uhuru

  1. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ilipigania uhuru wake. Tanzania ilipewa uhuru bure na Mbeberu

    Watanzania huwa wana kiburi ya hali ya juu sana maana wanaamini kuwa wao ndio waliikomboa Afrika kutoka kwa Mabeberu. Ukiona waziri wao akifoka jinsi waliikomboa Afrika hadi mate inamtoka mdomoni na mishipa kuvimba kichwani ndio utajua kwamba hii propaganda ya CCM ni nzito sana. Ukweli wa...
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais mteule wa Marekani Joe Biden afanya mazungumzo na Rais Uhuru kuhusu mambo mengi

    Hii muhimu sana kwa huyo rais mteule kuanza kuongea na viongozi wenye ushawishi mkubwa duniani kupanga namna ya kuirejesha Marekani kwenye nafasi iliyokua nayo hapo awali kabla kuharibiwa na yule mzee chizi. President Uhuru Kenyatta (left) and US President-Elect Joe Biden President Uhuru...
  3. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hatukuwapa kura ili mkaendelee kushibisha matumbo yenu bali msimame kidete kutetea haki na uhuru wa kweli. Kwa hili hamvumiliki!

    Haiingii akilini eti mtumie kura zetu tulizowapa kwa jasho na damu mkashibishe matumbo yenu. Eleweni kuwa sisi tulishaapa kuwa katu hatutotambua kile kilicholetwa kama matokeo! Hatutatambua watu wao wala matendo yao! Niliyaona kwa macho yangu yale yaliyotokea. Leo unaenda kula kuku? Haiingii...
  4. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Kufa au kupona- Kutoroka kwa Rahaf al-Qanun

    Tibilisi, Georgia Wafa mwenye umri wa miaka 25, na dada yake Maha mwenye umri wa miaka 28, waliwalaghai wanafamilia ya kwamba wanasafiri kwenda mji wa Ranyah, huko Saudi Arabia kumtembelea kaka yao. Wakiwa katika mji mkuu wa Saudia, Riyadh, mabinti hawa walifanikiwa kupata passport na tiketi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Majaliwa aagiza hospital ya Uhuru mjini Dodoma iwe imekamilika ndani ya siku 15 ili Rais Magufuli aifungue 09/12/2020

    Waziri mkuu ametembelea kwa ghafla hospital ya Uhuru iliyopo Chamwino mkoani Dodoma na hajaridhishwa na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wake. Akiwa amekasirishwa mh. Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa kuhakikisha ujenzi unakamilika ndani ya siku 15 ili mh. Rais Magufuli aje aifungue siku ya...
  6. Naton Jr

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

    Hongera Tanzania kuwa mfano wa kuigwa ulimwenguni Demokrasia yetu ama kwa hakika imekuwa ya kupigiwa mfano kila pembe ya dunia.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhesh Kassimu Majaliwa Kassimu Atembelea Maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali ya Uhuru Inayojengwa Chamwino

    Hakuna muda wa kulala Hakuna muda wa kupoteza Serikali Ya CCM imeamua na haitaki kuwaangusha Watanzania Waziri Mkuu ametoa siku 15 kwa mamlaka husika ikiwemo SUMA JKT, Wakala wa Majengo ( TBA) na Halmashauri ya Chamwino kukamilisha Ujenzi wa Hospitali hiyo Matumizi sahihi ya Rasilimali...
  8. Kurzweil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gospel musician Reuben Kigame warns Uhuru

    Gospel musician and pastor Reuben Kigame has warned President Uhuru Kenyatta, ODM leader Raila Odinga and labour leader Francis Atwoli of dire consequences in their quest to change the constitution. In a video posted on his Youtube page on Thursday, November 18, Kigame stated that he was...
  9. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta akiri hadharani Big 4 Agenda ni changa la macho

  10. Mtukudzi

    JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

    Katika kile unachoweza kutafsiri kama ni Kenya kuguswa na siasa mpya za Tanzania, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesistiza ustahimilivu wa kisiasa hasa kwa nchi zilizoizunguka. Amesema uchaguzi unafaa kuleta utangamano wa nchi na siyo kinyume chake. Amedai kuwa siyo siri nchi zinazoizunguka...
  11. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Singa: Kijiji kilichokuwa tajiri kuliko vyote Tanzania kabla na baada ya uhuru

    Singa ni kijiji kilicho katika kata ya Kibosho mashariki, wilaya ya Moshi vijijini katika mkoa wa Kilimanjaro. Wakaazi wa eneo hili ni Wachagga wa Kibosho japo siku hizi kuna wapare wengi na makabila mengine kama wasambaa na hata wahaya(wengi ni wajenzi). Kijiji cha Singa kimegawanyika sehemu...
  12. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Uhuru hajahudhuria uapishwaji wa Rais Magufuli?

