ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania Misri waanza ujenzi wa ukuta mkubwa kwenye mpaka wa Rafah

    Wakimbizi ambao hawataamia kwenye kambi zinazojengwa na Israel, wameachiwa wajifie huko Rafah ============= Egypt is constructing a wall along its border with the Gaza Strip in Rafah, where 1.3 million civilians remain displaced as Israel clashes with Hamas terrorists, Egyptian officials told...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Ujenzi 2023/24 ilikuwa 812 billioni zilizopokelewa ni asilimia 12 tu?

    Kwanza nimeshukuru Mhe. Chege - Mbunge wa Rorya kwa ufafanuzi na swali alilouliza kuhusu fedha za barabara zilizoidhinishwa kwenye bajeti na zilizopokelewa. Mpaka sasa tumebakiza miezi minne tu kuanza na bajeti mpya ya 2024/25. Ninauliza ninyi Wabunge tuliwatuma kuisimamia Serikali, Je...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Sijasomea ujenzi, uhandisi wala sina uzoefu na ujenzi, nilazimishe mwenyewe kienyeji kusimamia ujenzi au nitafute mtaalam mzoefu wa kusimamia ujenzi ?

    Nyumba niliyonayo ni ya urithi, nilipewa ikiwa imemalizika vitu vingi, nilihamia tu ? Nami nataka nijenge nyumba ambayo pengine naweza pia kuirithisha huko mbele. Sina ujuzi wala uzoefu wowote wa kujenga. Kwenye usimamizi kitu pekee nachoweza labda ni ulinzi wa vifaa na kuhakikisha mafundi...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha

    Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mheshimiwa Jenista Mhagama amehimiza ujenzi wa nyumba za waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope, miti na...
  5. JamiiForums Tanzania Imetimia sasa, Yanga kuanza Ujenzi wa Uwanja wa Kisasa Jangwani

    Habari njema Tumeipokea kupitia Ujumbe wa Rais wa Club: Injinia Hersi. Uwanja utajengwa kwa Udhamini wa moja kwa moja wa GSM. #Daimambelenyumamwiko#
  6. JamiiForums Tanzania Bashungwa Aipa Mwezi Mmoja Kamati ya Uwezeshaji wa Wazawa Sekta ya Ujenzi

    BASHUNGWA AIPA MWEZI MMOJA KAMATI YA UWEZESHAJI WA WAZAWA SEKTA YA UJENZI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Kamati inayoandaa Mkakati wa kuongeza ushiriki wa Wazawa katika Miradi ya Ujenzi kukamilisha maboresho ya taarifa hiyo ili iweze kubeba maudhui yote ya Sekta ya...
  7. JamiiForums Tanzania Njombe: Daktari mbaroni wizi wa vifaa vya ujenzi wa hospitali

    Watu wanne wakiwamo watumishi wawili wa Serikali na mlinzi wamekamatwa kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya ujenzi katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe. Taarifa za wizi huo zimetolewa leo Februari 9, 2024 na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Butusyo Mwambelo...
  8. JamiiForums Tanzania Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto

    Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo. Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa...
  9. JamiiForums Tanzania TANROADS Kutumia Teknolojia Mbadala Ujenzi wa Barabara Nchini

    TANROADS KUTUMIA TEKNOLOJIA MBADALA UJENZI WA BARABARA NCHINI Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imefanya majaribio ya awali ya matumizi ya teknolojia mbadala katika ujenzi wa Barabara kwa baadhi ya maeneo na inaendelea kutathmini ufanisi wake kwenye mazingira kwa kutumia...
  10. JamiiForums Tanzania AFRICON 2027 inakuja na neema ya ujenzi wa barabara 4 ,kuanzia mbagala - chamazi- chanika

    Ni neema juu ya neema Kwa Sisi wakazi wa maeneo haya ya mbagala,chamazi,msongola,kitonga Hadi chanika baada serikali kutaka kuanza ujenzi ramsi wa barabara 4 ( 2 lanes).. Toka mwezi uliopita TANROAD wamepigwa alama ya X nyumba zote zilizopo kwenye hifadhi ya barabara pamoja na notes ya siku 14...
  11. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa kuna viwanja vya bure uchague tu sehemu ya kujenga na kuishi kati ya Vikindu, Kibaha, Chanika na Bagamoyo, utachagua kujenga wapi?

    Niaje waungwana, Kama swali linavojieleza hapo juu, ukiambiwa uchague sehemu moja tu ya kujenga kwa ajili ya makazi kati ya Chanika, Kibaha, Vikindu na Bagamoyo ila kiwanja unapewa bure. Ndugu muungwana hebu tuambie utachagua kujenga na kuishi wapi? Na kwanini?
  12. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi ya Shule afikishwa Mahakamani kwa kutaka kumhonga Afisa wa TAKUKURU

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Morogoro, imemkamata na kumfikisha mahakamani Mwenyekiti wa kamati ya ujenzi wa shule, Suleiman Mwishehe kwa tuhuma za kujaribu kumhonga Afisa wa TAKUKURU kwa kutoa shilingi Milioni 3 ili asifikishwe mahakamani wakati wa uchunguzi kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Zijue tofauti za rangi na majukumu yake kwa kofia ngumu zivaliwazo kwenye ujenzi

  14. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, tunaomba kituo cha mafuta cha Oryx kilichopa kimara koregwe kifungwe

    Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za usiku kunakosababoshwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi ,tunaomba kituo cha mafuta cha Oryx kilichopa kimara koregwe kifungwe

    Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za husika haswa usiku kunakosababishwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
  16. JamiiForums Tanzania Sweden kusaidia gharama za ujenzi wa SGR Lot 3 (Makutupora - Tabora - Isaka)

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mhe. Charlotta Ozaki Macias, ambaye ameahidi kuwa nchi yake itashiriki kugharamia ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR kipande cha tatu kinachoanzia Makutupora mkoani Singida hadi...
  17. JamiiForums Tanzania Mkopo kwa ajili ya kuendesha mradi wa ujenzi

    Habari za mchana wanajamvi, mimi ni kujana mwenye miaka 33, katika kujitafuta baada ya mapambano ya muda mrefu ya hapa na pale nimefanikiwa kupata kandarasi ya kutekeleza mradi wa taasisi mojawapo ya serikali. Mradi huo una thamani inayofikia 120M, changamoto inayonikabili kwa sasa ni mtaji wa...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi

    Naitwa isaya mtewele elimu yangu ni kidato cha nne natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi kwa maana nimefanya kazi ya usimamizi kwenye duka la vifaa vya ujenzi miaka mitano hivyo kama kuna kampuni au shirika. Binafsi linalojihusisha na uuzaji wa vifaa vya...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Rais ametoa maelekezo ya kukamilisha ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza. Je, watendaji watatekeleza?

    Akiwa Mwanza tarehe 30.1.2023 Rais na Amiri Jeshi Mkuu katoa maelekezo ya wazi ya kujenga jengo la abiria uwanja wa ndege na majokofu ya kuhifadhia samaki, nyama nk Je, watendaji wakiwemo wakurugenzi, katibu mkuu na waziri wa uchukuzi Mbarawa hawatamwangusha Rais na kumchafua kanda ya ziwa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Juliana Shonza Akabidhi Mifuko 30 ya Saruji (690,000) Ujenzi Ofisi ya UWT Kata ya Ibaba

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Ileje Kata ya Ibaba kwa lengo la kuzungumza na wananchi na kusikiliza kero za wananchi na kuwapa mrejesho wananchi kuhusu utendaji kazi wa Serikali. Katika ziara yake, Mhe. Juliana Shonza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…