President Uhuru Kenyatta on April 26, 2021, opened the Semi-Conductors Technologies (STL) factory on the 177-acre Dedan Kimathi University of Technology's Science and Technology Park (DeST-Park). The factory will manufacture integrated circuits and sensors as raw materials in the electronic...
Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.
Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.
Bado raia sisi ni...
Naona kila mtu anashadidia juu ya kuwepo kwa kile kinachodaiwa uhuru wa kujieleza ambao wengi wanao shadiia ni wale wanaodai kuwa sasa uhuru wa kujieleza na kuropoka kama mtu anahara sasa umerudi.
Lakini ukweli ni kuwa uwe uhuru wa kisiasa au uhuru wa kujieleza usiwe uhuru ambao aunatumiwa...
Nyie hamfurahii kurudi kwa uhuru wa habari na kutoa maoni kinzani kwa watu wote?
Hamfurahii kuona redio na TV zikiwa zimechangamka na za moto kwa mijadala mbalimbali?
Hamfurahii kuona magazeti yameanza kuvutia wasomaji tena?
Hamfurahii kuona ada tata za YouTube zinaanza kuondolewa...
Reporters Without Borders (RSF) imeitaja Tanzania kushika nafasi ya 124 kati ya Nchi 180 Duniani katika kuimarisha Uhuru wa Vyombo vya Habari ili kutetea Haki ya kupata taarifa kwa Jamii.
Tanzania imeendelea kushuka katika utetezi wa Uhuru wa Habari ambapo mwaka 2019 ilishika nafasi ya 118 huku...
MY TAKE
Naona akiiga hata kutembelea na national carrier KQ kama Samia Suluhu na Air Tanzania!
Here is what Kenyan ambassador to DRC explaining Uhuru's mission inb DRC
Imetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100 (1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha kujadili.
Ibara ya 100 (2) imepigia mstari kabisa kuwa wabunge hawatashitakiwa kwa chochote...
Nimemsikia Spika wetu akibeza baadhi ya viongozi wa Upinzani na wengineo kuwa hawakufanya lolote wakiwa wabunge akiwemo Mh. Mbowe na wengine. Ati Hai sasa ndo imepata Mbunge wa kuisemea!
Nimejiuliza mengi kama Mtanzania kuwa tunataka kujenga nchi ya aina gani? Tutaendelea kuudanganya Ulimwengu...
Tulipata mapokeo ya Sheria ya uhujumu uchumi bila kuangalia mazingira yetu, sasa inatumika kupora wala mali na Uhuru wao kwa kuondoa dhamana.
Kosa la uhujumu uchumi limerahisishwa sana na nchini ili kuwezesha kuumiza watu kisha tunawashinikiza kukubali makosa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo 10 Aprili, 2021 amekutana na Dkt. Amina Mohammed, ambaye ni Waziri wa Michezo, Utamaduni na Urithi wa KenyaMjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Nchi za Tanzania, Angola na Congo DRC ni nchi muhimu katika mstakabali mapinduzi ya viwanda barani Ulaya na Marekani.
Mwaka 2020 Uingereza walitangaza kuachana na magari yatumiayo mafuta ya diseli na petroli kufikia mwaka 2030 na wameazimia kuanza kutengeneza magari zaidi yatumiayo betri.
Hata...
UAPISHO: Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo amewaapisha Viongozi walioteuliwa Aprili 04, 2021. Hafla ya uteuzi imefanyika Ikulu Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Viongozi wengine wa Kitaifa akiwemo Waziri Mkuu
Walioapishwa ni Makatibu Wakuu na Naibu Wakatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali...
President Uhuru Kenyatta presides over the official opening of the Small Arms Factory in Ruiru, Kiambu County.The President said through the local production of weaponry, Kenya seeks to enhance self-reliance, domestic innovation, and strengthening of local manufacturing capabilities, while...
“Nimekua nyakati ambazo siasa ni ushawishi wa hoja. Nimejifunza siasa na kushiriki siasa wakati huo. Miaka 6 iliyopita ilikuwa migumu sana kwangu kwani siasa ilikuwa nguvu, vurugu, uporaji, mauaji nk. Ninafuraha sasa naona siasa za ushawishi zinarudi. Kwangu Mimi Uhuru huo UNATOSHA.” Zitto...
Msingi wa uzi huu ni kuwakumbusha CCM kuwa pamoja na Rais kutokea chama chao cha CCM, but once akishakuwa Rais anakuwa mali ya wananchi mali ya Watanzania wote, chama kinabaki kuwa kama mshauri tu lkn sio kushinikiza.
Kuna mambo mengi yameanza kujitokeza dhahiri yakifanyika kumshinikiza Rais...
Naandika kwa masikitiko makubwa kwa sababu hali ni mbaya. Wilaya ya Mbogwe ni Wilaya moja wapo katika mkoa wa Geita na ipo karibu na Ziwa Victoria ila haijawahi kugusa maji safi na salama kutoka bombani tangu mwaka 1961 impala leo.
ORODHA YA WAKURUGENZI WAKUU WA 'TISS' TANGU UHURU.
Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio...
Rais wa Kenya na mke wake wamekuwa miongoni mwa Wakenya wa mwanzo kabisa kujipatia chanjo ya Corona
Hii ita motivate Wakenya wengi kupata chanjo na hatimaye kumaliza tatizo la corona nchini mwao .
Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya
Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri.
Cheti hicho kimetolewa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir.
Pia soma > Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa...
Wanafamilia 5 waliokufa wakati wa kumuaga hayati Magufuli uwanja wa uhuru wanazikwa leo nyumbani kwao Kimara.
Ibada ya kuwaombea marehemu inafanyika katika Kanisa la KKKT Kimara na inaongozwa na mchungaji kiongozi wa Kanisa hilo.
Mkuu wa wilaya ya Ubungo na mbunge wa Kibamba wamehudhuria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.