uhuru

  1. Sitakuumiza Kamwe

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na Waziri Mkuu roporopo kama huyu!

    Julius Nyerere Rashid Kawawa Edward Sokoinne (mara mbili) Cleopa Msuya (mara mbili) Salim Ahmed Salim Joseph Warioba John Malechela Frederick Sumaye Edward Lowassa Mizengo Pinda Kassim Majaliwa Halafu kuna: Mwigulu Nchemba Hatujawahi kuwa na waziri mkuu anayeropoka hovyo hovyo kama huyu wa...
  2. canular

    JamiiForums Tanzania Hakuna uhuru wa kuzungumza

    Hivi hawa wahuni wa CCM wanawezaje kutuziba midomo tusiongee? Uhuni na ukatili wanaotufanyia watanzania? Wameua ndugu zetu gizani ushaidi tunao kwenye simu zetu halafu hao wahuni wa CCM bila aibu mnasimama mbele ya vyombo vya habari na kupinga mauaji mliofanya? Oya hii nchi sio ya mama zenu na...
  3. Keynez

    JamiiForums Tanzania Hatua kwa hatua wametuondolea Uhuru hadi wamefikia kusema ya hatuna haki ya kusherehekea Uhuru wetu

    Walianza zamani kumuondolea Uhuru Mtanzania. Pale Mnazi Mmoja, alama ya uhuru wa Tanganyika, wakaweka uzio. Hakuna mtu kuingia au kutoka. Labda vile vyuo vya India na China ndiyo vinaruhusiwa kupatumia. Hadi Watanzania wamepasahau na umuhimu wa sehemu ile. Hili ndiyo lilikuwa lengo ili msije...
  4. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Desemba 9 ni siku ya Uhuru wetu, siyo siku ya Miundombinu tu

    Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook; "Kuahirisha maadhimisho ya Uhuru na fedha kutumika kukarabati Miundombinu. Hii pia ni nzuri. Mtoto wa Mjaluo akinya, mzazi ndio huzoa kinyesi cha mtoto. Na mtoto wa Mkurya akinyea mbeleko...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Inawezekanaje kuwa na amani ya kudumu bila haki za msingi na uhuru wa raia?

    Wale wanaosema( hasa masheikh wengi na serikali) kwamba tunaweza kuwa na amani bila haki ni vyema watueleze ni jinsi gani jambo hili linawezekana hapa Tanzania ili tuwaelewe vizuri na sisi tuweze kuishi kwa amani ya kudumu bila haki katika taifa letu. Watupe na mifano ya mataifa yenye mfanano...
  6. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna ambao wanajifanya maandamano ya kudai uhuru wa kiraia,kukataa ubadhirifu na mauaji hayawahusu, ndio hao haki ikipatikana wataanza tena kufurahia

    Huwa ipo hivyo , kwa sasa wanajifanya hayawahusu kwa sababu tangu uhuru hawajawahi iona tanganyika yenye uhuru wa kiraia , yenye uwajibishanaji, inayo heshimu haki na utu wa mtanganyika kwa vitendo na sio maneno. Tanganyika isiyo na rushwa wala viongozi kujilimbikizia mali na familia zao...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Wanaotoa takwimu za vifo wakati wa uchaguzi ni uchochezi

    Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi.
  8. KuniMbichi

    JamiiForums Tanzania Tanganyika ndio iliyopata UHURU tarehe 9 December, 1961 sio Tanzania, Tanzania haikupata UHURU

    Naona watu wanachanganya sana. Nimejaribu kuwakumbusha.
  9. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, sherehe za maadhimisho ya uhuru Desemba 9, 2025 zitafanyika kweli?

