ujauzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ghost MVP

    KWELI Kufanya mapenzi wakati wa ujauzito Kunaweza kuongeza kwa kiasi kidogo kichocheo cha kuanzisha uchungu ikiwa siku za kujifungua zimefika

    Wakuu wa mambo tunaomba msaada hapa, huku mtaani kwetu kumekuwa na maneno mengi juu ya Kufanya mapenzi Wakati Ujauzito Kunasaidia Kupunguza maumivu, njia kufunguka kwa haraka wakati wa kujifungua na mtoto kushuka haraka wakati wa kujifungua, je kuna ukweli katika Hili?
  2. Mjanja M1

    Amchinja Mke wake mwenye ujauzito na kumpika mtoto wake

    Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Hamis Kulwa (35), mkazi wa Kata ya Uyogo wilayani Urambo kwa tuhuma za kumchinja mke wake mjamzito, kumpasua tumbo kisha kutoa watoto pacha. Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo...
  3. C

    Hataki kupima ujauzito

    Nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja, kwa zaidi ya mwaka sasa, amekuwa na tatizo la kupata ujauzito kwenye ndoa yake kwa zaidi ya miaka mnne ya ndoa, na amekuwa akiniomba nimsaidie kupata ujauzito, kwa madai ya kuwa mumewe anatatizo la uzazi ila hajijui. Sasa bhana baada ya kuusoma mzunguko...
  4. Mjanja M1

    Manara atumia Ujauzito wa Zailyssa aliopewa na Mwanaume mwengine kuwashtua watu

    Haji Manara amejibu swali aliloulizwa kuhusu mkewe kuonekana na Ujauzito mkubwa mitandaoni na ilhali wamefunga ndoa wiki chache zilizopita. Haji Manara amejibu, "Wakati mwingine unatingisha kidogo unawapasha walimwengu ile ni picha ya zamani. Nilimwambia akatingishe kidogo ulimwengu. Hana...
  5. Mjanja M1

    Video: Ustadhi wa madrasa adaiwa kumbaka na kumpa ujauzito binti wa miaka 16

    Hili tukio limetokea huko Zanzibar, ambapo Ustadhi wa Madrasa anatuhumiwa kumbaka Binti mwenye umri wa miaka 16 na kumpa ujauzito. Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 📹 The Chanzo
  6. 5523

    Naomba msaada wa Kisheria, ndugu yangu kapachikwa ujauzito

    Watu wa jukwaa hili habari zenu., Nimepitia comments zenu nyinginyingi nashkuru sana..! mjadala huu naomba ufungwe mod.,
  7. Melki Wamatukio

    Nimeghairi kumpatia ujauzito Shamsa baada tu ya kukutana na mabinti wawili wakikicharanga kimombo

    Mipango yangu mimi pamoja na Shamsa imeingiwa kidudu maji. Tulipanga kupeana ujauzito, kisha tumtunze mwanetu mpaka pale atakapofikisha umri wa kwenda shule ili tumnunulie kiufagio na kidumu cha lita 5 akaanze vidudu, aje kutusaidia baada ya miaka 20 ijayo Baada ya kukutana na hawa mabinti...
  8. S

    Ukiona anasita au hataki kukuoa daka ujauzito halafu goma kuutoa, atakuoa tu

    Mnakwama wapi akina dada mnaopotezewa muda na hawa wanaume viruka njia? Yaani una date na mtu mwaka mzima au zaidi halafu haongelei ndoa? Sasa nawapeni mbinu itakayo walazimisha wawaoe. Mbinu yenyewe simple tu. Daka ujauzito halafu mpe taarifa mapema kabisa kuwa umedaka. Utaona qnatepeta na...
  9. Lukub

    Je kumwagia nje ni njia sahihi ya kuzuia ujauzito ?

    Hii njia inapigiwa chapuo sana haswa na wanawake ambao hawapendi kutumia njia za uzazi wa mpango ,sasa tatizo langu ni kwamba baada ya kumwaga nje kuna mizigo mingine inakuja kwa mwendo wa taratibu kama kinyonga na unapoendelea na shughuli nahisi kabisa inaweza kusababisha ujauzito ,wataalamu...
  10. Pdidy

    Kwanini ndoa za sasa nyingi zinafungwa na ujauzito, nini shida?

