ujauzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. John Haramba

    Maoni, mitazamo kuhusu sheria ya utoaji mimba kwa wanaopata ujauzito bila ridhaa yao

    Wiki iliyopita katika makala ya Sheria ya katazo la Utoaji Mimba Tanzania dhidi ya uhalisia wa maisha halisi ya mtaani nilielezea kuhusu uhalisia ulivyo kwa sasa wa matukio mengi ya unyanyasaji wa kingono yanayotokea kwenye jamii zetu. Makala iligusia jinsi Wasichana wadogo wanavyobebeshwa...
  2. Sildenafil Citrate

    Upungufu wa damu (Anemia) wakati wa ujauzito

    Upungufu wa damu (Anemia) wakati wa ujauzito ni tatizo linalo wapata wanawake wengi. Tatizo hili huwaongezea hali ya kujisikia uchovu, kupauka kwa rangi ya ngozi, maumivu ya kichwa pamoja na kuongezeka kwa mapigo ya moyo. Aidha, huongeza nafasi ya kujifungua mtoto mwenye uzito mdogo, kujifungua...
  3. BARD AI

    Sababu za kupata ujauzito wakati unatumia uzazi wa mpango

    Uzazi wa mpango ni uamuzi wa hiari wa mtu binafsi mke/mume au mtu na mwenzi wake kuhusu lini waanze kupata watoto, wazae wangapi, wapishane kwa muda gani, lini waache kuzaa na njia gani ya uzazi wa mpango wangependa kutumia. Matumizi ya kondomu, vipandikizi, sindano, vidonge, kitanzi na...
  4. F

    SoC02 Wanafunzi wa kike wa miaka (15-18)wanaopata ujauzito kutoka kwa wanafunzi wenzao wa kiume wenye miaka inayoendana wapewe adhabu pia

    Wanafunzi wa kike au mabinti wenye umri kati ya miaka kumi na tano mpaka miaka kumi na nane wanaopewa ujauzito au kufanya ngono na wanafunzi wenzao au vijana wenye umri unaoendana na wao wapewe adhabu ya muda mfupi kisha warudishwe masomoni chini ya uangalizi wa wazazi. Imezoeleka kwamba watoto...
  5. Z

    SoC02 Jamii inampokeaje mtoto wa kike aliyepata ujauzito akiwa shule?

    Jamii nyingi zimekuwa zikiwatenga sana watoto wa like ambao wanabeba mimba wakiwa shule, wengi wao hawapati ushirikiana wankutosha kwa jamii zinazowazunguka, wahanga wengi wa tatizo hili huishia tu kuwa na msongo wa mawazo na kujiona ndio wameshafeli kwenye maisha. Serikali imewaruhusu watoto...
  6. Melki Wamatukio

    Binti afunguka kuwa mwanaume aliyefungwa miaka 30 jela siye aliyempa ujauzito

    Hakika wanawake si binadamu, ni viumbe wa ajabu sana kulinganishwa na majini au hata nyoka. TUISHI NAO KWA AKILI Mwaka 2017 huyu binti alikuwa kidato cha nne. Kwa bahati mbaya alipata ujauzito mwezi wa tatu. Juhudi za kumtafuta mhusika zilimwangukia kijana aliyekuwa anachukua diploma ya unesi...
  7. Frumence M Kyauke

    Ipi njia bora ya kuzuia ujauzito kwa Wanawake?

    Kuna njia nyingi za kuzuia ujauzito kwa wanawake kati ya zifuatazo: Kutenganisha mirija ya uzazi Kuepuka ngono Kutumia kalenda Njiti Vidonge Condom Kwa wataalamu wa maswala ya uzazi njia ipi inayotumika zaidi?
  8. Jstar1

    Anataka nimpe ujauzito japo bado sijamuoa yupo kwao

    Kuna dada mmoja anasoma chuo, ni mpenzi wangu japo anajua nina mapenzi, kabila lake ni mmakonde, mweupe na ni islamic.. Shida ni kua ana hamu ya mtoto na anakaa kwao na mama yake, anataka nimzalishe mimi ambae ni mkristu yeye kasema atabadili dini, anatamani tu azae na mtu wa kuzaa nae ni...
  9. N

    Siku ya 11 leo kipimo kinaonesha ana ujauzito

    Habari jf? Naomba tushee mawazo kuhusu hili suala. Nimekutana kimwili na huyu binti toka tarehe 1 August, 2022 bila kutumia kinga. Leo hii nimejaribu kumpima UPT bila yeye kujua maana alikua anachukua urine test kwenye masuala mengine. Je, inawezekana mimba kuonekana kwenye rada kwa muda...
  10. Lanlady

    Amempa mimba mwanafunzi, akamnunulia dawa za kutoa-hakuzitumia. Sasa anaomba ushauri!

    Ni kijana ambaye nilikutana naye mahali fulani wakati nahitaji huduma fulani. Nilipofika nilimkuta anaongea na simu, kwa kuwa nilikuwa sina haraka nikamwambia amalize kuongea atanihudumia wakati huo mi nimepumzika kidogo kwenye benchi. Sikuwa najisikia vizuri sana kutokana na vurugu mbalimbali...
  11. M

    SoC02 Kwanini naogopa ujauzito?

    Ujauzito ni hatua muhimu katika maisha ya kila mwanamke. Kuna wamama wanao furahia kipindi chote wanachobeba ujauzito na wengine huanza kuwa na khofu pindi tu anapojigundua kuwa ana ujauzito. Licha ya kuwa asilimia kubwa wanawake huwa na khofu na wasiwasi, hali hiyo hupungua pindi wanapopata...
  12. M

    Ujauzito unaweza ukawa umeharibika?

    Mdogo wangu in mjamzito miezi mitatu, juzi alhamis jion maji yalianzakumtoka na baadae damu tukaenda hospital moja ya karibu waka mpima wakasema mtoto hana maji na njia imefunguka Je, hapo kuna uwezekano wa mtoto kuishi bila maji?
  13. Getrude Mollel

    Wanafunzi 3,000 Waliopata ujauzito na sababu mbalimbali warudi Shuleni. Benki ya Dunia yaahidi kuongeza misaada

    Benki ya Dunia imeipongeza Tanzania kwa kuamua kuwekeza kiasi kikubwa cha fedha kwenye maeneo ya uzalishaji kikiwemo kilimo, mifugo na uvuvi mambo ambayo yatachochea ukuaji wa kipato cha wananchi na kukuza uchumi wa nchi. Pongezi hizo zimetolewa Jijini Dar es Salaam na Makamu wa Rais wa Benki...
  14. A

    Je, unasumbuliwa na tatizo la kushika ujauzito?

    Habari wana jamvi... Kuna sababu nyingi zinazopelekea mwanamke kutoshika mimba ikiwemo.. Uvimbe kwenye mirija ya uzazi Homone imbalance Magonjwa kwenye mfumo wa uzazi n.k Kuna dawa itakusaidia wewe mwenye tatizo la kushika mimba ukitumia dawa matokeo utayaona ndani ya mwezi mmoja.. Itakusaidia...
  15. Kifaru86

    Ivi ujauzito huanza kujitokeza au kuonekana baada ya muda Gani

    Wakuu ningependa kufahamu mwanamke akipata ujauzito tumbo lake huanza kuonekana baada ya muda gani kubwa Nauliza kwa maana kuna mahala tiyali mtoto wa mtu kabeba ujauzito wangu
  16. MoneyHeist4

    Nahisi kama nimeingizwa chaka

    Sitaki kuandika maelezo marefu sana naenda moja kwa moja kwenye Mada maana kichwa kimechemka:- Huyu demu nilikutana nae kimwili mwishoni mwa mwezi wa saba, ndani ya mwezi wa 8 akaniambia hajaona siku zake maana yake ana ujauzito wangu, mimi sikuleta ubishi nikakubali na nilimwambia nitakuwa nae...
  17. JanguKamaJangu

    Waziri: Wanaume tunzeni vizuri wenza wenu wenye ujauzito ili watoto wawe na IQ kubwa

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka Wanaume kutunza ujauzito wa wenza wao ili watoto wanaozaliwa wawe salama kiafya na wenye akili ya uwezo wa juu na ufanisi (IQ). “Kila baba anapenda kujisifia mtoto wake ambaye anafaulu vizuri shuleni, lakini kufaulu vizuri kwa mtoto shuleni...
  18. The Assassin

    Naomba ushauri, girl friend wangu amepata ujauzito miezi 3 baada ya kujifungua

    Wakuu, naombeni ushauri wa kitaalamu, mpenzi wangu alijifungua mwezi Januari mwaka huu. Mwezi wa 4 katikati akaomba game kwani ameimisi muda mrefu(hatuishi pamoja). Ajabu mwezi huu hajaona siku zake na ameenda kupima amekutwa na mimba tayari. Naombeni ushauri, je hii mimba anaweza kuibeba na...
  19. FOX21

    Je, unaweza kushika ujauzito baada ya kujifungua (kipindi cha kunyonyesha)?

    Kweli wanawake wengi wanadhani kuwa hawawezi kupata ujauzito kipindi wananyonyesha hasa kutokana na kutopata hedhi au kupata hedhi kidogo katika miezi ya awali tangu wajifungue. Kitabibu ni sahihi kunyonyesha na ni mojawapo ya njia ya asili ya uzazi wa mpango ambayo watu wenye imani za kidini...
  20. Equation x

    Ulijisikiaje siku ile mkeo alipokuambia ana ujauzito wako?

    Nakumbuka siku hiyo sikukaa nyumbani, ilibidi nitoke mimi mwenyewe nikaenda mafichoni nakujitafakari, kweli mimi nitaitwa baba? Na majukumu yangu yatakuwa wapi? Nikakumbuka msemo wa wahenga, unaosema, 'mwanamke akikuzalia ina maana amekupenda' vinginevyo anaweza akatoa ujauzito wako au...
Back
Top Bottom