Wengi tunapofikiria kufungua frame ya duka, unawaza mahali Pa kuweka bidhaa na dirisha la wateja kuona na kununua bidhaa. Mambo ya muhimu tusiyo yazingatia ni mahitaji ya binadamu anaehudumia duka.
Mhudumu anahitaji kula, anahitaji kwenda haja. Haya ni mambo ya muhimu kwa kila binadamu...
Kuna mtu anajenga jengo linaloelekea kama ni kanisa. Jengo hilo liko jirani na nyumbani ya marehemu Apson aliyekuwa mkurugenzi wa TISS huko Mbezi Beach.Mj enzi wa hili jengo ana asili ya Nigeria na anajenga bila kibari katikati ya makazi sehemu isiyo rasmi kwa kanisa! Sehemu yenyewe...
Habari wakuu poleni na majumu,
Kutokana na changamoto naiona watu kuomba sana gharama za materials ya ujenzi, naomba niwape taarifa kua naweza kukupatia gharama zako zote za ujenzi kuanzia msingi, boma na uezekaji wa paa, nakuandalia schedule of material au BOQ, kwa gharama nafuu kabisa...
Wadau mada inajieleza; nimeshitushwa sana nimepita Morogoro eneo la Mkundi ambako mwaka jana tu miezi ya mwishoni ulifanyika ujenzi wa mitaro ya maji ya mvua kandokando ya Highway ya Morogoro - Dodoma. Mvua iliyonyesha siku chache zilizopita imesomba mawe yote yaliyojengwa kwa cement na mchanga...
Nyumba hizi hujengwa nyumba vikiangaliana, ni ujenzi maarufu katika nchi nyingi za Afrika. Choo, bafu na jiko la jumuia hukaa katika vyumba vya nyuma. Siku hizi wengi hupikia majiko ya gesi hivyo chumba cha jiko hutumiwa na wachache wale wa kupikia kuni au wanao kaanga samaki.
Biashara hii ni...
Naitwa Aliko Musa. Ninaishi Mbeya mjini. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi wa masuala ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo.
Ninaandika makala kupitia mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG. Kupitia mtandao huu ninawashirikisha watu mbinu bora za kuwekeza kwenye ardhi na majengo ili kujenga...
Wakuu,
Nahitaji kujua vibarua kwenye Miradi mikubwa ya serikali hasahasa Mradi wa Umeme, Mradi wa daraja la Magufuli pamoja na Mradi wa Reli wanalipwa kiasi gani na vigezo vyao vya kuajili ni Vipi?
Sisi tunaitwa Madrassatul Abraar, tupo mtaa wa vitendo, kata ya Misugusugu, mkoa wa Pwani, namba zetu za simu 0625249605. Kituo kinaitwa "Miyomboni Shule" au Misugusugu Shule ya Msingi.
Fursa za kazi zilizopo sasa ni "production Manager" kwenye kiwanda kidogo cha vifaa vya ujenzi vinavyoundwa...
Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).
Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amesema serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 1.4 kwa ajili ya ujenzi wa Daraja la Tembela ili kutatua changamoto ya miundombinu ya barabara na madaraja katika eneo hilo.
Akikagua miundombinu ya barabara...
Nianze kwa kumpongeza mama Samia kwa kuona mbali lakini aliona umuhimu wa kuipa kipaumbele elimu na afya hizo ndizo nguzo muhimu kwa ustawi wa maisha ya mwanadamu yeyote chini ya jua, lakini pia kimtazamo Rais angependa kuona kile alichokipanga kwa wananchi wake kinatimia na kuonekana machoni...
Unakuta mtu uko city centre kulingana na ubora wa nyumba yako anatokea mpangaji anakwambia sijui mbona kwa OMARY anapangisha chumba 50000 na vina umeme na maji wewe tu ndo unapangisha 60000.
kwa OMARY kwenyewe ndo hapo👆
alafu uje kwa ABDALAH 👇utake kupanga kwa bei hiyohiyo,,,,,.
kwa mfumuko...
Mwezi wa disemba mwaka 2021 nyumba nilipokea simu kutoka kwa msimamizi wa nyumba ya kupangisha.
Hitaji la msimamizi na mwenye nyumba huyu lilikuwa ni kujifunza mbinu bora za kupambana na wapangaji waharibifu.
Aliendelea kutoa maelezo kuwa hajawahi kutana na changamoto ya kutolipwa kodi ya...
Mwonekano wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilometa 112.3 ambayo Rais
Samia Suluhu aliweka jiwe la msingi la ujenzi akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, jana Jumatano Februari 9, 2022.
Katika ramani hiyo pia kuna eneo ambalo...
Serikali yaagiza hatua zichukuliwe wanaopandisha bei za bidhaa
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk Ashatu Kachwamba Kijaji
Serikali ya Tanzania imeziagiza mamlaka zote za udhibiti kuchukua hatua kali dhidi ya walimbikizaji na wauzaji kupitia mlango wa nyuma (black market)...
Binafsi naamini sana kuwa na sehemu yako ya kuishi bila bugudha ya kodi wala maudhi ya wapangaji wengine.
Mambo machacho kuhusu mimi
1. Niko under 30
2. Kipato changu ni kati ya 500k - 550 k kwa mwezi
Baada ya kununua kiwanja، nilianza kununua maatofali kidogo kidogo.
Mambo niliojifunza
1...
Wakuu naona kama tumepigwa. Sijui pesa za serikali na mikopo zinaenda wapi. Mimi kama mtanzania wa kawaida najaribu kutupia jicho huku na kule kuona kama kuna chochote cha maana kinaendela hasa miundo mbinu ya barabara na ambayo ina faida kwa wanyonge. Sisi hatupandi ndege kama wao.
Barabara...
Kwa heshima na taadhima ujumbe huu mhe: Rais ukufikikie popote uliopo.Mhe Raisi umekuwa mstari mbele kuhakikisha Nchi yetu inakuwa salama na tunapata maendeleo katika nyanja mbalimbali. Na umefanya jitihada za dhati kuhakikisha Nchi yetu inasonga mbele.Lakini watendaji wako wanakuangusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.