ujauzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mapacha waliozaliwa kwa Ujauzito wa miezi 4 waweka Rekodi ya Guinness kwa kuishi muda mrefu

    Watoto Adiah na Adrial Nadarajah wameweka rekodi mpya na kupita rekodi ya awali ya siku 125 iliyowekwa mwaka 2018 na Mapacha wengine kutoka jimbo la Iowa, Marekani. Kwa mujibu wa Guinness, Watoto hao wamezaliwa zikiwa zimesalia Wiki 18 kufika Wiki 40 zinazotakiwa Kiafya kwa Mama Mjamzito kuwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini na kuchunguza hizi 'Sick Sheet' za ujauzito kwa watumishi, asilimia kubwa ni za mchongo

    Ndugu Habari za wakati. Bila kupoteza muda acha ninielekeze moja kwa moja kwenye maada hapo isemayo : Serikali iwe makini na kuchunguza hizi Sick Sheet za ujauzito kwa watumishi wa Wanawake. % kubwa niza mchongo. Wadau Sick Sheet ni likizo iliyotolewa kwa sababu ya ugonjwa. Na kwa utaratibu wa...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watu 45 wamepandikizwa Mimba Dar, 35 wamepata ujauzito

    Kiasi cha Sh4.5 bilioni kimetumika kufanya uwekezaji wa ujenzi, miundombinu na vifaa tiba vilivyotumika kuanzisha Kituo cha Huduma Pandikizi (IVF) cha Hubert Kairuki. Kituo hicho cha kutoa huduma hiyo kipo Bunju A jijini Dar es Salaam kikiwa na uwezo wa kufanya upandikizaji kwa watu 1,000 kwa...
  4. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania KWELI Mwanamke anaweza kupata ujauzito akiwa ananyonyesha, kabla hajaona hedhi yake ya kwanza

    Kipindi cha afya hai ya uzazi wa mwanamke hutawaliwa na mizunguko ya hedhi ya kila mwezi ambayo hukoma baada ya kupata ujauzito, muda mchache baada ya kujifungua na pia baaada ya kufikia umri wa ukomo wa hedhi. Kwa maana rahisi, mwanamke hawezi kupata ujauzito ikiwa hapati hedhi. Hata hivyo...
  5. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji wa mayai wakati wa ujauzito husababisha kujifungua watoto wenye vichwa vikubwa au wasio na nywele

    Wanawake wajawazito hupewa tahadhari au hata hukatazwa kabisa kufanya baadhi ya mambo kwa lengo la kuwaepushia madhara yanayoweza kuhatarisha afya zao, pamoja na mtoto aliyeko tumboni. Miongoni mwa mambo yaliyodumu kwa muda mrefu kwenye jamii zetu ni kuzuia wanawake wajawazito kutumia mayai...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 9,011 wamepata ujauzito kwa mwaka 2021 - 2022

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, #OmaryKipanga amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum (CCM), #HawaMchafu aliyetaka kujua ni Wanafunzi wangapi wamerejeshwa Shuleni baada ya Agizo la #RaisSamia. Kwa mujibu wa Waziri Kapanga idadi hiyo ni ya Wanafunzi 1,554 wa...
  7. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Ujauzito kwa Wanafunzi, wahusika wa ujauzito kuchukuliwa hatua

    Wanafunzi wajawazito, Shule ya Msingi 1400, Sekondari 7000. Naibu Waziri wa Elimu Bungeni leo. Kati ya hao, waliorudi kuendelea na shule ni wanafunzi 1000 pekee. Mikakati kukomesha mimba. Shule 26 za bweni zitajengwa kwa awamu ili wasichana wasome bweni. Hostel zitaanzishwa maeneo ambayo...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kunywa maji wakati wa Ujauzito

    Ninywe Maji Kiasi Gani Kila Siku Wakati wa Ujauzito? Uhitaji wa maji wakati wa ujauzito ni mkubwa zaidi ili kuhakikisha mfumo wa mwili unaosimamia maisha ya viumbe wawili unafanya kazi vizuri. Ijapokuwa utofauti upo wa kiasi gani cha maji unywe kwa siku kutokana na sababu mbalimbali kama aina na...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siwezi kukuoa Kwa sababu nimekupa ujauzito!

