uhusiano

  1. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Je, kumpiga mwanamke,kwenye uhusiano kunaongeza heshima au kunavuruga upendo ndani?

    Habari zenu.... Katika maisha yangu nilijiapia sitakuja kumpiga mwanamke,mwanamke pekee niliyempiga tena kwa kumnyoosha ni mdogo wangu tu? Kipindi alikuwa anavunja ungo alikuwa asikii la mtu mimi ndo niliyemnyoosha kama nisingekuwa mimi ndo alikuwa anaenda kuharibu maisha yake kwa kubeba mimba...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Uhusiano awa Avatar/Profile Pictures na sisi wenyewe

    Yaani kuna watu mabwege humu mpaka unashangaa... Unasema walitungwa ujauzito kipindi cha wazazi wao wakiwa wamelewa nini? Yaani jamaa mmoja bwege anaomba nimpatie kiasi flani cha pesa amtoe demu mmoja humu wa JF out sababu amempenda sana. Namuuliza umewahi mwona? Anajibu ameona tu picha yake...
  3. sanalii

    JamiiForums Tanzania "Bongo nyoso" na "katoa boko" vina uhusiano na Juma Nyoso na John Boco?

    Mtu akisema "bongo nyoso" inamaana bongo noma, au hatari, au ujanja ujanja mwingi. Mtu akisema umetoa boko ni kama umeharibu, hukufanya kama ilivyotarajiwa au ilivyozoeleka, sasa je? Kuna uhusiano wa na lile tukio la wachezaji au ni coincedence ?
  4. kwisha

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania ina uhusiano wowote na Ureno?

    TANZANIA inafahamika saana Portugal kuliko nchi nyingi za Afrika. Nimecheki video fulani YouTube ya ask Portuguese about Afrika. Watu walikuwa wanataja nchi wanazo sifahamu kutoka Afrika watu wengi wametaja Tanzania kuliko nchi yeyote kutoka Afrika. Na ndiyo mara ya kwanza kuona TZ imetajwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya China na Afrika wavutia vyuo maarufu duniani kuanzisha utafiti wa ushirikiano kati ya China na Afrika

    Kwa muda mrefu utafiti wa kitaaluma kuhusu Afrika halikuwa ni jambo linalofikirika kwa watafiti wengi, kwani utafiti kuhusu bara la Afrika ulikuwa na wigo mdogo na matokeo yake kitaaluma hayakuwa makubwa, na hivyo utengaji wa fedha zinazohusu masomo au utafiti unaohusiana na bara la Afrika...
  6. L

    JamiiForums Tanzania China ya leo ni nchi yenye uhusiano wa karibu na dunia

    Katika mkesha wa sikukuu ya mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China alitoa salamu za mwaka mpya wa 2023, akibainisha kuwa, China ya leo ni nchi yenye uhusiano wa karibu na dunia, na inachangia busara na mipango ya China kwa ajili ya amani na maendeleo ya binadamu wote. Mafanikio ya China kutokana...
  7. DissDotCom

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuoa na kuchepuka?

    Yaani najiuliza baada ya kuoa tu ndio michepuko inakuja mingi tofauti na mwanzoni nilikua naipata kwa shida sana. Hata nimejaribu kumshirikisha jamaa yangu na yeye anasema baada ya kuoa ndio mizigo inafululiza vibaya sana. Tatizo ni nini hapo?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanayoendelea Simba yana uhusiano na kukamatwa kwa unga

    Hivi karibuni kuna kocha wa makipa alikamatwa na madawa ya kulevya. Haraka haraka simba wakatoa taarifa ya kumkana kuwa hakuwa mwajiriwa wao japo. Mda utaongea zaidi
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hayati Jiang Zemin kukumbukwa kwa mchango wake wa kuendeleza uhusiano kati ya China na Afrika

    Tarehe 30 Novemba taifa la China lilikumbwa na msiba mkubwa baada ya kumpoteza rais mstaafu wa China Jiang Zemin aliyefariki mjini Shanghai akiwa na umri wa miaka 96 kutokana na ugonjwa. Akiwa kiongozi mashuhuri wa awamu ya tatu ya China, Jiang aliiongoza China kupata maendeleo makubwa, na pia...
  10. deina

