uhusiano

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kufanya lolote kuzuia asiolewe, bado nampenda sana

    Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote! Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of course nilikuwa good guy kwake, na tulipanga vingi sana lakini ndani ya miezi sita akaniacha bila ya...
  2. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Juma Lokole kwa Baba Levo

    ====== Watangazaji wa kituo cha wasafi Baba Levo na Juma Lokole wamezua sintofahamu baada ya kurushiana maneno yanayo hashiria kuhusika na vitendo vya kishoga na ufiraji ambavyo ni kinyume na maadili ya kitanzania! Baada ya picha za mtoto wa Kajala kusambaa kwenye mitandao ikidhaniwa kuwa...
  3. kinywanyuku

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Hataki kuolewa na mimi, anaogopa kuchekwa kuolewa na "asiyesikia"

    Wadau naomba msaada wenu. Mimi ni kijana mwenye tatizo la usikivu. Kuna mwanamke nilikuwa nataka kumuoa, sasa nimesikia tetesi kutoka kwa ndugu yake anasema hawezi kuolewa na kiziwi anaogopa kuchorwa japo yeye hujawahi kunitamkia. Financial huwa namsaidia sana ila ndoa anasumbua, anasema...
  4. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wakubwa, hivi ni sawa kumtafutia mke wako dereva?

    Wakubwa mimi BabaMorgan bado ni mdogo kiumri na kifkra naomba kujuzwa na ninyi wakubwa zangu, imekaaje kumtafutia mke wako dereva wa kumuendesha, tena kwenye gari ambayo ni full tinted? Kwa mtazamo wangu ni kuyatafuta matatizo.
  5. matimbanyula

    JamiiForums Tanzania Wananiandama kisa kanizidi miaka mitatu, niendelee na mpango wa kukamilisha uchumba?

    Ndugu wana jamvi nisadieni kwenye hili, Mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu, kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba.
  6. DEICHMANN

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike wa tajiri (Bosslady)

    Natafuta mchumba kike awe tajiri. Sifa zangu; 1. Mimi ni black kidogo. 2. Elimu yangu certificate ya Tehama. 3. Kazi yangu ya Wakala (usajili wa sim cards) wa Airtel, Vodacom Tanzania, Halotel Tanzania, Ttcl Tanzania na Tigo Tanzania. Sifa zake huyo msichana; 1. Awe tajiri Boss lady. 2. Umri...
  7. proxy

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka akope hela lakini hataki kuzifata geto

    Wakuu habarini za muda huu, matumaini mu wazima wa Afya. Nije moja kwa moja kwenye mada. Jana mchana nimefatwa na dogo mmoja akitaka nimpe ushauri. Iko hivi, ana msichana aliyemtokea takribani Kwa wiki 2 hivi, kila akijaribu kucheza nae msichana hampi majibu mazuri na wakati mwingine hapokei...
  8. Blaszczykowski

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumpiga X-Ray mke wangu mtarajiwa na ukoo wake

    Habari zenu humu, kwanza tambua ukubwa jalala na kijiji bila wazee ni Jahanam. Week hii ndugu zangu nimeenda kumpiga X-Ray my future wife pamoja na ukoo wake kwa nia tu nzuri, ili tu tujue account ya nani ipo juu. Baada ya X Ray kutoa majibu account yangu ipo juu kuliko ya my future wife kwa...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Bikra siyo chanjo ya kuchapiwa

    Wasalaam JF, Mtengeneza njia ni mmoja kwa matumizi ya walio wengi. Mwanakulianza ni mwanamajumui wa kugawa upendo. Ulivyopewa wewe bila mbambamba hata bustani ya Eden nyoka aliwekwa kwa tafsiri yake. Tuwasifie na wanaotupokea vijiti upele. Wameupiga mwingi. Wadiz
  10. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anapata kinyaa kufanya mapenzi na mwanamke anayenyonyesha

    Ndugu zangu wakati huu nahitajika nitoe majibu kwa kijana wangu, anapitia wakati mgumu. Ana mpenzi wake anampenda kwa dhati, wamebarikiwa kupata mtoto. Tatizo lilipo sasa, anashindwa kufanya mapenzi na huyu binti maana yupo kipindi cha kunyonyesha. Binti anahitaji mapenzi ila kijana...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Siasa za Gesi na Mafuta Tanzania: Uhusiano wa Gesi Asilia inayozalishwa Tanzania na sekta nyingine za kimkakati

