ujenzi

  1. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Ujenzi ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara hadi Kibaha mkoani Pwani, unaendelea vizuri

    Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), umesema ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani, unaendelea vizuri na utakamilika kama ulivyopangwa. Pia, umesema kuwa mpaka sasa mradi huo ambao utakwenda kupunguza tatizo la msongamano wa magari...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu Dar es Salaam unahitaji bajeti ya milioni ngapi?

    Salaam wakuu, Kama mnavyojua ndugu zangu ni lazima tuhame kwa wazazi wetu tukaanze maisha. Na kutokana na hayo hatuna budi kufikiria kuwa na makazi yetu. Uhalisia huo umenifanya niijiulize maswali mengi sana hasa ni gharama kiasi gani zinahitajika kutekeleza ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia bora zaid kwenye kuanza ujenzi wa nyumba kati ya hizi mbili

    Waungwana naombeni mnisaidie, je ni ipi njia bora ya kuanza ujenzi wa nyumba endapo tayari una kiwanja kati ya hzi zifuatazo: 1. Kumtafta surveyor wa ku survey eneo la kiwanja na ku design nyumba kulingana na eneo lilivo, na gharama za kumlipa huyo surveyor zipoje au 2. Kununua...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete afanya ziara ya kukagua ujenzi wa Shule ya Sekondari

    "Nimefanya ziara kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Chalinze Modern Islamic. Sekondari hii ni alama ya mashirikiano baina ya Serikali na watu binafsi. Kupitia Serikali ya awamu ya Sita, mashirikiano haya yatazidi kuimarishwa kwa faida ya Taifa letu." Mbunge wa Chalinze Mkoani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Wananchi hatutaki madalali wa kisiasa kuingilia ujenzi wa reli ya SGR, tunataka plan ya Hayati Magufuli iheshimiwe kwenye SGR

    Sikukubaliana na JPM kwenye mambo mengi ikiwemo Udikteta, Uonevu na Mradi wa Ndege Lakini namuunga mkono sana kwenye mradi wa Stieglers na SGR Kwa hiyo Mheshimiwa Rais Taarifa hii ya Gazeti la Jamhuri imetushtua sana wanananchi, na hivyo tunasema hivi hatutaki Madalali wa Kichina kwenye...
  6. Senior Boss

    JamiiForums Tanzania Natafuta Marine Board Used Maeneo ya Goba [Ujenzi]

    Habari Zenu Wakuu, Kama kichwa cha habari kisemavyo natafuta marine board used ili. Niweze nunua nikajengee ukuta kwa zege kwenye kibanda changu. Site iko Goba Karibia na Joys Eslava. Many Thanks. Mwenye Offer Anaeza Nicheck Inbox. Usafiri mpaka kufika site kwangu on Me. Many Thanks
  7. frabel

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa aina yoyote na huduma zote za ujenzi zinapatikana hapa

    Habari wadau wa JF Poleni na majukumu Kutokana na uhitaji mkubwa wa mafindi na ombwe la uelewa na uzoefu hafifu wa mafundi ujenzi wengi kusindwa kukidhi soko la ujenzi na makazi, sasa kupitia uzi huu utapa huduma zote za ujenzi kuanzia kuchora ramani hadi kukabidhiwa ufunguo wa nyumba yako...
  8. Ligaba

    JamiiForums Tanzania Mnadhibiti vipi wizi katika ujenzi?

    Habari kwa wote. Ni imani yangu JF ni sehemu halisi kwa kila aina maswali yanayosumbua katika jamii. Leo naomba tupeane mbinu za kudhibiti wizi hasa wa mafundi tunaowakabidhi dhamana ya kutujengea. Kwa muda ambao nimeshughulikia mambo ya ujenzi nimegundua pamoja na ugumu halisia wa kujenga...
  9. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa arudi kuwa Waziri wa Ujenzi, tutegemee nini katika sekta hii?

    Ama kweli dunia tambara bovu. Prof Makame Mbarawa siyo siri, ni adui mkubwa wa Makandarasi katika sekta zote za Ujenzi na hata hapo mwisho Maji. Mbarawa ni kama mtu wa kisirani na mara nyingi hana focused objectives. Tutegemee nini sasa sekta hii ya ujenzi maana huku mwishoni aliwaita...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mama samia Rais wetu mpendwa jaribu kuangali bei za vitu Arusha

    Kwa sasa anaye jua hizi bei na uhaba wa baadhi ya bidhaa atuambie tunaelekea wapi gesi Arusha ni pasua kichwa mtungi mdogo 25000, cement haipo na ukipata ni 18000, chumvi imepanda, mafuta ya kula lita 5 ni 30k, petrol na dieasel uko hatusemi, nondo nazo zimepanda bati ndio kasheshe kabisa...
  11. Vitalis Msungwite

