uhuru

  1. M

    JamiiForums Tanzania Endapo Nchimbi atatakiwa kuachia Umakamu, tutumie fursa hii kuchochea Uhuru wa Tanganyika.

    Tukio hili litakuwa tukio la aina yake na ni fursa ya kipekee kudai uhuru wa Tanganyika kama nchi Huru. Tuitumie hii fursa kufanya kampeni ya ghafla kuhamasisha Utaifa wa Tanganyika, kufufua Bendera ya Tanganyika na hata kuandaa Waraka wa uhuru na Rasimu ya katiba ya Tanganyika
  2. polokwane

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ndio mara ya kwanza tangu tupate uhuru makamu wa Rais kutolewa madarakani,CCM ijitafakari sana, siasa zao sasa hazilijengi Taifa.

    Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena! Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Upi msimamo wa Mtume Muhammad katika kesi kubwa KAMA YA LISSU?

    Leo ni siku ya kuzaliwa mtume Muhammad S. A.W,kiongozi wa kiislamu. Tutaangazia kidogo kuhusu msimamo wa Mtume Muhammad ktk swala la kutoa haki ktk vyombo vya mahakama. Upi ulikuwa msimamo wake na vipi jamii ameiasa. Hapa siingilii mahakama maamuzi tunachambua jinsi ya mtume Muhammad...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tangu tupate uhuru, Tundu Lissu ndio atakuwa Mwanasiasa wa kwanza Kunyongwa kwa ajili demokrasia ya taifa lake

    Hakuna mwingine ambae alishaandika historia kama ya Tundu Lissu. Kusingiziwa kesi isiyo na mashiko wala mbele. Kama watamtia hatiani atakuwa Mwanasiasa wa kwanza kumwaga damu yake kwa ajili ya demokrasia ya taifa lake.
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ‘Sitaki Kuitwa Sponsor’: Uhuru Akanusha Madai ya Kufadhili Upinzani Kuelekea 2027

    Aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta amekanusha madai kwamba anafadhili viongozi wa upinzani wanaojiandaa kumpinga Rais William Ruto katika Uchaguzi Mkuu wa 2027, akisisitiza kuwa uamuzi wa nani ataongoza Kenya uko mikononi mwa wananchi. Akizungumza Kitale wakati wa kumbukumbu ya aliyekuwa Makamu wa...
  6. Red black

    JamiiForums Tanzania Je, mwanadamu anayo tena uhuru wa kuchagua (free will) au kila kitu kimepangwa?

    Niko hapa kujifunza Zaidi.
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tilisho na Wafanyabiashara wote, waungeni Mkono CHADEMA mfanye biashara kwa uhuru

    CCM na Serikali yake washakata pumzi. Wana CCM wanategemea kula kupitia kwenu. Nawashawishi Wafanyabiashara wote Tanzania kuiunga Mkono CHADEMA. Watanzania tushikamane tusaidiane CHADEMA ili tujikomboe. Vinginevyo kila mtu atafikiwa kwa wakati wake. Mambo ya pingu mlikuwa mkicheka mkiona...
  8. B

    JamiiForums Tanzania MADA MOTO : Uhuru wa Wanataaluma Barani Afrika | Intellectual Freedom and Future of African Universities

    14 August 2026 University of Dar es Salaam UDSM Tanzania Hatma, Uhuru wa Wanataaluma Barani Afrika | Intellectual Freedom and Future of African Universities https://m.youtube.com/watch?v=6VQIiwLieKc wanataaluma wa chuo hicho kimeaandaa mazungumza juu ya hatma ya uhuru wa wanataaluma barani...
  9. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Barua ya Mahakama Kuu Yazua Mjadala: Je, Katazo kwa Mawakili Linakiuka Uhuru wa Kujieleza Chini ya Ibara ya 18 na Kuvunja Ibara nyinginezo za Katiba?

    Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia barua iliyotolewa na Msajili wake C.M. Tengwa tarehe 12 Agosti 2026, imewaelekeza mawakili nchini kuepuka kuzungumza na vyombo vya habari katika maeneo ya mahakama mara baada ya mashauri kuahirishwa. Maelekezo hayo, yanayotegemea Kanuni ya 137 ya Kanuni za...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji wa Milioni 585 wazinduliwa na mwenge wa uhuru

    Mradi wa maji wa Sh585 milioni wazinduliwa na mwenge wa uhuru MWENGE wa Uhuru umezindua rasmi Mradi wa Ujenzi wa Mtambo wa Kuchuja Maji Igombe–Kabangaja, jijini Mwanza, uliyojengwa kwa gharama ya Sh585 milioni, unaolenga kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa maeneo hayo...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi Iliyosahau Mashujaa Wake: Kumbukumbu ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZgzpXeu9eRY?si=HgH6XfcePFIMrxuI
  12. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tanzania Kuzisaidia nchi za Afrika kupata Uhuru nazo sasa zaisaidia Tanzania

    Ripoti hii si uchunguzi wa kweli; ni jaribio la kisiasa la kuficha nyayo za utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uchaguzi wa Oktoba 2025 ambao, kwa mujibu wa taarifa hii, ulikuwa wa udanganyifu na ulioambatana na ukatili. Naibu Jaji Mkuu wetu anaitwa kushiriki katika Tume hiyo kama...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Maisha ya Julius Nyerere Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Mchapishaji huyo, baada ya kuuona mswada (manuscript) wa kitabu cha historia ya harakati za uhuru ambacho Mohamed Said alikuwa amekiandika, alimwambia: "...unajua kama wewe umekalia neno la tumia alisema gold m yaani umekalia mgodi wa dhahabu". Maelezo ya ziada kuhusu nukuu hii ni kama...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto, Uhuru na Walinzi: Je, Historia Inajirudia?

    Rais William Ruto jana, Agosti 6, 2026, aliwakutana na maafisa wa usalama binafsi zaidi ya 5,000 State House, ambapo aliahidi kubadilisha matumizi ya majina “watchman” na “guard” na kuwatambua rasmi kama Private Security Officers (PSOs). Ruto pia alizungumzia kuboresha mishahara, heshima na...
  15. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta : Sijawahi kugusa bangi maishani mwangu

    Hayo yamesemwa na raise mstaafu wa Kenya alipokuwa akiongea na vijana wa shule ya upili ya Alliance. Kenyatta aliongea mambo mengi ikiwemo madhara ya madawa, kushindwa kufikia malengo saba u ya uraibu nk.
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    Mwaka 1933, kutokana na hofu kuwa African Association ilionekana kuwa na sura ya Kiislamu pekee, waasisi waliamua kutenganisha dini na siasa ili kuwavutia Wakristo. Mzee Bin Sudi na Kleist Sykes walisema: "tuanzishe taasisi nyingine ili tuiondoe Uislamu ndani ya African Association". Jambo hili...
  17. Vien

    JamiiForums Tanzania Waajiriwa wengi wanauonea wivu uhuru wa waliojiajiri, lakini hawajui gharama ya huo uhuru

    Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara. Waajiriwa wengi wanawatazama waliojiajiri kwa jicho la wivu. Wanaamini kujiajiri ndiyo uhuru wa kweli. Unaamka muda unaotaka, unafungua biashara muda unaotaka, unafunga muda unaotaka, hakuna boss wa kukupangia ratiba, hakuna mtu wa kukuuliza kwa nini...
  18. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Wimbo maalum kwa Taifa la Tanzania. Nakala TBC, Uhuru fm, Azam TV na ITV na Channel ten

    https://youtu.be/oE6XHuIYiDw?si=z9HOvhkevw48eGvq
  19. R

    JamiiForums Tanzania Asante Prof Emeritus Shivji kwa kupaza sauti ya Uhuru wa Dr. Kaijage

    What next? Wewe siyo raia and deserves to be deported to India/ Pakistan or somewhere else of that nature.
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mashujaa: Dome Okochi Budohi Mkenya Katika Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Kuhusu Dome Okochi Budohi (Mkenya aliyepigania Tanganyika) Mchango wake katika TANU: "Dome Okochi Budohi... kadi yake ya tano... ni mtu alikuwa anajua kila siku na mimi nimepata mengi... amekamatwa katika ardhi ya Tanganyika wakati akifanya harakati za tano." Kukamatwa na kuteswa: "Nimemuona...
Back
Top Bottom