uingereza

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Matumizi ya pombe yaongezeka mbali na baa kufungwa

    Takwimu zimeonesha kuongezeka kwa matumizi ya pombe kwa 24.4% kwa mwaka 2020/21 ukilinganisha na 2019/20, mbali na kuwa na lockdown ambapo baa zilifungwa kwa wiki 31 Aidha vifo vinavyotokana na ini kuharibiwa na pombe vimeongezeka kwa 21% kwa kipindi ambacho #COVID19 imekuwepo, hali...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaondoa vikwazo vyote vya COVID-19

    Serikali ya Uingereza imetangaza kuanzia leo kuondoa masharti yote ya kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona. Hata hivyo, hatua hiyo imepingwa na wanasayansi na vyama vya upinzani wakisema kuwa itaiweka nchi hatarini. Kuanzia saa sita ya usiku vilabu vya starehe vyote viliruhusiwa...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Marekani yatahadharisha raia wake kwenda Uingereza

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimewatahadharisha raia wa Marekani kuhusu kwenda Uingereza ambapo kumekuwa na ongezeko la maambukizi ya #COVID19. CDC wamesema kama kutakuwa na ulazima sana wa mtu kwenda Uingereza ni vyema kwanza akawa amekamilisha dozi ya chanjo. Uingereza...
  4. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya wa Uingereza augua Covid-19 baada ya kupata chanjo

    Waziri wa afya wa uingereza amepata ugonjwa wa covid 19. Waziri huyo tayari amepata chanjo yote ya covid 19 kma inavyotakiwa lakini bado ameugua covid 19. Ni cases nyingi kama sio zote ambazo watu waliochanjwa bado wanaugua ugonjwa wa Covid 19. Swali la kujiuliza, inakuaje mtu amepata chanjo...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uingereza yarekodi Maambukizi Mapya 54,674 ndani ya saa 24 zilizopita

    Uingereza imetangaza kupata maambukizi mapya mengi tangu Januari ambapo yamefikia 54,674 ndani ya saa 24 zilizopita Aidha, kumerekodiwa vifo 41 ndani ya saa 24 zilizopita vilivyotokana na #COVID19 Hadi sasa Uingereza imetoa chanjo kwa 67.8% ya watu wake.
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Mtaalam wa masaji atupwa jela miaka 4 kwa kurekodi video za wateja wanawake zaidi ya 900

    Mtaalamu wa Masaji (anayewafanyia Watu massage) Julian Roddis wa Uingereza amehukumiwa miaka minne Jela kwa kosa la kutumia camera ya siri iliyofichwa kwenye saa yake kuwarekodi Wateja Wanawake waliofika kufanyiwa Masaji. Uchunguzi umebaini kuwa ametumia miaka miwili kuwarekodi Wanawake zaidi...
  7. Underthesea

    JamiiForums Tanzania Familia kubwa kuliko zote nchini Uingereza inayoishi nyumba moja (watoto 22)

    The Radford Family Noel (50) na Sue (46) Radford walikuwa mayatima na walikutana wakiwa wadogo. Sue alipata mimba akiwa na umri wa miaka 14 huku Noel akiwa na 18. Walikaa bila kongeza mtoto hadi walipooana binti akiwa na miaka 17. Tangia wakati huo karibu kila mwaka Sue huwa na ujauzito...
  8. M

    JamiiForums Tanzania England vs Darnmark: Kawaida ya Euro 2020, timu bora lazima iage mashindano leo!

    Kuna mapinduzi makubwa kwenye soka la kileo kama ilivyodhihirika kwenye mashindano ya Euro 2020 mwaka huu. Timu bora si lazima ishinde na mara nyingi timu bora imekuwa ikizidiwa mbinu na kutupwa nje ya mashindano. Jana timu bora sana ya Spain ilizidiwa mbinu na Italia na kutupwa nje!! Hali...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Boris Jonson: Sheria za kuvaa barakoa na kukaa mbali hazitakuwa lazima Uingereza

    Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Jonson amesema kuwa yeye ataendelea kuvaa barakoa katika maeneo ya watu wengiImage caption: Waziri Mkuu Boris Jonson amesema kuwa yeye ataendelea kuvaa barakoa katika maeneo ya watu wengi. Waziri mkuu, Boris Johnson, alisema alitarajia kupunguza sheria za Covid...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Uingereza ni wazalendo wa kweli