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya ujenzi wa bara bara ya kukodisha inahitajika

    Madibira AMCOS inahitaji mitambo ya ujenzi wa bara bara. Mitambo hiyo ni excavator, tipa, boza, rola(sindilia) na greda. Mkodishaji awe na uwezo Wa kutoa risit za EFD na awe na leseni ya biashara. Kwa kampuni, taasisi au mtu binafsi anaemiliki mitambo ya kukodisha aandike barua na kuituma...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali ya CCM kwa ujenzi wa barabara zote za Mwananyamala, kura zetu mtazipata 2025

    Kwa niaba ya Wazawa wa mwananyamala nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya CCM kwa ukarabati mkubwa wa barabara zote unaoendelea kuanzia Vijana hostel na mzunguko wote Komakoma, A nyamala, Manjunju, Kwa mama Zakaria Peace Kwa kopa, Magengeni, Hospitali na kurudi pale A nyamala kwa mzee...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Wahandisi tunataka kila anayejenga ghorofa lazima usanifu na ujenzi atumie wahandisi

    Kama kufungua biashara ya duka la dawa ni lazima udhaminiwe na dakitari inakuwaje shughuli za kihandisi zinafanyika bila kuhusisha wahandisi. Kufungua gereji, ujenzi wa majengo ya gharama, sehemu za kuchomelea, n.k yote haya yanafanyika holela. Kama madaktari wameweza hivi sisi wahandisi...
  14. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bomba la Mafuta la Uganda.Watanzania tuchangamkie fursa badala ya kulalamikia Serikali.

    Habari Wakuu. Kwa mujibu wa EWURA wanaoratibu kampuni zitakazoshirikishwa kwenye ujenzi wa Bomba la Mafuta la Uganda kutoka Hoima hadi Tanga,wameinesha kusikitishwa na muamko mdogo wa kampuni za Kitanzania zilijitokeza kusajiliwa. Licha ya usajili kuwa bure na elimu kutolewa lakini ni...
  15. Northern Lights

    JamiiForums Tanzania Muda hadi kukamilisha ujenzi (Msingi-Finishing)

    Habari za mchana wajenzi... Napenda kufaham, ina chukua muda gani kujenga nyumba ya vyumba vitatu kutoka msingi hadi finishing? Hapa ninakuwa na pesa yote inayohitajika. Ni mtu ambaye nimeajiriwa kwa hiyo natafuta kuomba likizo ya siku 30 ili nisimamie shughuli yote ya ujenzi hadi ikamilike. Na...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Katika ziara zake, Hayati Magufuli alikuwa akigawa pesa kwa ajili ya maendeleo, Sasa hivi wananchi wanakamuliwa

    Kila alipokuwa akifanya ziara tulishuhudia hayati JPM akitoa pesa kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo. Sasa hivi kila mtu anashangaa imekuwa ni kukamuana tu kwa kila namna.
  17. yousaw

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya ujenzi wa tiles, tarazo, Mable, mosaic na tangastone njoo hapa

    Kwa mahitaji ya kujengewa tiles, tarazo, Mable, mosaic na tangastone kwa gharama nafuu na kwa kazi safi, inayodumu na usalama wa mali zako tuwasiliane kupitia no; 0782369491 au what'sApp 0654121218 kwa picha zaidi za kazi zetu. Tujenge pamoja. YOU ARE FRIENDLY WELCOMED 🎈
  18. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Serikali imekusanya Tsh Bilioni 63 tozo miamala ya simu, zitajenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa

    Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa. Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania...
  19. Evarest cath

    JamiiForums Tanzania Fursa za Kazi na mafunzo ya Ujenzi kwa Mafundi na Wasaidizi

    FURSA FURSA FURSA Tunawatangazia mafundi wote wa ujenzi na wasaidizi wa kazi za Ujenzi kuwa kuna fursa ya kazi na mafunzo ya ujenzi. Pia kwa yeyote yule ambaye yuko tayari kujifunza ujenzi ata kama sio Fundi wa ujenzi atapokelewa. Tunapatikana Kibaha Misugusugu. Kwa maelezo zaidi piga: 0672629292
  20. Francis fares Maro

    JamiiForums Tanzania SOLD: Tipper (Hino)

    Hino Tipper (Dumper) Repainted 1997 YOM 3.3 Tones 19 millions TSH negotiable Makumbusho Dar es salaam +255714908121
Back
Top Bottom