ujenzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri ujenzi wa dali ya moto na zege

    Habari za weekend wadau. Nimetokea kupenda design hii ya dali ambayo miti na zege vimetumika kuremba muonekano. Je kwa wataalam ni miti gani inafaa?. Nini hasara na faida ya ujenzi huu (gharama vs steel reinforcement, mazingira, uwezo wa kudumu n.k) ?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Umakini uwepo ujenzi wa madarasa kupitia wakandarasi

    Maeneo mengi ya nchi wameamua kutumia wakandarasi kujenga madarasa kutokana na pesa zilizotolewa mkopo na IMF. Lakini pamoja na kutumia wakandarasi baadala force account Iliyokuwa imezoeleka umakini unahitajika vinginevyo tutapigwa na madarasa haya yatajengwa chini ya kiwango. Ujenzi wa...
  3. Mdaiwa-Sugu

    JamiiForums Tanzania Je, Pesa za IMF zimeanza kupigwa? Wananchi wanasomba Mawe na Kokoto kwaajili ya ujenzi Madarasa

    Tuliambiwa tozo za miamala ya simu ni kwaajili ya ujenzi wa madarasa. Kadhalika, juzi kati serikali ya mama samia imekopa kiasi cha zaidi ya trioni moja kutoka IMF ambapo zaidi ya mabilioni ya pesa kwenye huo mkopo yametengwa kwaajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kama sehemu ya maandalizi ya...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Meya Mji wa Moshi awa mkandarasi ujenzi wa madarasa kwa fedha za IMF

    Bila mkuu wa wilaya ya Moshi kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasi wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa Moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa. Swali la msingi, halmashauri imempata mkandarasi asiyejulikana...
  5. polokwane

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI hili suala la vifaa vya ujenzi wa madarasa kununuliwa na Halmashauri wakati pesa zimeingizwa kwenye account za shule tupieni jicho

    Kuna Halmashauri nyingi hapa nchini zimetoa maelekezo kwamba vifaa vya ujenzi watanunua wao wakati huo pesa imeingizwa kwenye accounts za shule, TAMISEMI kama mmetoa maelekezo haya basi wekeni utaratibu mzuri kabisa ili wasije wakazidisha bei ya vifaa maana halmashaur zetu huko kuna shida sana...
  6. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Kasim Majaliwa: Serikali imetenga sh. Bilioni 170 ujenzi mkongo wa taifa

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imetenga shilingi bilioni 170 kwa ajili ya ujenzi wa Mkongo wa Taifa katika mwaka wa fedha 2021/2022. “Lengo letu ni kuwawezesha watoa huduma za mawasiliano kutumia miundombinu hii...
  7. Mukua

    JamiiForums Tanzania Iringa wapokea Tsh. Bilioni 6.8 za ujenzi wa madarasa

    Kazi inaendelea ujenzi wa madarasa 15,000 nchi nzima unaendelea, leo mkoa wa Iringa wamepokea fedha kwa ajili ya ujenzi huo. Haya ni matokeo ya kazi na usimamizi mzuri wa makusanyo ya Kodi za wananchi. Bado Kuna ufufuaji wa viwanda unakuja, hivyo ajira pia zitaongezeka. Kwa Kasi hii naona...
  8. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alisema ujenzi wa Daraja la Selander umekorofishwa

    Magufuli alisema ujenzi umefanyika Coco Beach ambao unafanya iwe vigumu kulimalizia lile daraja. Anasema Mkuu wa Mkoa (Makonda) alikuwa wapi wakati haya makosa yanatendeka? Au Mkuu wa Wilaya, kwanini hakuzuia? (Sijui Mkuu wa Wilaya alikuwa nani) Ndio pale anasema anataka watu waliofungwa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ubora wa ujenzi wa visima au vihifadhi maji vya kwenda juu (tank la kujengwa)

    Nimezunguka sehemu nyingi Hasa mikoa ya pwan naona wanajenga vihifadhi maji vya chini. Ndan ya ardhi. Sasa mimi nimeona kwangu havitanifaaa. Nataka nijenge kisima Cha kuhufadhi maji Cha juu, sio Cha ardhini chini. Sasa nataka kujua ubora wake na nini Cha kuzibgatia Kwan nataka nitumie tofali...
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mwenge flyover ni mwisho wa matatizo. Ujenzi wake unaanza lini?