    Toeni maoni yenu. Yangu ni kwamba Rais Magufuli bado ana machungu kwa sababu Rais Uhuru alifuata maagizo ya wanasayansi kuhusu njia za kudhibiti Corona ikiwemo kupima madereva wa Tanzania waliokuwa wanaleta Corona huku. Rais Magufuli naye akaamua kufutilia mbali urafiki na Kenya kama vile...
  13. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Wanashangilia Meli ya DRC, Kigoma hamna meli toka Uhuru

    Amesema meli iliyopokelewa leo kwa mbwembwe na wanaCCM si ya Tanzania bali ni mali ya DRC. Ameongeza kuwa ni aibu Tanzania kutokuwa na meli na kutegemea ya DRC Chanzo: Zitto kabwe on all social media
  14. Choco-late

    JamiiForums Tanzania Ni uhuru upi wa kujieleza wanaoutaka CHADEMA?

    Kuna dhana potofu ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekuwa wakiwaaminisha Watanzania eti hakuna uhuru wa habari na vyombo vya habari vimeminywa. Dhana hiyo imekuwa ikiwashangaza hata waandishi wa habari wenyewe kwani hawajaona kuminywa huko kwani wamekuwa wakifanya kazi...
  15. BAK

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Mwamakula: Uchaguzi uwe wa haki na uhuru

    Mtu ye yote anayehangaika na mikakati ya kuweka wapiga kura hewa, kuandaa watoto na wasio na sifa za kupiga kura ili wapige kura, kuiba kura, kuongeza vituo hewa na kuongeza kura za ziada kwenye vituo, huyo atakuwa amekosa kibari kwa watu na Mungu! Wananchi, madereva, wanafunzi, waalimu...
  16. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania VPL: Tanzania Prison vs Simba & Yanga vs Polisi Tanzania

    Karibuni tufuatilie mechi hizi pamoja Tushuhudie vigogo hawa watakavyofanya hii Leo Utaburi wangu Prison 0- 3 Simba Yanga 1- 3 Tanpolis OKW BOBAN SUNZU GENTAMYCINE @Forteleza na wengine toka vyurani Updates Kikosi cha simba Manula Kapombe Tshabalala Nyoni Onyango Mkude Mzamiru Bwalya...
  17. Ibrah

    JamiiForums Tanzania Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gamanywa: Haki ni tunda la utii wa sheria vs Shehe Kishki: Haki ni tunda la uhuru wa binadamu. Ipi ni sahihi?

    Askofu Gamanywa ameitafsiri Haki kama tunda la utii wa sheria na kwamba Sheria ndio hutoa haki. Gamanywa amesema Amani ni muhimu kuliko haki kwa sababu Haki hubadilika badilika kulingana na mabadiliko ya sheria lakini Amani iko pale pale. Naye shehe Kishki ametofautiana na askofu Gamanywa kwa...
  19. comte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta ametusaidia kuwaambia wanaotaka katiba mpya kuwa siyo jibu la matatizo yetu

    Kenya Considers New Constitution To Avoid Perennial Violence Kenya’s President Uhuru Kenyatta has called for a change of the constitution, outlining the benefits it will have for future generations. “We spend almost two years after every election on conflicts,” he said, “and that is what we...
  20. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania, uongozi haujaribiwi. Chagua kwa ajili ya Uhuru na Amani ya Watanzania

    Habari za muda huu ndugu wanabodi wenzangu? Leo nimerudi tena baada ya takribani siku kadha zilizopita kuwa na majukumu mengine na hasa ya kiuchumi pamoja na ya kisiasa. Tumetafuta kura za kutosha na kwa tathimini ya haraka tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuweza kuwafahamisha watanzania wengi...
Back
Top Bottom