uingereza

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia Afrika

    Rais Samia leo amekuwa na mazungumzo na Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi.
  2. JamiiForums Tanzania Aina ya Virusi vya Corona vya India na Uingereza vyagunduliwa Afrika Kusini

    Aina mpya ya Virusi vya COVID19 kutoka India na Uingereza imegunduliwa nchini Afrika Kusini, Wizara ya Afya imeeleza. Visa 11 vya maambukizi ya aina ya Virusi vya B.1.1.7 (Uingereza) na visa 4 vya B.1.617.2 (India) vimegunduliwa katika majimbo ya Gauteng na Kwazulu-Natal, na waathirika wamekuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Jeshi la Maji la Uingereza latumia teknolojia ya mtu kupaa kupambana na uharamia

    Jeshi la Maji la Uingereza limefanya majaribio ya kutumia mavazi maalum yanayomwezesha mtu kupaa kwa lengo la kuboresha operesheni za kuzuia uharamia baharini. Kampuni ya utafiti wa teknolojia ya anga ya Gravity Industries imechapisha video inayoonesha wanajeshi hao wakifanya mazoezi kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Uingereza: Vifo vitokananvyo na Unywaji Pombe vyaongezeka baada ya Watu kuwekwa Karantini ya Majumbani

    Inaelezwa kuwa kuongezeka huko kumeanza baada ya watu kutakiwa kukaa majumbani ili kuzuia maambukizi zaidi ya ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona. Taarifa ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (ONS) zinaonyesha kuna vifo 7,423 chanzo kikiwa ni unywaji pombe sawa na ongezeko la...
  5. JamiiForums Tanzania Ukoo wa kifalme Uingereza hawaruhusiwi kupiga kura katika uchaguzi

    Royals Don't Vote It might seem strange, but the royal family and politics do not go hand in hand. The royals do not vote because they are not supposed to express political opinions, and they are also not allowed to run for office. They are supposed to stay impartial. This also applies to...
  6. JamiiForums Tanzania Kwenye ukoo wa kifalme Uingereza inakatazwa weza kuonyesha mahaba yao kama kushikana mikono hadharani

    PDA Is Off-Limits Although the couples in the royal family might love each other dearly, they are not supposed to show public displays of affection. Marrying a prince might seem like an actual fairytale, but you can't make a big show of it in public. Holding Hands Is Even Frowned Upon This rule...
  7. JamiiForums Tanzania Hakuna aliye juu ya sheria- hii kwa makosa inatumika tu hapa kwetu ila Uingereza Malkia wao haihitaji leseni ya udereva

    The Queen is the only person in the United Kingdom who can drive a car without a driver's license. She has been driving since she was 19, and she does not need a license because they are issued in her name; therefore, she gets to enjoy the rights that exclude her from the law.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa: IGP Simon Nyakoro Sirro Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Nyakoro Sirro leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini David Concar. Wawili hao walikutana ofisini kwa IGP Sirro na walibadilishana uzoefu kwenye masuala mbalimbali ya kiusalama
  9. U

    JamiiForums Tanzania Malkia Elizabeth II wa Uingereza atimiza umri wa miaka 95

    Tarehe kama ya leo alizaliwa Malikia Elizabeth II ambaye ni Mkuu wa Ufalme wa Uingereza Hongera sana kwake kwa kutimiza umri wa miaka 95
  10. A

    JamiiForums Tanzania Miaka 82 ya penzi la Malkia Elizabeth II na Mwanamfalme Philip

    MWAKA 1939, Elizabeth alikuwa binti mwenye umri wa miaka 13. Urembo wake haukuwa na kificho. Mwaka huo, Philip alikuwa kijana barubaru, umri wake tayari ulishatimia miaka 18. Ndipo wakakutana. Binti wa miaka 13 akaangukia kwenye penzi la kijana mwenye miaka 18. Elizabeth na Philip wakawa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu atuma salamu za rambirambi kwa familia ya malkia wa Uingereza

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa malikia wa Uingereza Queen Elizabeth II, baada ya kifo cha Mwanamfalme Prince Philip. Kupitia ukurasa wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa Twitter ameandika kuwa:-
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yajibu marufuku ya Uingereza kwa kuwawekea raia wa nchi hiyo masharti

