Kuongezeka kwa gharama ya vifaa vya ujenzi

MAMDALI

Member
Aug 13, 2015
86
130
Tumeshuhudia hivi karibuni ongezeko kubwa sana la gharama kwenye vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine za vyakula mfano sehemu nilipo nondo imetoka Tzs 18000/= mpaka 27000/=. Huo ni mfano tu. Mawaziri msaidieni Rais kupanda kwa vifaa kuna muathiri kila mtanzania pamoja na mnyonge.
 
Ukitaka kujua, tabia ni chimbuko, angalia sana kwa umakini mienendo ya watalibani. Wale watu wengine wamezaliwa jalalabad, sijui mama zoa kama hawakusingiziwa uzinifu wakauawa. lakini leo wanaingia mjini na kuwa watawala. Siliza comments zao. Always selfish motives. Anawaambia kwao nyumba nzuri ni sawa tu na mapangoni. Eti wao wanachojua, watu wa aina yao, hawana haja ya maisha mazuri hapa duniani ila motoni. Wakati wakisema hayo, wamechagua mansions wna wanaondoa watu wengine kwenye nyumba wakae wapiganaji wao.

Kama nikweli, kwa nini wasiache kuchagua mansions wakae nyumba za kawaida?
Kama kweli wao kukaa nyumbani nisawa na mapangoni, kwa nini wanawaondoka kwenye nyumba watu wenine wapishe wapiganaji ambao kwao hakuna thamani ya nyumba?

Vurugu z maono au unafiki? Unafiki kwa nani na kwa nini?
 
Tumeshuhudia hivi karibuni ongezeko kubwa sana la gharama kwenye vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine za vyakula mfano sehemu nilipo nondo imetoka Tzs 18000/= mpaka 27000/=. Huo ni mfano tu. Mawaziri msaidieni Rais kupanda kwa vifaa kuna muathiri kila mtanzania pamoja na mnyonge.
Ukiwa na kadi unauziwa kwa 10,000/= mkuu
 
Tumeshuhudia hivi karibuni ongezeko kubwa sana la gharama kwenye vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine za vyakula mfano sehemu nilipo nondo imetoka Tzs 18000/= mpaka 27000/=. Huo ni mfano tu. Mawaziri msaidieni Rais kupanda kwa vifaa kuna muathiri kila mtanzania pamoja na mnyonge.
Hadi misumari imepanda...nadhani ni yale matirioni ya Covid
 
Mbao za kutengenezea feniture ndo usiseme sasa zimepanda balaa,
leo nimetoka na sh. 400 nikaenda kununua sabuni kwa mangi, naambiwa sabuni ya kipande ni kuanzia 500 nikachoka
 
NAUZA MBAO ZA 4 By 4,ZIPO NNE TU.BEI SAWA NA BURE 20,000 ZOTE.ZIPO KWANGU UBUNGO KIBO.nicheki kwa namba 0673629625 kama uko serious.

IMG_20211213_120936.jpg
 
Back
Top Bottom