uingereza

  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Kijana aliyewavamia Ozil na Kolasinic ahukumiwa jela miaka kumi

    Mahakama ya Horrow Crown ya nchini Uingereza imemhukumu Bwana Ashley Smith, 30 kwa kosa la kuwavamia wachezaji wa timu ya Arsenal siku ya tarehe 25 Julai 2019 Maeneo ya Kaskazini Magharibi mwa Mji wa Londoni. Aidha, inaelezwa kuwa kijana huyo alialiwavamia wachezaji hao kwa lengo la kutaka...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Vyama vitatu vya upinzani vyaungana Uingereza kupigania Uingereza ibakie katika Umoja wa Ulaya

    Vyama vitatu vya siasa nchini Uingereza vimetangaza makubaliano ya kushirikiana ili kupata wanachama zaidi katika bunge ambao wanaunga mkono Uingereza kubakia katika Umoja wa Ulaya. Vyama hivyo vitatu vya Liberal Democrats, Chama cha Walinzi wa Mazingira na chama cha Plaid Cymru cha jimbo la...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Italia Ni nchi ya majitu uingereza ni vijitu

    Kama unawafahamu wazungu basi utaweza kuwatofautisha kwa muonekano waitalia Ni majitu makubwa yenye nywele nyeusi na Ni white redish waitalia wengi wana nywele nyeusi ila waingereza Ni vijitu vidogo ila vyenye akili wajerumani warefu wakubwa wasweden Ni weupe pyeeee na wanorwy pia wanafanana na...
  4. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya umekubali kuiongezea Uingereza muda wa kujiondoa katika umoja huo

    Mpango wa Uingereza kujiondoa umoja wa Ulaya tarehe 31.10.2019 kama alivyoapa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Borris Johnson umeshindikana hivyo wameomba muda zaidi kwa Umoja wa Ulaya ili waweze kujiandaa zaidi na kupata makubaliano mapya yatakayokubaliwa na Bunge la Uingereza. Borris aliapa...
  5. Ack

    JamiiForums Tanzania Mambo yameiva: Jinsi Irani walivyoteka meli ya mafuta ya uingereza

    Jinsi Irani walivyoteka meli ya mafuta ya uingereza, mambo yameiva https://youtu.be/mbuRGf5cfNM
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Video ya Ngono ya Walimu Uingereza Yawaletea Balaa

    Video ya Ngono ya Walimu Uingereza Yawaletea Balaa Walimu wawili nchini Uingereza wako kwenye hatari ya kupoteza kazi zao baada ya video yao waliyoitengeneza wakati wakiepeana uroda nyumbani kwao kuonekana kwenye mitandao ya ngono. Kasheshe iliwakumba walimu hao wakazi wa Bargoed kusini mwa...
Back
Top Bottom