    Kenya imejibu marufuku ya Uingereza kwa kuwawekea raia wa nchi hiyo watakaowasili sharti la kuwa karantini kwa siku 14. Raia wa Uingereza watakapokuwa wamejitenga, watahitajika kupimwa ikiwa wamepata maambukizi ya virusi vya corona au la mara mbili siku ya pili na ya nane wakiwa karantini kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Seven deaths in UK among AstraZeneca jab recipients after blood clots

    Seven deaths in UK among AstraZeneca jab recipients after blood clots SATURDAY APRIL 03 2021 This picture shows vials of the AstraZeneca Covid-19 vaccine in Paris on March 11, 2021.AFP PHOTO By AFP The UK medical regulator said Saturday that out of 30 people who suffered blood clots after...
  14. JamiiForums Tanzania Uingereza: Chris Whitty asema hakuna haja ya lockdown, wataishi na Corona kama mafua

    Afisa Mkuu wa Tiba na Mshauri wa Tiba wa Uingereza, Chris Whitty amesema hakutakuwa na lockdown wataishi na #COVID19 kama mafua. Ameshauri Serikali yake kujifunza kuishi na #CoronaVirus pia amesema vinavyotajwa kuwa virusi vipya ni uongo. ====== The idea that Covid variants can be stopped...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Uingereza yanyoosha mikono na kupendekeza kufuata nyayo za hayati Magufuli kuhusu kupambana na Corona

    Wakuu, Habari za asubuhi, Hayati Magufuli alikuwa anaona mbali sana kuhusu hili gonjwa la corona, japo baadhi ya watu wa ndani ya nchi, mataifa jirani na nchi za magharibu walikuwa wakibeza sana misimamo yake. Mshauli mkuu wa masuala kiafya wa uingereza kaona kujifungia ndani/lockdown...
  16. JamiiForums Tanzania Uingereza yatuma kikosi maalum cha makomandoo wa SAS Msumbiji kumuokoa raia wao aliyetekwa

    Makomandoo wa kikosi maalum kiitwacho Special Boat Service: Picha na Royal Marine ya Uingereza. Uingereza imetuma makomandoo watatu wa SAS kwenda nchini Msumbiji kusaidia kumuokoa raia wa nchi hiyo bwana Phillip Mawer ambae ametekwa na kikundi cha kigaidi cha ISIS. Gazeti la The Times la...
  17. JamiiForums Tanzania ITV News Uingereza yaeleza hali ya Corona Tanzania

    Vyombo vya habari vya kimataifa vimetangaza kuwa Tanzania inachukuliwa na upepo wa corona kwakua nchi hiyo imeamua kuzika kichwa chake ardhini. Waandishi wa habari hao walitembelea Tanzania na kujifanya ni Watalii. Walipohoji raia umuhimu wa kuvaa barakoa, wengi walisema wanamuamini Mungu.
  18. JamiiForums Tanzania Muungano wa Wafanyakazi Uingereza walia na mfumo wa teknolojia wa ufahamu bandia katika ajira

    Muungano wa Wafanyakazi nchini Uingereza umeonya kile ilichokiita 'mwanya mkubwa' katika sheria za ajira na matumizi ya teknolojia ya ufahamu bandia (AI) katika mchakato wa ajira. Kutokana na mabadiliko ya teknolojia yanayoruhusu kuajiriwa au kufukuzwa kazi kwa mfumo wa kompyuta, Muungano huo...
  19. JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa Syria kufunguliwa mashtaka nchini Uingereza

    Miaka 10 tangu kuanza kwa mapigano nchini Syria, Mke wa dikteta na rais wa Syria, Bashar al-Assad, Asma al-Assad anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binadamu na kushawishi uhalifu dhidi ya wananchi wa Syria, mashtaka yaliyofunguliwa dhidi yake nchini Uingereza. Asma ambaye ana uraia...
  20. JamiiForums Tanzania Utafiti Uingereza: Chanjo inasaidia kupunguza kuenea kwa virusi vya corona kwa asilimia 85

    Takwimu kutoka nchini Uingereza zinaonesha kuwa chanjo dhidi ya virusi vya corona inasaidia kupunguza uwezekano wa kuenea kwa maambukizi kwa hadi asilimia 85. Utafiti uliochapishwa na taasisi ya Public Health England (PHE) unaonesha kuwa chanjo ya Pfizer-BioNTech inapunguza uwezekano wa kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…