ujenzi

  1. B

    JamiiForums Tanzania DC Suleiman Mwenda: Iramba tumepokea Milioni 500 za vituo vya afya viwili

    "Wilaya ya Iramba mkoa wa Singida kupitia tozo za miamala ya simu ambazo Watanzania tunachangia kwenda kwenye maendeleo yetu tayari tumepokea shilingi Milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa vituo viwili vya afya katika kata ya Kisiriri na Tyegelo. Tutasimamia fedha hizi ili zilete tija tarajiwa...
  2. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Kubadilishana Materials ya Ujenzi, Kila mmoja ajenge

    Habari wakuu. Kwanza tutoe pongezi kwa uongozi wa Jamii Forum kutuwekea jukwaa maalum la ujenzi, jukwaa tulolisubiri kwa kitambo. Tunalo tiper la mchanga, hivyo tuna ukaribu wa mchanga. Pia tunajua humu JF kuna watu wana cement ,wengine mabati n.k . Kwenye huu uzi utaeleza unahitaji...
  3. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kuwekeza kampuni ya ujenzi nje ya Tanzania ni nchi gani nzuri na taratibu zake zipoje kwa muwekezaji mgeni?

    Habari wadau..! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nipeni mawazo nikawekeze nchi gani,wajuzi mtupe taratibu za uwekezaji wa kamapuni ya Building and Civil katika nchi husika.
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kuwatumia "Mafundi" badala ya Wahandisi kwenye Ujenzi wa Vituo vya Afya na Shule ni dharau

    Hongera kwa kukusanya TOZO ya dhuluma, mnataka kujenga vituo vya Afya ambavyo "vilianza kujengwa" tangu enzi za JK....sina tatizo! Tatizo langu ni lile sharti kwamba "Ujenzi" ufanywe na wale mafundi wetu a.k.a Fundi Maikoz kwa kisingizio cha kupunguza gharama. Majengo ya serikali sio nyumba...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, fedha za tozo ziundie chombo maalum cha kuendesha ujenzi -- achana na maono finyu ya wasaidizi wako

    Serikali imekusanya tozo ikatuambia kiasi kimefikia bilioni 48. Ni mwanzo mzuri. Lakini kilichonishtua ni namna zinavyokwenda kutumika; inauma Sana. Matumizi yake katika ujenzi wa shule na zahanati yameelezwa yatajikita kwenye mfumo wa force account, naamini hapa ndipo tatizo la kupanga na...
  6. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Ujenzi huu utanigharimu Tshs ngapi?

    Habari Nataka kujenga chumba (master) na sebule pamoja na choo cha nje itanigharimu Tshs ngapi mpaka kufika kwenye renta ? Karibuni wenye uzoefu
  7. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi

    Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbarali, Mbeya: CHADEMA yaanza ujenzi wa Ofisi zake kila Kata

    Baada ya Ofisi ya Jimbo la Mbarali kuelekea mwisho mwisho kukamilika, Chama hicho sasa kimeanza ujenzi wa ofisi zake kila kata kwa kutumia nguvu ya umma. Nachukua nafasi hii kuipongeza Chadema Mbarali kwa uamuzi huu wa Maendeleo Mungu ibariki Chadema Swali: Unamkumbuka huyu dogo wa Mbarali?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msaada, awamu za ujenzi

    Nawasalimu wanajamvi, Mfano ujenzi nyumba imefika kiwango cha hii picha, Hapo tayari ina bomba za kuja kupitishia wiring ya umeme, mfumo wa bomba za maji safi na maji taka pamoja na shimo la maji taka vipo tayari na tuchukulie pesa ya kumalizia ipo ya awamu awamu. Naomba kufahamishwa kama kuna...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Pamoja na hujuma wanazofanyiwa, Chadema wanaendelea na ujenzi wa ofisi za majimbo