    Video kama hizi zilikuwa zinaleta hamasa kubwa sana na ikiketw fahari kuwa mTanzania , kwa sasa nchi imepoa sana. Anyway, ujenzi wa flyover ya Mwenge unaanza lini, maana hali ni mbaya sana, hapafai!
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ramani za nyumba na Ujenzi zinauzwa

    Kupata ramani za nyumba na kwaujenzi makini wasiliana na doltu architects. Contacts 0654003555 0654003555
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa reli umekuwa alama ya ushirikiano mzuri kati ya China na Afrika

    Katika miongo kadhaa iliyopita, ujenzi wa reli umekuwa sehemu muhimu ya ushirikiano wa kirafiki kati ya China na Afrika. Kuanzia Reli maarufu ya TAZARA iliyojengwa zaidi ya miaka 50 iliyopita hadi Reli ya SGR ya Kenya, Reli inayounganisha Addis Ababa na Djibouti, na Reli ya Abuja–Kaduna ambazo...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Katika nchi moja ya Afrika, hii ni ofisi ya serikali ujenzi wake uligharimu milioni 40

  14. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ni aibu Tanzania kutokuwa na Kampuni zake yenyewe hasa Ujenzi

    Tanzania tuko na Engineers wa kila aina, aina zote za Engineers wanapatikana Tanzania. Ni kawaida sana sana kuwasifia Engineers as individuals wanaoibuka na Tuzo mbali mbali au wanakua recognized duniani. Mfano, kuna Electrical Engineer mkubwa sana mtanzania mweusi kabisa ana miliki Kampuni...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto Ujenzi wa Madarasa 12,000: Ukosefu wa Wahandisi Halmashauri Baada ya 70% kuhamia TARURA

    Asalam! Nianze kwa kuipongeza Serikali chini ya Rais Mama Samia kwa kuipa Elimu kipaumbele hasa eneo la miundo mbinu. Hili limekuwa likisumbua kila mwaka. Tunashukuru kwa kazi hii njema. Pili, baada ya miundo mbinu Sasa tumuombe Mama Samia Ajielekeze kwenye Walimu na Vifaa vya ufundishaji...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Mgao wa madarasa 20m, serikali iondoe Kodi , vifaa vya Ujenzi juu

    Ummy Mwalimu umegawa kila chumba Cha darasa 20m, kwasasa ni ngumu kwa bajeti hio, vifaa vya Ujenzi juu Sana, naomba mutoe special offers yaani tax exemptions kwa Ujenzi juu wa madarasa vinginevyo mtatumbua, au mjenge kwa matofali ya udongo then plasta tu ndo cement, halaf nondo moja tu Tena...
  17. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Pesa za ujenzi wa madarasa sekondari ziende mapema maeneo mengi msimu wa mvua unaanza

    Tuipe hongera serikali ya awamu ya sita kwa hatua ya hiii inayoenda kufanya wito huu sio mda tena wa Kila waziri kwenda kwenye vyombo vya habari nakuanza kuongelea hizi pesa za ujenzi wa madarasa wakati bado pesa zipo hazina hazijafika katika halmashauri Pelekeni pesa haraka mwezi January siyo...
  18. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

    Ujenzi wa bwawa la JN-HPP pamoja na Usambazaji wa umeme vijijini Rais Samia ameongeza bajeti kwa 230% kutoka TZS 1.01T FY2020|21 hadi TZS 2.34T FY2021|22, === Tufahamu lengo la Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ni ifikapo mwaka 2026 Tanzania iwe na umeme wa Uhakika unaofikia...
  19. Mbao Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tuseme tu ukweli, ujenzi unahitaji kujinyima sana

    Tukiona vijana wanajinyima starehe, anasa, matumizi holela tunafurahi sana. Leo ni siku ya vijana kufunguka: Ni changamoto gani ulikutana nayo au unakutana nayo wakati unajenga nyumba yako? Umekwama wapi? Shea nasi uzoefu tujifunze kwa pamoja.
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa suala la ndege ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ya Tanzania Bara kupokelewa Zanzibar

    NAOMBA KUELEWESHWA SUALA LA NDEGE YA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI YA TANZANIA BARA KUPOKELEWA ZANZIBAR. ZAA = Zanzibar TAA = Tanzania BARA Naomba kueleweshwa kwa Uhuru wa mawazo "the right to express my opinion under Article 18 of the Constitution of Tanzania of 1977" kuanzia zamani hakuna pa...
Back
Top Bottom