#KENYA: Mahakama ya Rufaa imeongeza amri ya kuzuia Serikali isikusanye Kodi Maalum ya Ujenzi wa Nyumba ambayo ni kati ya zinazotekelezwa kupitia Sheria ya Fedha ambayo imelalamikiwa na kuongeza Gharama za Maisha kwa Wananchi.
Zuio hilo linafuatia zuio lililotolewa na Mahakama Kuu Novemba 2023...
Habari Wanasheria mlioko humu,
Mimi nilijenga nyumba yangu maeneo yasiyo rasmi ( squatter) tangu mwaka 2014 na kuhamia , kipindi hicho hakuna barabara , umeme Wala maji.
Wanacnchi tulijichanga wenyewe na KULETA huduma MBALIMBALI kama vile barabara , maji na umeme na kipindi chote hicho...
Kuna watu wamezaliwa na roho mbaya, wana roho na wataendelea na roho mbaya. Kuna watu niwakatili na wataendelea kuwa wakatili.
Ukiona kiongozi anasimama adharani analalamika chama cha siasa kujenga ofisi basi tambua huyo mtu akipata upenyo anaweza kuchoma moto hata nyumba ya jirani yake ambaye...
Habari waheshimiwa.
Nina kaproject kanakohitaji kama tofali 20,000 hivi kakamilike.
So far nina tofali 3000 ila nimepiga hesabu nikaona zikizobakia nikifyatua mwenyewe nitaokoa kama 40% ya pesa ya kununulia ila mafundi wananikatisha tamaa kuwa nitapata hasara tu ni bora kununua.
Naomba kujua...
Serikali ya Mapunduzi ya Zanzibar kupitia shirika Lao la Zanzibar Ferry Development wamesaini mkataba wa ujenzi wa bandari ya boti za abiria, ndege maji (Sea Plane) na sehemu ya kupaki na kufungia boti eneo la Mpigaduri lengo kuu ni kupunguza msongamano wa abiria Malindi Port (Darajani).
Huu...
Habari wakuu.
Nimeona kuna post za members kutaka kujua idadi ya material ya nyumba. Sasa Ili kuanza ujenzi unatakiwa kuwa angalau na idadi ya material ya kuanza kujenga mpaka kupaua. Kisha kutoka kwenye idadi ya material utapata gharama/bei zake halisi kwa sehemu unayotaka kujenga.
Nitakuja...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduz (MNEC) na Mfanyabiashara wa Makampuni ya ASAS, Salim Abri Asas amechangia zaidi ya Tsh. milioni 15 kwa ajili ya ujenzi wa bweni la Wanafunzi wa Chuko Kikuu cha Iringa lenye uwezo wa kuchukua Wanafunzi zaidi ya 40 kama sehemu ya kuunga mkono...
BASHUNGWA AONGOZA HARAMBEE UJENZI WA KITUO CHA MASISTA, MILIONI 237 YAKUSANYWA.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha huduma cha Masista wa Shirika la Dada Wadogo kinachotarajiwa kujengwa eneo la Bagamoyo ambapo jumla ya kiasi cha Shilingi...
Nilikuwa namsikiliza waziri husika kwenye its akiwa na viongozi mbali mbali wa elimu na wilaya
kilichonishtua kidogo n mh waziri kutangaza leo mwende mkahakikishe shule zote zilizofioia asilimia 70 zianze maramoja jtatu
mmh sijajua usajili wa shule unatumia mdagani
nimewaza tu kwamaana hio...
Polepole ya Kobe ujenzi wa Miundombinu ya Kutolea Huduma za Afya Yamkwaza Naibu Waziri Dkt. Dugange
Naibu Waziri (Afya) Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt. Festo Dugange, amewaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri kusimamia miradi ya ujenzi wa vituo vya...
Mwishoni mwa mwaka 2023 ambayo ilikuwa Disema 27, rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi alifanya sherehe kubwa katika uwanja wa Amani, ikiwa ni moja ya mafanikio yake mengi makubwa tangu aingie madarakani mwaka 2020.
Sherehe hiyo ambayo ilikuwa ni mahsusi...
Tarura wanatangaza tender location ni kupanua barabara ya changarawe kuanzia saweni juu mpaka gavao
Kabla ya kuomba kazi kampuni ya ujenzi inataenda kutembelea eneo husika ili kujirithisha sababu kuna habari za chini chini walizipata kwamba gavao hapafikiki kirahis
Safari inaanza wanaenda...
WAZIRI KAIRUKI AKAGUA UJENZI WA MRADI WA NYUMBA MSOMERA
Asisitiza Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu inalenga kuboresha maisha ya wananchi
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekagua mradi wa ujenzi wa nyumba katika kijiji cha Msomera Wilayani Handeni kwa ajili ya...
Heri ya mwaka mpya nyote. Kwa TSH 4mil inaweza nifikisha hatua ipi katika kuiendeleza hio nyumba.
Inavyumba vitatu na Choo cha public
UKubwa ni 15*16
NB: Nimesha nunua Bati, mbao za kupaua na fundi nimesha mlipa.
Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyewahi kuwa Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia TZS 150,000,000/- za Ujenzi wa Kanisa
Watu waliokuwa katika Kanisa hilo wameeleza kwamba...
Vituo vya Mafuta vinajengwa kila sehemu hadi kwenye makazi ya watu. Kwanini Serikali inatoa vibali kwa sehemu hatarishi?
Kuna vituo vingi sana vya mafuta vinajengwa katika maeneo hatarishi kwa jamii na Serikali sijui inaridhia ujenzi huu kwa namna gani? Sijui kwanini haifikirii?
Nakumbuka...
DKT. DUGANGE AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE UJENZI WA KITUO CHA AFYA MALENGAMAKALI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI anayeshughulikia Afya mhe. Dkt. Festo Dugange ameielekeza ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa kuunda timu ya uchunguzi kukagua matumizi ya fedha nza...
Kwenu Wizara ya Ujenzi
Hizi ni barabara za Jiji la Biashara Luanda. Mji Mkuu wa Angola
Jifunzeni kuwa kwenye miji mikubwa ya biashara wenzenu wanajenga barabara njia 3 hadi 4 kila upande sio vituko vyenu vya njia 2 kila upande mnavyotujengea barabara za mbagala na Gongo la Mboto hapo Dar kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.