Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 563
- 1,364
Wakuu mmebarikiwa sana sana.
Moja kwa moja kwny hoja, kwny familia yetu mimi ni first born bahati mbaya mimi na wadogo zng hatukulelewa na mama mzazi maana inasemekana mzee na mama waliachana tukiwa bdo wadogo so mzee alioa mke mwngne.
Mwaka nliomaliza kdato cha 4 ndo ilikuwa mara yng ya kwanza kukosana na mzee kwan alikuwa hataki niendelee kusoma aktaka niwe polisi nliamua kuondoka nyumbani nikiwa na vitabu vyangu na cheti na nguo nilizovaa tu.
Kufupisha story nlienda kuish kwa rafiki zake na ndugu yng mtoto wa aunt yng at last aunt alinitafutia shule kdato cha 5 mpk cha 6 nikamaliza nikafaulu vema ksha aunt akanishauri nirud home kwa mzee, kweli nilirud na mzee alinpokea kwa amani sn maisha yakaendelea nikafanya process za chuo nikapata na mkopo pia nikapata.
Nilipohitimu chuo kikuu skuwa na mawazo ya kurud kuish home hata kama nikirud bs nikae muda mfupi sn nipange chumba chng uzuri nilikuwa nimeshanunua kila ktu yan ktanda nk. Na pale home nilikuwa naish nyumba ya nje ndo kulikuwa geto kwng.
Niliporejea home toka chuo nikaanza mishe mishe zng wkt mwngn nlikuwa narud night si mnajua changamoto za usafiri dar na home ni karibia na chanika uko sa ikishafka jion uko town ujue mpk utoboe maeneo ya chanika hapo ni tano au sita usku. Itategemea sasa hiyo jion unatokea wp na umeanza safari saa ngapi. Kwaiyo mara nyng nlikuwa narud night, skuwa na wasiwasi ukzngatia room yng iko nje sisumbui mtu kunifungulia wala kudai chakula.
Siku moja asubuhi npo kwny daladala naona sms ya mzee akitaka ninapotoka nikfunga room yng nikabiz funguo kwa ma mdogo mmmh kweli ilinchukua muda kumjbu nikawa nawaza kuna shda gn tena na lengo ni nn je iktokea nimerud usku je niwagongee wanpe key? Nikapata majbu kwmb inatakiwa sasa nihame kbs home nikapange room then nikabz room kbs, so nikamjbu mzee naomba unpe wk 2 nikamilishe mambo ya kulipia room nikukabiz chumba ili kuepusha misuguano.
Mzee akanijbu kama nahama bs ktanda nikiache kwan wakija wageni watakuwa wanalala wp. Nikajiulza naachaje ktanda chng na sina hela ya kununua kngne?
Kweli nliamua kuacha ktanda ila godoro na vngnevyo nlibeba. Hapo ndpo mgogoro mkubwa ulianza mzee akawa ananilaumu kwann nlihama nyumban na tuhuma nyngn nyng sn. Hazkunisumbua kbs, tulipata msiba wa bibi sku ya kuzka watu walisema bibi hazkwi mpk tofauti zng na mzee ziishe niliamriwa kuomba msamaha, nlitii tena kwa magoti mzee akasema mbona sina tatzo na uyu mtoto kbs.
Basi mi nikajua yameisha sasa, msiba ulipokwsha nlikwenda mtembelea mzee nyumban yan hapo ilikuwa imepta miaka kama mitano sjakanyaga home kbs, nlimkuta mzee na mama mdogo sasa nikawa nimekaa kando na mzee story za hapa na pale nikamwambia mzee nashukuru sn kwa msamaha wake sa tuanze maisha mapya, aisee mzee alinigeuka hatari akasema alishani delete kbs haitaji mi nimuite baba kwan mtu yeyote anaweza kuwa baba, nliomba msamaha tena na tena bt aligoma at last akanpa masharti eti niende kijijin uko kanda ya ziwa nikaombe msamaha kwa kaka ake na dada ake ksha niende kwny kabuli la bibi napo niombe msamaha ksha ndo nirud kwake.
Mmmh hakika nafsi iligoma na wala skumjbu chochote ila nilimuaga ksha nikaenda ndan kumuaga ma mdogo na kumwambia mzee bdo kabaki na msimamo wake kumbe hajasamehe kwaiyo mi ndo naondoka stakanyaga tena mji huu bs ma mdogo naye akajsemesha semesha hapo nikaondoka zng, leo ni miaka mi5 sjakanyaga home kbs.
Npo na maisha yng na family yng knachonisktisha mzee akawa anapga kampen ya kunigombanisha na wadogo zng na ndugu zng wengne wasje kwangu wala wasinisaidie chochote, nlifiwa na mtoto wng nlitoa taarifa kwa wote mpk na mzee ila hawakuja bt namshukuru MUNGU SN WALIKUJA BAADHI YA MADOGO BT KIFUPI MSIBA ULIBEBWA NA KANISA MI NILINUNUA JENEZA TU.
NAMSHUKURU MUNGU NAENDELEA NA MAISHA YNG NAISHI KAMA SINA NDUGU ILA NDUGU ZNG HUWA NI WATU WA KANISANI TU KULIKO WA UKOO AU WA DAMU KWNY SHIDA NA RAHA.
Sa wakuu naomba mniambie nimekosea wapi na nifanye nini, bnafs nina amani kbs sina tatzo.
KARIBUNI.