ujenzi

  1. ommytk

    JamiiForums Tanzania Vibali vya ujenzi moja ya kichaka cha rushwa Serikali za Mitaa

    Serikali ebu ijaribu kuweka mfumo mwepesi wa kupata kibali cha ujenzi.urasimu ni mkubwa sana na utaratibu mgumu unachukua muda na inapelekaa watu wengi kumalizana na wajumbe tu kwa kutoa chochote na maisha yanaendelea. Yaani ili la vibali kwasasa ndio chanzo kikubwa. Cha Serikali za mitaa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Tanga: Waziri Ummy Mwalimu akagua ujenzi wa shule mpya ya sekondari iliyopo Saruji, Kata ya Maweni

    MHE UMMY MWALIMU AKAGUA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI ILIYOPO SARUJI, KATA YA MAWENI Awapongeza Mkuu wa Wilaya na Viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga kwa kazi nzuri Viongozi waomba iwe Shule ya Wasichana na iitwe Ummy Mwalimu Secondary School. Mbunge wa Tanga Mjini na Waziri wa Nchi...
  3. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kilio chetu wanageita kwa mama.veta ya geita mbona imetelekezwa ujenzi umesimama miaka mingi nini hatma

    Kilio chetu kwa serikali yetu sikivu yenye kupenda maendeleo hapa kwetu geita miaka kadhaa iliyopita kulikuwa kuna ujenzi tulioambiwa ni WA chuo cha veta ambao ulikuwa ukiendelea ulikuja kusimama mpk sasa ni muda sana majengo yanabaki magofu pesa za serikali zishatumika mpk pale ilipo fika...
  4. Black Thought

    JamiiForums Tanzania Hizi ni nyumba unaweza kujenga kwa gharama nafuu zaidi mwaka 2022

    Habari wakuu, nimejaribu kuja na baadhi ya options za ramani za nyumba unazoweza kujenga kwa gharama nafuu. Kwanza tulewe kuwa Gharama ya ujenzi wa nyumba haitegemei sana idadi ya vyumba kama baadhi ya watu wanavyochukulia, bali hutegemea zaidi ukubwa (builtup area) na muundo wa jengo husika...
  5. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Je, hii ramani imekamilika?

    Habari nyingi wakuu.. Katika ujenzi ambao nataka nianze Inshaallah baada ya kumaliza mambo mengine sasa nimechorowe ramani hii hapa kutokana na nyumba yangu nataka iwe hivi. Hivyo basi wakuu humu kuna magwiji wa haya mambo ya ramani pamoja na ujenzi wake.Naomba kufahamu kutoka kwenu je hii...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Temeke kupewa shilingi bilioni 3.14 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa

    ASANTE MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA KURIDHIA WILAYA YA TEMEKE KUPATA SHILINGI BILIONI 3.14 KWA UJENZI WA MADARASA 157 KATIKA SHULE 25🇹🇿 Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegelo leo tarehe 03 Januari, 2022 amefanya Uzinduzi wa makabidhiano ya vyumba vya madarasa vilivyogharimu...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Ujenzi daraja la Wami wafikia 70.4%. Kukamilika Novemba 2022

  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Reli ya SGR uishie Tabora

    Hela hatuna, tusikope sana ili kupunguza kutumia na madeni. Tabora ni karibu sana na Burundi, Rwanda, DRC, Mwanza na Uganda. Tujenge bandari kavu kuubwa pale Tabora ili watu wa Mwanza, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Kigoma wachukulie Tabora mizigo yao itakayoletwa na SGR hapo. Tukipata faida...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi ujenzi mzuri mwaminifu

    Ndugu zangu wa Jamii, Natafuta fundi ujenzi mzuri na mwaminifu. Awe na experience ya kutosha kujenga kwa kufata ramani ya nyumba. Eneo ni kibaha karibu na halmashaur. Asanteni sana
  10. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Ujenzi soko dogo Karikaoo wajengwa chini ya ulinzi

    Dar es Salaam. Ujenzi wa uzio wa soko dogo Kariakoo na ukarabati wa soko kubwa lililoungua moto Julai mwaka huu unafanyika chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi. Hali hii imeonekana leo baada ya kupita siku nne tangu mkandarasi Estim Contraction Ltd anayetakiwa kufanya shughuli hiyo kukabidhiwa...
  11. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Wazee wa mkoa wa Tanga wapokea fedha kiasi cha 1.3M kwaajili ya tambiko la kuruhusu ujenzi wa barabara

    Wazee wa Kijiji Cha KwaMsisi kilichopo Wilayani Handeni Mkoani Tanga wamekubali kupokea Shilingi Milioni 1 na laki 3 kwaajili ya Kufanya Tambiko katika Ujenzi wa barabara ya afrika mashariki inayopita kijijini hapo Hapo Awali wazee hao walimtaka Mkuu wa Wilaya Hiyo Siriel Nchembe kupewa Tsh...
  12. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Ni dhambi ujenzi wa madarasa ya Uviko ukaenda sambamba na nyumba za walimu?