    Hiki chama kwa sasa ni kama kimeshindikana, hawawezi tena kukitoa kwenye reli , pamoja na unyama wote wanaotendewa lakini hawaachi mikakati yao ipotee. Hebu jionee mwenyewe
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Sengerema: Viongozi wapigwa chini kwa kukusanya mchango wa ujenzi wa zahanati kwa lazima

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Mtendaji wa kijiji cha Nyamililo Wilayani Sengerema Mariamu Mgunda, pamoja na mwenyekiti wa Kijiji hicho Mateso Shibayi na kuwaweka ndani kwa kosa la kuchangisha kwa nguvu fedha za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Chamuriho uliahidi kutangaza tenda ya ujenzi wa Barabara ya Itoni (Njombe) - Lusitu (Ludewa), mbona kimya?

    Mheshimiwa waziri ukiwa pale Luponde Mkoani Njombe, wakati ukitokea Ludewa watu walikusimamisha na kukueleza adha wanayopitia kutokana na barabara kuwa mbovu na wewe uliuona uhalisia na ukaahidi kuwa mwezi wa tano mtatangaza Tender ya kuanza ujenzi wa barabara ya Njombe-Ludewa-Manda kwa kujenga...
  13. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa CCM Mpya Ullisha au mliishiwa Vifaa vya Ujenzi?

    Dah, nimekaa zangu hapa home nafurahia kalikizo kangu kafupi haka nikakumbuka watani zangu hawa kuwa waliwahi kuimba wimbo wa UJENZI WA CCM MPYA. Mimi siasa chafu sizipendi sasa nawauliza jamaa zangu hawa, ule ujenzi uliisha? Mmefikia wapi kwenye ujenzi au umesimama kidogo? Au Mkandarasi...
  14. swahibu ramadhani

    JamiiForums Tanzania Nyumba (Muundo wa L) ya vyumba 2 na sebule inaweza kugharimu kiasi gani?

    Ndugu zangu Mimi nataka kujenga nyumba ya vyumba viwili na sebule vyenye meter 4 lakini choo Cha public ni Cha nje. Muundo wa nyumba ni wa(L) Inaweza kugalimu shingapi mpaka kuamia. Msaada please.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero. Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti. Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Nilitarajia USA watusaidie ujenzi wa kiwanda cha chanjo

    Msaada wa chanjo milioni moja sio msaada endelevu bali ni msaada tegemezi jambo ambalo ni sumu ya maendeleo na uhuru wa nchi. Hivi kwa nini hatusaidiwi kwenye uwekezaji wa kiwanda cha chanjo? Tupo watanzania zaidi ya milioni 60 kamwe chanjo milioni 1 hazitanufaisha jamii kubwa unless kuwe na...
  17. Peter Madukwa

    JamiiForums Tanzania MTWARA: Ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini wafikia asilimia 98

    Hapa chini ni Muonekano wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini inayojengwa eneo la Mitengo, Mtwara ambayo ujenzi wake umefikia 98% kwa gharama ya TSH Bilioni 15.8 ambapo itawekwa jiwe la msingi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango Julai 26, 2021...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nyenzo ya Uwazi katika Ujenzi wa Utawala Bora

    Uwazi unajengwa kwa upatikanaji wa taarifa bila vikwazo Taarifa zinatakiwa kutolewa kwa Wananchi kuhusu kile ambacho Serikali inafanya. Upatikanaji wa taarifa husaidia usimamizi wake Uwazi wa Maamuzi ya Kiserikali na Michakato yake husaidia katika kuwajengea Wananchi Uzalendo wa Taifa lao
  19. N

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa NEMC kwa kusitisha ujenzi wa nyumba ukingoni mwa mto Ndumbwi

    Huu mto Ndumbwi ndio mto unaoingia Bahari ya Hindi Sambamba na nyumba ya marehemu Gertrude Lwakatare. Ukingoni mwa mto huu karibu na nyumba hiyo vilibuniwa viwanja na matapeli wa ardhi wilaya ya Kinondoni na Kuwauzia watu walioanza kujenga kinyume na sheria za nchi kuhusu Mazingira. Kilio cha...
Back
Top Bottom