira mazuri ya michezo Ujenzi huo unasimamiwa na Shirikisho la Soka Nchini Tanzania ( TFF) maeneo ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
Back
Top Bottom