    Nimejaribu kuwaza ndoa za enzi zetu Hivi majuzi nilihudhuria ndoa 3 Kila ndoa mdada kabakisha kama mwezi kujifungua hii waliweka mpaka na ambulance na nurse ikitokea emergency Mwingine jumamosi iliopita huyu afadhali kitambi kilikuwa si kikubwa sana Mwingine huuu dah mpaka nilikuwa naogopa...
  11. kocha Nabi

    Mwenza wangu anasumbuliwa na kutoka damu kipindi cha ujauzito

    Habari wakuu, Tupo tunalea mimba ina week 8 now, but tangu week ya 4 mwenza amekuwa akipata shida ya kutokwa vitone vya damu ukeni. Inaweza chukua siku mbili isitoke lakini siku ya 3 ikatoka kitone kidogo sana kama mtu aliyegusisha pamba ya masikioni kwenye nguo ya ndani. Tatizo lilipoanza...
  12. S

    Kiongozi wa mpira asimamishwa kwa kumpatia ujauzito mchezaji

    Mkurugenzi Mtendaji wa Fountain Gate Academy, Japhet Makau ametolea ufafanuzi kuhusiana na tuhuma zilizotolewa kuhusiana na aliyekuwa Mchezaji wa Fountain Gate Princess, Peris Oside Raia wa Kenya kuwa amepewa ujauzito na mmoja kati ya Viongozi wa Timu hiyo. Makau amesema Mchezaji huyo...
  13. OCC Doctors

    Yanayojiri miezi minne ya ujauzito

    Kufikia Miezi minne ya Ujauzito (wiki 16), Mtoto huanza kunyonya kidole gumba, kupiga miayo, kunyoosha na kutengeneza nyuso. Mfumo wa neva / mfumo wa fahamu huanza kufanya kazi katika hatua hii ya ujauzito. Viungo vya uzazi na sehemu za siri za mtoto sasa huumbika kikamilifu. Kupitia uchunguzi...
  14. Equation x

    Baada ya kumpa ujauzito, mapenzi yameongezeka sana

    Kuna pisi kali ilikuwa inanisumbua sana; kutokana na uzuri wake, nikasema hapa, piga ua lazima hili goma nilichukue, na ili kuhakikisha napata huduma muda wote nikaahidi lazima anizalie. Muonekano wa hii pisi kali; amepanda hewani kunizidi mimi, rangi ya chungwa, sura tamu, kiuno nyugwi...
  15. BARD AI

    Mwanafunzi arubuniwa kwa Tsh. 7,000 na ‘Babu’, apewa ujauzito

    Mzee Amos Samson (65), mkazi wa Kijiji cha Mwamala Wilaya ya Shinyanga, anatuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye umri wa miaka 16 (jina linahifadhiwa) baada ya kumrubuni kwa kumpa Sh7, 000. Mwanafunzi huyo wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kolandoto...
  16. A

    Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Watu wa Mungu mpoo? Mimi ni member wa JF tangu miaka ilopita nimekuja na ID tofauti ili nieleze yaliyonikuta iwe funzo na ushuhuda kwa wengine. Niliweka post hapa mika ilopita na kwa bahati tu sijui niseme nzuri au mbaya ila Mungu ndio anajua, nikapata mwanaume ambaye tulianza mahusiano...
  17. Equation x

    Siku mchepuko uliponiambia ana ujauzito wangu

    Ilikuwa kama siku ya alhamisi hivi, mwaka juzi; rafiki yangu mmoja akanipigia simu, na kunijulisha ana ujumbe wangu, nikamuuliza ujumbe gani? akasema kuna dada fulani anakutafuta sana, anasema kwenye simu yako hakupati. Nikamuuliza ana tatizo gani? akajibu, ''anasema ana ujauzito wako, pia yeye...
  18. Melki Wamatukio

    KWELI Upo uwezekano mdogo wa Mwanamke kupata ujauzito akisafisha uke kwa taulo yenye Shahawa

    Ikatokea mwanaume amemwaga manii kwenye taulo ambalo muda mchache baadae mwanamke akalitumia kukaushia uke wake. Kuna uwezekano akapata ujauzito kupitia taulo hilo?
  19. Sildenafil Citrate

    KWELI Mwanamke anaweza kubeba Ujauzito wa watoto mapacha wenye baba tofauti

    Miaka kadhaa nyuma niliwahi kusikia mwanamke mmoja nchini Uganda kajifungua watoto wawili (mapacha) wenye baba tofauti, hali hii ilinishangaza sana. Hali kama hii iliripotiwa pia Septemba 9, 2022 kwenye jarida la CNBC ambapo mwanamama mmoja kutoka Minerois, Brazil alithibitika kuwa na ujauzito...
  20. BARD AI

    Mapacha waliozaliwa kwa Ujauzito wa miezi 4 waweka Rekodi ya Guinness kwa kuishi muda mrefu

    Watoto Adiah na Adrial Nadarajah wameweka rekodi mpya na kupita rekodi ya awali ya siku 125 iliyowekwa mwaka 2018 na Mapacha wengine kutoka jimbo la Iowa, Marekani. Kwa mujibu wa Guinness, Watoto hao wamezaliwa zikiwa zimesalia Wiki 18 kufika Wiki 40 zinazotakiwa Kiafya kwa Mama Mjamzito kuwa...
Back
Top Bottom