Hivi kwanini kuna uhusiano mkubwa introvert na spy au jasusi

donga

JF-Expert Member
Sep 13, 2017
2,475
4,926
Kwa utafiti nilioufanya toka kitambo kidogo
Sifa kubwa sana ya spy wengi na majasusi hatari kuwahi kutokea ulimwenguni

Kuna uhusiano moja kwa moja na uintroverse what is the real background

Pia sio ujasusi tu hata matajiri wengi wakubwa ni introvert

Mfano..Vladimir put, Bakhresa, roman abrohvomic, Mark zubergy,

Sio ivo tu hata wanasiasa wakubwa mashuhuri waliowahi kutokea km

Nelson Mandela, julius nyerere, Paul kagame n.k
 
Introverts ni watu wenye deep thinking, wana fikra za ndani, huchukulia kila kitu seriously, wana uwezo mkubwa wa kuficha siri, wana uwezo mkubwa wa kufuata procedures ndefu bila kuchoka mapema na hivyo ni real people, watu wa kuaminika zaidi ya extroverts. Siku zote siri zako muambie intro na sio extro nawe utakuwa salama zaidi.

Hii naweza kukubaliana na ww
 
Kwenye haya maisha ukiwa na taarifa nyingi za siri, automatically unatakiwa kuwa mkimya na msiri. Na sifa za introvert (mndani) ni kutoongea sana na kutojichanganya na watu. Ama sivyo utamwaga mchele kwenye kuku wengi
Hii nayo inamake sense.....nakubaliana nayo
 
Kwa utafiti nilioufanya toka kitambo kidogo
Sifa kubwa sana ya spy wengi na majasusi hatari kuwahi kutokea ulimwenguni

Kuna uhusiano moja kwa moja na uintroverse what is the real background

Pia sio ujasusi tu hata matajiri wengi wakubwa ni introvert

Mfano..Vladimir put, Bakhresa, roman abrohvomic, Mark zubergy,

Sio ivo tu hata wanasiasa wakubwa mashuhuri waliowahi kutokea km

Nelson Mandela, julius nyerere, Paul kagame n.k
🤦‍♂️🤦‍♂️ nadhani ni kinyume chake ,spy mzuri ni yule anayeweza kubadilika badilika kutokana na nature ya tukio analolifuatilia mfano kama ulishawahi kuwasikia "Honeypots" yaani wale wanawake majasusi ambao wanatumwa kuwapeleleza watu mashuhuri au viongozi wakubwa na wanaingia mara nyingi kwa gia ya mapenzi .

Sidhani kama mtu ambaye hapendi ku socielize (introvert) anaweza kuvaa uhusika kwenye mambo kama hayo ,
Au wale watu zamani ulisikia wanajifanyisha ukichaa kumbe ni wana system wanatafuta data eneo husika sidhani kama introvert anaweza kuvaa huo uhusika .

Kiufupi ni kwamba EXTROVERTS ndiyo wanaweza kuwa spy na majasusi wazuri kuliko introverts.
 
Kama amekuelewa,ni vema akaacha ubishi.
 
Unapoambiwa mfumbuzi unaelewa maana yake?

Ni mtu anaeleta kitu kipya ambacho wengine hawajakiweza....hao wengine ni wasaidizi

Ndio maana hata kwenye company unafikiri kwann founder Ana nafasi ya kujulikana wengine
Mfumbuzi?Au unataka kumueleza mgunduzi?Ni watu wawili tofauti hao.
 
🤦‍♂️🤦‍♂️ nadhani ni kinyume chake ,spy mzuri ni yule anayeweza kubadilika badilika kutokana na nature ya tukio analolifuatilia mfano kama ulishawahi kuwasikia "Honeypots" yaani wale wanawake majasusi ambao wanatumwa kuwapeleleza watu mashuhuri au viongozi wakubwa na wanaingia mara nyingi kwa gia ya mapenzi .

Sidhani kama mtu ambaye hapendi ku socielize (introvert) anaweza kuvaa uhusika kwenye mambo kama hayo ,
Au wale watu zamani ulisikia wanajifanyisha ukichaa kumbe ni wana system wanatafuta data eneo husika sidhani kama introvert anaweza kuvaa huo uhusika .

Kiufupi ni kwamba EXTROVERTS ndiyo wanaweza kuwa spy na majasusi wazuri kuliko introverts.
Lakini pia kumbuka extrovert wengi hawawezi kuact low key .....na sifa ya kwanza ya spy lazma act ni low key na mtu aliye na emotional intelligence ya hali ya juu ...ambayo hali hii ipo juu kwa introvert...

Extrovert wengi wepesi kureat..... nafikiri ni rahisi sana introvert kuact tabia za extrovert kuliko extrovert kuact tabia za introvert

Sababu tabia nyingi za extrovert ni za kimazingira...ila introvert tabia zao nyingi ni zakuzaliwa
 
Back
Top Bottom