    SIWEZI KUKUOA KWA SABABU NIMEKUPA UJAUZITO! Anaandika, Robert Heriel. Jilengeshe! jibebeshe! jitegeshe! Utajua mwenyewe. Oooh! Kama ulikuwa hutaki mtoto si ungetumia Mpira, ooh! Kama hukuwa unanipenda mbona ulinifuata ukanitongoza, ooh! Kwa nini hukupiga shut fyongo likaenda nje, wewe...
  10. Bridger

    JamiiForums Tanzania KWELI Mwanaume anaweza kuonesha dalili za Ujauzito badala ya Mkewe

    MADAI Mdau wa JamiiForums ametoa mkasa mmoja unaomhusisha mume wa rafiki yake wa kike aliyeanza kuonesha dalili za ujauzito kwenye ujauzito mchanga wa mkewe. Mdau anaeleza kwamba shemeji yake huyu ilikuwa kila asubuhi anatapika njano, na homa za hapa na pale na kila alipoenda hospital Ugonjwa...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Askari atuhumiwa kumuua raia mwenye ujauzito kwa kumpiga risasi

    Jeshi la Polisi limemsimamisha kazi mtuhumiwa ambaye inadaiwa alimpiga risasi Mwanamke huyo ambaye ni Mwanasheria wakati alipokuwa na familia yake wakirejea nyumbani kutoka kanisani Jijini Lagos Askari anaitwa Drambi Vandi huku marehemu amefahamika kwa jina la Bolanle Raheem aliyekuwa na...
  12. dracular

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta mwenzenu, nimempa mimba mchepuko!

    Habarini za majukumu ndugu zangu. Naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa sana na sijui la kufanya ni nini. Nina mchumba wangu ambae tunapendana sana ila kutokana na nature ya majukumu yangu hatukuweza kuonana nae kwa almost miezi 9, so katika harakati zangu za kupunguza genye nikapata demu...
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuanzia kesho sili papuchi bila kumpima UKIMWI na ujauzito

    Wakuu, Wanawake akili zao wanazijuwa wenyewe! Kupitia uzoefu niliyopata humu JF, nikaweza kubaini hujuma niliyotaka kufanyiwa na hivi vibinti vinavyo vaa viatu vyenye manyoya. Tulipanga miadi ya kula papuchi wiki mbili zilizopita, ila kwasababu anazozijuwa yeye hakutokea, nikabaki na ugumu...
  14. Bridger

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Nanasi huharibu ujauzito

    Nanasi ni tunda lenye faida lukuki kwa afya. Miongoni mwa faida za tunda hili ni kuongeza kinga ya mwili, kutibu mafua, kupambana na saratani, kuondoa maumivu pamoja na kulinda moyo. Pamoja na uwepo wa faida hizi kwa afya, nanasi huhusishwa na changamoto ya kuharibika kwa ujauzito kwa...
  15. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Dalili za hatari kwa ujauzito

    Ujauzito huja na tabia nyingi ambazo baadhi huwa za kawaida huku baadhi zikiwa siyo za kawaida. Ni muhimu sana kwa mama mjamzito kuzungumza na daktari mara kwa mara ili kuondoa sintofahamu hizi ambazo siyo nzuri kwa afya. Tumekuletea dalili za hatari wakati wa ujauzito ambazo ni lazima...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke anaweza kupata ujauzito baada ya kutolewa kizazi kwa kuombewa na Manabii na Mitume?

    Habari za wakati huu wanajamiiforums! Jamani mimi binafsi kuna jambo napata ukakasi kuamini kama ni kweli. Ipo hivi kuna muda huwa naangalia channel za manabii na mitume maaraufu hapa Tanzania, Sasa kuna shuhuda huwa nazisikia mwanamke anadai kupata ujauzito bila ya kuwa na kizazi! Wengi wa...
  17. Gidamarirda

    JamiiForums Tanzania Umewahi Kufanya Ultrasound Katika Kipindi cha Ujauzito?

    Na Je unafahamu Umuhimu wa Kufanya Kipimo Cha Ultrasound katika Kipindi cha mimba? Niko hapa kujibu maswali uliyonayo kuhusu kipimo cha Ultrasound!
  18. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Kiungulia wakati wa Ujauzito

    Mabadiliko makubwa ya mfumo wa homoni pamoja na kasi ya ukuaji wa mtoto ambayo huleta mgandamizo kwenye tumbo la chakula ni mambo mawili yanayosababisha kutokea kwa tatizo la kiungulia kwa wanawake wajawazito. Jambo hili siyo la ajabu, linaweza kutokea kwa mwanamke yeyote. Ili kuzuia...
  19. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa Udongo, Sabuni na Karatasi wakati wa ujauzito

    Pengine umewahi kuwaza kwa nini baadhi ya wanawake wajawazito hupenda sana kula udongo, barafu, magodoro, nguo, sabuni, karatasi au vitu vingine visivyo chakula? Kitendo hiki kitaalamu huitwa Pica. Husababishwa na uwepo wa upungufu mkubwa wa madini ya chuma ambayo hupelekea kutokea kwa tatizo...
  20. Dr. Mariposa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

    Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu, Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia...
Back
Top Bottom