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza

    Mimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza. Sifa: ~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia. ~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40. ~ Awe na kazi. ~Na awe mkazi wa Dar es...
  11. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa mtandao wenye uhusiano na Mossad wanyongwa nchini Iran

    Wanachama wa mtandao wa majambazi na makundi yenye uhusiano na shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamenyongwa alfajiri ya leo nchini Iran. Vyombo vya habari rasmi vimesema kuwa watu hao wanne walikuwa sehemu ya mtandao wa kijasusi ambao ulikuwa ukishirikiana na shirika ya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya rangi ya jezi na kufungwa

    Hivi kuna nini huko Dar es Salaam, naskia watu wana sema ema eti wananchi wamefungwa kwa sababu ya jezi zao za kiini Cha Yai. Eti wangekuwa na nyeusi Ihefu wasinge chomoka. Sasa mimi nataka kujua kutoka kwa wale wenye maono ya kiroho rangi nyeusi inasababishaje unbeaten. Kwa wale wa mambo ya...
  13. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenzi ambaye ni muhimu kuwa na sifa hizi

    Nina miaka 40+, elimu Shahada ya miaka 15 iliyopita. Nina shughuli zangu binafsi, naishi DSM, na wakati mwingine husafiri kwenye shughuli zangu za kikazi. Nahitaji mwenzi ambaye kadri tutakavyofahamiana ndivyo tutajua kama tunaweza kuwa wachumba au laah. Kwa maana tunahitaji kuamua kwa pamoja...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Msisimko ndani ya mto Jiuqu ni somo la uhusiano wa binadamu na mazingira ya asili

    Na Gianna Amani Ukiachilia mbali neno wananchi huenda neno lingine lililotajwa na Rais Xi Jinping mara nyingi zaidi katika siku za hivi karibuni ni mazingira, na mara kadhaa ametoa msisitizo juu ya uimarishaji wa uhusiano mpya kati ya binadamu na mazingira ya asili. Mara nyingi Rais Xi Jinping...
  15. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano kati ya tohara na upungufu wa nguvu za kiume na hatari ya maambukizi ya VVU?

    Habari wakuu, Nimekuwa nikijiuliza sipati jibu, maswali machache niliyo jiuliza yalinifanya nifanye utafiti ili kupata majibu ya maswali yangu. Miongini mwa majibu niliyoyapata kwenye utafiti wangu ni haya: 1) Kwanza nimegundua wanaosumbuliwa na matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume wengi ni...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa Tanzania nchini China ni ishara ya kuimarika kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Mambo ya China ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Humphrey Moshi amesema, ziara ya rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Profesa Moshi amesema, ziara ya rais Samia nchini China si kama tu ni...
  17. kimsboy

    JamiiForums Tanzania MOSSAD yawaua maofisa wake sita kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran

    MOSSAD imeua maafisa wake sita wa intelijensia kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran Utawala wa Israel umewaua maafisa wake sita muhimu kufuatia kufeli operesheni ya shirika lake la ujasusi Mossad ya kufanya hujuma na uharibifu kwenye kituo kimoja cha viwanda mkoani Esfahan nchini Iran...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Mbappe na PSG wazidi kuharibika

    Kylian Mbappe inadaiwa anaweza kuvunja mkataba na klabu yake ya Paris-Saint Germain ikiwa uhusiano utazidi kuwa mbaya kutokana na kutofurahishwa na baadhi ya mambo. Mvutano huo inaelezwa umesababisha baadhi ya wachezaji wenzake kumtenga wakiamini tabia yake inaweza kutengeneza sumu kikosini...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Sinopharm inavyochochea uhusiano wa China na Afrika

    Uhusiano kati ya China na mataifa ya Afrika una miaka zaidi ya 60 sasa, msingi wa uhusiano huo ni urafiki wa kindugu, na mara kadhaa China huitaja Afrika au waafrika kama marafiki wa kweli. Unaweza kusema uhusiano ulianza miaka ya 1960, baada ya takribani nchi 10 za Kiafrika kuanzisha uhusiano...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa saikolojia na afya, Je kuna uhusiano gani hofu ya vitisho na kujaamba au kujikojolea?

    Tafti zinaonesha watu wengi wanaopigwa mkwara wa ghafla mbele ya kadamnasi au popote hujamba au kujikojolea! Je kuna uhusiano gani kati ya hofu au vitisho na kujamba?
Back
Top Bottom