    Hivi nani katuroga? Hawa watoto tunaoenda kuwajaza maelfu na maelfu kwa pesa za msaada huku tukijipiga vifua na kutembelea vidole kana kwamba tumetoa mfukoni mwetu, Kuna ugumu Gani angalau kuweka nyumba mbili mbili kila shule Ili kurahisisha na kuongeza morali kwa walimu? Siamini kama akili...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga: Hivi pesa za kupambana na Covid-19 zinahusikaje na ujenzi wa madarasa?

    Habari! Sina maneno mengi nakwenda kwenye mada. Hivi pesa za msaada sijui mkopo zilizotolewa na wazungu kupambana na UVIKO 19 zinatumikaje kujengea madarasa? Tumeshindwa kujenga madarasa kwa fefha zetu wenyewe huku tukithubutu kununua ndege ambazo ni gharama kuliko hayo madarasa? Je, elimu...
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watz kwa ushrikina bana, wazee sasa wameruhusu ujenzi wa barabara ijayo Kenya na wapo tayari kuitambikia

    Wazee wa Kijiji cha Kwamsisi wilayani Handeni mkoani Tanga ambao walizuia ujenzi wa Barabara ya Afrika Mashariki inayopita kwenye kijiji chao mpaka wapewe kiasi cha shilingi milioni 21 ili waweze kuitambikia barabara hiyo, hatimaye Wazee hao wamekubali kupewa shilingi milioni moja na laki tatu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ruhusu bidhaa za ujenzi toka nje, unatuua wananchi

    Mh. Rais ongea na wafanyabiashara wa ndani washushe bei ya bidhaa za ujenzi hasa bati kama wataleta visingizio "nonesense" Ruhusu bidhaa hizi zitoke nje kwa wingi ili tupate unafuu wa bei wananchi wako. Kwanini Serikali yako inataka kishindwa kila kitu mama. Hivi hilo baraza linakusaidia nini...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya kuanikia nguo huwa inasahaulika katika ramani na ujenzi wa nyumba

    Usafi wa nguo hufanyika kila mara na hii inategemea ukubwa wa familia au wingi wa wakazi. Kuna wanaofua kila siku, kila baada ya siku au mara moja kwa wiki. Wengine Hufua kwa mashine na kukausha kwa dryer, hawa siwaongelei hapa kwani ni wachache sana. Nguo kuanikwa hovyo hovyo kunapoteza...
  17. polokwane

    JamiiForums Tanzania Walimu wanawekwa ndani, wanadhalilishwa sababu ya ujenzi wa madarasa wakati si wakandarasi wala mafundi ujenzi. Nini maoni ya CWT kama chama?

    Kwa hili TAMISEMI kaeni mfikiri upya mzigo mnao watwisha walimu ukiachilia mbali mzigo wa vipindi walio nao si haki na si sawa Na CWT mpo kimya hata hamfuatilii mkaona ni madhila gani walimu walio chini ya chama chenu wana nyanyasika na kusurubishwa kwa kazi ambayo hawakuisomea na wala hawana...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

    Watu wanne (Wanawake 2 na Wanaume 2) wameripotiwa kufariki dunia huku wengine 17 wakijeruhiwa baada ya jengo lililokuwa linajengwa eneo la Goba kwa Awadhi Jijini Dar es Salaam kuangukia nyumba za jirani Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James amesema wanaendelea kuangalia iwapo kuna wengine...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa TZS 300BL kukamilisha majengo ya Serikali Jijini Dodoma

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma, Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi. Akizundua awamu ya Pili ya...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye amjibu Mangula, ni Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

    Salaam Wakuu, Baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Philip Mangula kuzungumzia Bandari ya Bagamoyo kwamba haipo kwenye ilani, Mbunge wa Mtama Moses Nnauye(CCM) ameibuka na kusema kwamba kuna miladi mingi imetekelezwa ambago haikuwa kwenye ilani. Mangula alisema...
Back
Top Bottom