Kidero kakumbatia nani? Amina Mohamed?
Anaitwa Ngina
Shida inakuja kwenye sita kwa sita bwana lazima miguu ipitilze pamoja na kichwa vinginevyo awe na utaalamu wa nyoka kuweza pata kiss na mengineyo.Kumbe mrefu anaweza kuoa mfup nawaamatch kabisa