Ukiona anasita au hataki kukuoa daka ujauzito halafu goma kuutoa, atakuoa tu

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Mnakwama wapi akina dada mnaopotezewa muda na hawa wanaume viruka njia? Yaani una date na mtu mwaka mzima au zaidi halafu haongelei ndoa?

Sasa nawapeni mbinu itakayo walazimisha wawaoe. Mbinu yenyewe simple tu. Daka ujauzito halafu mpe taarifa mapema kabisa kuwa umedaka. Utaona qnatepeta na kuamua kwenda kujitambulisha.

Chezea wewe! Damu nzito kuliko maji.
 
Sio mimi, nitamtuza na sitamkataa, ila kukuoa? Sahau! Mawazo kama haya ndo yanawafanya single Mama.
 
Unakuta mpo kama watano hivi wote mmejazwa mkajazika, ataenda kujitambulisha kwa yupi?
 
Mnakwama wapi akina dada mnaopotezewa muda na hawa wanaume viruka njia? Yaani una date na mtu mwaka mzima au zaidi halafu haongelei ndoa?

Sasa nawapeni mbinu itakayo walazimisha wawaoe. Mbinu yenyewe simple tu. Daka ujauzito halafu mpe taarifa mapema kabisa kuwa umedaka. Utaona qnatepeta na kuamua kwenda kujitambulisha.

Chezea wewe! Damu nzito kuliko maji.
Ndivyo mnavyodanganyana siku hizi nyinyi wanawake??
 
Mnakwama wapi akina dada mnaopotezewa muda na hawa wanaume viruka njia? Yaani una date na mtu mwaka mzima au zaidi halafu haongelei ndoa?

Sasa nawapeni mbinu itakayo walazimisha wawaoe. Mbinu yenyewe simple tu. Daka ujauzito halafu mpe taarifa mapema kabisa kuwa umedaka. Utaona qnatepeta na kuamua kwenda kujitambulisha.

Chezea wewe! Damu nzito kuliko maji.
Nitaleta uzi nikujibu wacha kuwapotosha wenzako
 
Mnakwama wapi akina dada mnaopotezewa muda na hawa wanaume viruka njia? Yaani una date na mtu mwaka mzima au zaidi halafu haongelei ndoa?

Sasa nawapeni mbinu itakayo walazimisha wawaoe. Mbinu yenyewe simple tu. Daka ujauzito halafu mpe taarifa mapema kabisa kuwa umedaka. Utaona qnatepeta na kuamua kwenda kujitambulisha.

Chezea wewe! Damu nzito kuliko maji.
Mtego huu! hatutaki kuongeza idadi ya single mother wakukusudia.
 
Kuna binti now anamsumbua mama yake kulisha mtoto, kununua diapers, maziwa, sababu alizaa na mwanaume mwenye familia yake na jamaa kwasasa anashindwa kuwaganya mshahara mara mbili kulea watoto.

Acheni huo ujinga wa kuwategeshea mimba wanaume. Sio vizuri wanaokuja kuteseka ni watoto hawa mnaowaleta sababu mlishindwa kutuliza mabichwa yenu na kufanya maamuzi sahihi.

Mtalaaniwa maisha yenu yote kwa kutesa watoto wasio na hatia.
 
Back
Top Bottom