    Watu wengi huku kwetu kusini mwa jangwa la sahara wanapotosha maana halisi ya "uzalendo" maana wanaligeuza neno kama kibwagizo cha kutafutia fulsa na kushibisha matumbo yao. Uzalendo sio kelele za kasuku bali uzalendo ni vitendo vya utu, upendo, na kuwa na matarajio mema kwa taifa husika...
  11. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala la soka mashabiki wa Uingereza ni zaidi ya vichaa

    Hawa jamaa bana wanajua kushangilia asee nadhani pombe pia inachangia. Haya Ujerumani kashakula 2-0 huko.
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya wa Uingereza ajiuzulu kwa kuvunja sheria za corona

    Waziri wa afya wa Uingereza Matt Hancock amejiuzulu. Hancock amejiuzulu baada ya kuvunja sheria ya kuthibiti kuenea kwa virusi vya corona kwa kuweka umbali wa mtu mmoja hadi mwingine akiwa na msaidizi wake mkuu Gina Coladangelo anayedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi naye. Gazeti la The Sun...
  13. Chimulenge

    JamiiForums Tanzania Nina soko Uingereza la maharage haya natafuta patner mwenye mtaji

    Miaka mitatu nyuma nimewahi fanya kazi na wazungu fulani toka Uingereza ya kununua karanga, tulipomaliza waliondoka, last week walinichek wanataka haya maharage. Wao hawataki kuja huku, wanataka tani na tani za haya maharage baada ni biashara endelevu. Kwa hiyo natafuta mbia mwenye mtaji...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi nyingi zimeanza kulalamika kuhusu mining Bitcoin kwenye matumizi umeme

    Leo bbc imetoa ripoti huko nchini wingereza kukamata mtu ambaye alikuwa mwizi wa umeme kwa ajili ya kuvuna bitcoin. Bitcoin inakadiliwa kuwa inatumia vifaa vya graphic card kubwa ambazo zinafanya utendaji mkubwa wenye nguvu kubwa ya umeme ikiwa na GPU kubwa. Kuna nchi zina lalamika kuwa...
  15. hiram

    JamiiForums Tanzania Tulinganishe: Mgawo wa fedha kwa kila timu ligi kuu uingereza 2019/2020

    Huku tukiendelea kutafakari Nkataba wa Azam tupate inputs mbali mbali ufuatao ni mgawanyo wa fedha kwa epl 2019/20 Bingwa yaani liver pool alipata euro milioni 174 sawa na bilioni 573 za madafu (573,931,663,578.00 tshs) na aliyeshika mkia yaani Norwich City alipata euro 94.5m sawa na bilioni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mfahamu billionea wa kwanza Mweusi Uingereza mwenye asili ya Zimbabwe

    Inakuwaje wanajamvi! Strive Masiyiwa ametangazwa kuwa billionaire wa kwanza mweusi Uingereza. Ana asili ya Zimbabwe na kujishughulisha na biashara ya Telecom. Masiyiwa pia ni mjumbe wa bodi wa Netflix na Uniliver. Ana mkono wa kutoa sana kwa Africa. Na amejihusisha sana kugawa chanjo za Covid...
  17. bintishomvi

    JamiiForums Tanzania Naomba connection ya vitu used kutoka Uingereza au Japani

    Habari, Kama nilivyotanguliza kichwa cha habari hapo juu nilikuwa na mpango wa kwenda uingereza kukusanya vitu used vya majumbani na viwandani mfano mashine ndogo ndogo na kubwa kwa makubaliana na mwenye nacho na pia vifaa vya majumbani na madukani kwa wale wanaosafisha stoo na wengineo. Sasa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia Afrika

    Rais Samia leo amekuwa na mazungumzo na Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi.
  19. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Aina ya Virusi vya Corona vya India na Uingereza vyagunduliwa Afrika Kusini

    Aina mpya ya Virusi vya COVID19 kutoka India na Uingereza imegunduliwa nchini Afrika Kusini, Wizara ya Afya imeeleza. Visa 11 vya maambukizi ya aina ya Virusi vya B.1.1.7 (Uingereza) na visa 4 vya B.1.617.2 (India) vimegunduliwa katika majimbo ya Gauteng na Kwazulu-Natal, na waathirika wamekuwa...
  20. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Video: Jeshi la Maji la Uingereza latumia teknolojia ya mtu kupaa kupambana na uharamia

    Jeshi la Maji la Uingereza limefanya majaribio ya kutumia mavazi maalum yanayomwezesha mtu kupaa kwa lengo la kuboresha operesheni za kuzuia uharamia baharini. Kampuni ya utafiti wa teknolojia ya anga ya Gravity Industries imechapisha video inayoonesha wanajeshi hao wakifanya mazoezi kwa...
Back
Top Bottom