    Kulingana na taarifa za maandamano ya amani zilizopangwa kufanyika 9 december , je siku hiyo sherehe hizi zitafanyika kweli? Tunajua vyombo vya usalama asilimia kubwa huwa vipo pale uwanja wa taifa kusherehekea sherehe hizi na maigizo yao ya kuvunja matofali kwa vichwa, hii inapelekea maeneo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kauli za Benson Bana, Serikali na Wengineo kwamba "Sisi ni Taifa Uhuru" hivyo sio Haki kuingiliwa au kupata Shinikizo la nje, Lina akisi ukweli

    Kumekuwepo na kauli mbali mbali za watetezi wa Uamuzi wa baàdhi yetu kutetea Sirikali iliyopi na uhalali wao, wa kufanya uchunguzi na mengineyo ili waendele kuwa madarakani na kuficha ukweli kwa kuegemea kwenye Katiba na Uhuru wa nchi kwenye kujitawala. Lakini hapo hapo wanashindwa kukumbuka...
  11. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TCRA yatoa onyo kwa vyombo vya habari kusambaza maudhui yanayoweza kuhatarisha amani kutoka kwa watu wenye kesi za uhaini

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kuutaarifu umma na kuvikumbusha vyombo vyote vya habari nchini, ikiwemo televisheni, redio, machapisho, mitandao ya kijamii, tovuti na majukwaa ya kidijitali, juu ya wajibu wao wa kufuata sheria na kanuni za mawasiliano katika kutoa habari kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Muungano umeshapitwa na wakati; Ulishinikizwa na Wamarekani na mabepari wakiogopa kuenea kwa ushawishi wa Urusi kuigeuza Zanzibar iwe kama Cuba

    Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k. wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi INEC yatoa orodha wabunge viti maalum CCM wapo 113, CHAUMMA 2

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa orodha ya majina ya wabunge wanawake wa viti maalum 115 kati ya 116, huku ikibakiza nafasi moja ambayo jina litatangazwa baada ya kufanyika uchaguzi jimbo la Fuoni na jimbo la Siha uliohairishwa. Katika orodha iliyotolewa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Maandamano endelevu mpaka uhuru

    Kuanzia sasa Gen-Z/Watanzania kwenye kila maandamano au tukio ambalo litawafanya washike Silaha hawatairudisha kwa mamlaka, Silaha zitatumika dhidi ya WanaCCM na wafuasi wao, polisi au mtu yoyote wa Serikali dhalimu atakayekuja kupeleleza hatopewa tena tena ushirikiano, effectively tunaondoa...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tujipongeze sana Vijana tulioandamana , Wakati alipouliwa Mmoja wetu, tulisonga mbele, Hii Spirit ni zaidi ya Enzi za Uhuru, Mapambano yanaendelea

    Sisi ni watia mwanga katika Giza , Ukombozi unatutegemea. Damu za wenzetu zilizomwagika zinatutaka kuendelea kupigania HAKI zao , Haki ambazo Ushindi wake ni Faraja Kwa Wazazi wao, Watoto,Ndugu, Rafiki na Jamaa. Nilishuhudia Jamaa yangu Ubongo unamwagika 'Mpaka Leo Sijui ni aina gani ya...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Media za Tanzania zilivyoripoti matukio ya Uchaguzi Mkuu 2025; Je, tatizo ni uwezo wa Wanahabari au uhuru umesiginwa?

    Wakati Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ulipofanyika tarehe 29 Oktoba 2025, huku Huduma za Mtandao wa Intaneti zikiwa zimezimwa, Vyombo vya Habari vikuu (Mainstream Media) kama televisheni na redio, pamoja na Vyombo vya Habari vya Mtandaoni, vilitarajiwa kutoa taarifa sahihi na zenye uwiano kuhusu yale...
  17. Mr Devil

    JamiiForums Tanzania Yaliyopita si ndwele tugange yajayo, kidonda kitapona maisha yataendelee, Uhuru una gharama zake

    Watanzania bado tunaendelea kubeba maumivu ya yaliyotokea. Lakini kushindana na mwenye silaha hakutaleta suluhisho, bali Maumivu zaidi. Waliotenda mauaji walifanya hivyo si kwa uungwana wala kuzingatia utu na utanzania wetu, