Amchinja Mke wake mwenye ujauzito na kumpika mtoto wake

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Hamis Kulwa (35), mkazi wa Kata ya Uyogo wilayani Urambo kwa tuhuma za kumchinja mke wake mjamzito, kumpasua tumbo kisha kutoa watoto pacha.

Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo limefanyika Januari 30 mwaka huu saa 11 jioni likihusishwa na imani za kishirikina.

Kamanda Abwa amesema baada ya mtuhumiwa kumpasua mke wake, alitoa watoto pacha kisha kumpika mmoja huku mwingine pamoja na mwanaye mwingine aliyekuwa na miaka miwili, akiwazika.

“Wakati wa mahojiano alidai kuwa aliambiwa kuna watu wametumwa kumchukua mkewe na watoto, wanawapeleka Gambushi [eneo lililoko mkoani Simiyu linaloamika kwa nguvu za giza] kufanya kazi za kichawi usiku na siku si nyingi wangewachukua na kuwaua, ndio maana akaamua awaue yeye mwenyewe,” amesema Kamanda.

Source - SwahiliTimes
 
Ni uchawi au kichaa. Asipigwi huyu apimwe akili kwanza.
 
Mkisikia tunamuhubiri Yesu tuungeni mkono!

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Hamis Kulwa (35), mkazi wa Kata ya Uyogo wilayani Urambo kwa tuhuma za kumchinja mke wake mjamzito, kumpasua tumbo kisha kutoa watoto pacha.

Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo limefanyika Januari 30 mwaka huu saa 11 jioni likihusishwa na imani za kishirikina.

Kamanda Abwa amesema baada ya mtuhumiwa kumpasua mke wake, alitoa watoto pacha kisha kumpika mmoja huku mwingine pamoja na mwanaye mwingine aliyekuwa na miaka miwili, akiwazika.

“Wakati wa mahojiano alidai kuwa aliambiwa kuna watu wametumwa kumchukua mkewe na watoto, wanawapeleka Gambushi [eneo lililoko mkoani Simiyu linaloamika kwa nguvu za giza] kufanya kazi za kichawi usiku na siku si nyingi wangewachukua na kuwaua, ndio maana akaamua awaue yeye mwenyewe,” amesema Kamanda.

Source - SwahiliTimes
Angetajwa mkurya hapa, huu uzi ungekuwa haufunguki kwa wingi wa comments.
 
Jamii yetu imekuwa na watu wengi wenye changamoto ya Afya ya Akili. Ni vile tu tunapuuzia mambo mengi na kuchekana.

Ugumu wa maisha, familia zinazunguka jamii yetu zinachangia kiasi kikubwa sana jambo hili.

Ni wakati wa serikali kutilia mkazo masuala ya Afya ya Akili ili kupunguza matukio kama haya mbeleni.
 
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Hamis Kulwa (35), mkazi wa Kata ya Uyogo wilayani Urambo kwa tuhuma za kumchinja mke wake mjamzito, kumpasua tumbo kisha kutoa watoto pacha.

Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo limefanyika Januari 30 mwaka huu saa 11 jioni likihusishwa na imani za kishirikina.

Kamanda Abwa amesema baada ya mtuhumiwa kumpasua mke wake, alitoa watoto pacha kisha kumpika mmoja huku mwingine pamoja na mwanaye mwingine aliyekuwa na miaka miwili, akiwazika.

“Wakati wa mahojiano alidai kuwa aliambiwa kuna watu wametumwa kumchukua mkewe na watoto, wanawapeleka Gambushi [eneo lililoko mkoani Simiyu linaloamika kwa nguvu za giza] kufanya kazi za kichawi usiku na siku si nyingi wangewachukua na kuwaua, ndio maana akaamua awaue yeye mwenyewe,” amesema Kamanda.

Source - SwahiliTimes
Usukumani huko kwa kina MBITIYAZA
 
Mmmmh ukatili gan
 
Back
Top Bottom