    Gesi asilia ina uhusiano mkubwa na sekta nyingine za uchumi kama vile misitu, kilimo, usafiri, elimu, afya, madini, utalii, biashara, viwanda na nishati. Aidha, shughuli katika sekta ya gesi asilia, kama vile utafutaji wa gesi, ujenzi na uendeshaji wa mifumo ya uzalishaji na utumiaji wa gesi...
  12. zaza777

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke (mchumba)

    Naitwa zaza, nina Miaka 23, nina makazi Mbeya, natafuta mke wa kuishi naye uchumba hadi ndoa. Umri asizidi miaka 25, hofu ya Mungu kwake ni kipaumbele kwangu, awe mpambanaji na mwenye kujiheshimu. Awe mkristo vinginevyo awe tayari kubadili dini. Seriously upweke nimechoka. Karibu inbox...
  13. chillo clan conscious

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Valentine’s Day

    Wakurungwa niaje niaje, leo ni siku ya kwanza baada ya ile siku muiitayo ya wapendao, mengi yametokea mazuri kwa mabaya. Ila mazuri yaliyotokea hayazidi mabaya yaliyo tokea, mabaya ni makubwa sana ambayo hayafai katika ulimwengu huu na hata ulimwengu usio kuwepo. Jana nimeona watu wakitoka na...
  14. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Valentine ni siku ya kulana kimasihara

    Hii siku inaweka presha kwa watu wengi muda mfupi. Leo ukimtoa mtoto wa kike aliyempweke utakuwa umejishindia biko. Subiri turushe kete ofisini maana wife kasafiri.
  15. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Sababu 6 kwanini mwanamke amekuchunia na kukupotezea ghafla pamoja na suluhisho la jambo hilo

    Kwenye ulimwengu wa mahusiano kuna mtindo saivi kwamba wa kwanza kumpotezea, kumchunia au kumuacha mwenzake ndo mshindi, sio mtindo mzuri ni utoto. Kama kweli mnajaliana mtaongea na kusuluhisha tatizo lililopo ila ikitokea mwanamke amekupotezea ujue upendo wake umepungua, mwache aende zake...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya mvua na foleni za barabarani Dar es Salaam?

    Moja ya jambo ambalo inawezekana changamoto ni miundombinu au labda ni vyombo vyetu vya usafiri, bado huwa nashindwa kuelewa vizuri, yaani ikitokea mvua imenyesha kidogo tu kwenye Jiji la Dar es Salaam hasa maeneo ya town, lazima foleni barabarani ziibuke kwa kasi. Najiuliza, hivi tatizo ni...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Msingi wa UNGA ni muhimu kwa uhusiano wa pande nyingi

    Hivi karibuni, Rais wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa (UNGA) Csaba Korosi alifanya ziara ya siku nne nchini China, ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi ya juu wa serikali ya China. UNGA ni chombo kikubwa cha majadiliano cha Umoja wa Mataifa, na ni jukwaa muhimu kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nautafuta mwenza (Ke)

    Wakuu wasalaaam, Nautafuta mwanamke tuyajenge, tuzae tulee wanetu. Umri wake awe kati 29-34, kama ana mtoto ni sawa tu ila mtoto asizidi mmoja. Umri wangu ni 38. Kwa taarifa zaidi karibu sana PM kwa aliyeguswa. Nawasilisha.[emoji119]
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Katiba Bora, ukuaji wa uchumi na hali ya maisha ya raia wa Tanzania

    Katiba ni sheria kuu ya nchi inayoweka mfumo wa kisheria na kitaasisi kwa serikali, kufafanua haki na wajibu wa raia, na kuweka kanuni za utendaji kazi wa jamii. Ni hati inayoeleza kanuni na maadili ya msingi ya nchi, na inatumika kama msingi wa sheria na sera nyingine zote. Katiba kwa kawaida...
  20. BigBro

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania na Africa hatuna uhusiano na Latin America?

    Huwa najiuliza marais wa Africa ikiwemo Tanzania hatuna uhusiano na nchi za Latin America?(America Kusini). Nakumbuka Jakaya Kikwete aliwahi tembelea Brazil lakini sio nchi kama Paraguay, Colombia, Argentina, Ecuador, Venezuela, Chile na nyinginezo. Na pia marais wa huko ni kama hawana time na...
Back
Top Bottom