Serikali ianze kuzalisha chuma ili kupunguza gharama za ujenzi

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,210
12,710
Vifaa vya ujenzi vimepanda bei, nondo zimepanda bei. Maghorofa ni nondo, madaraja ni chuma, reli na mabwawa kama JNHP ni nondo.

Leo China uzalishaji wa chuma umepungua sababu ya pandemic na bifu lao na Australia. Kwanini serikali isianze kufua nondo.
 
Tunazalisha mbona labda kama hazitoshi...
Sisi hatuzalishi chuma , tunafanya recycling tu kwa kutumia scrap metals Nadhani anaongelea uzalishaji wa chuma ghafi , chuma ghafi kwa Tanzania kipo mchuchuma ni swala la kujipanga tu .
 
Tanzania ata ichimbwe hewa kwa ajili ya matumizi ya dunia nzima. Kwa mwendo huu wa CCM taifa haliwezi nufaika na chochote
 
Back
Top Bottom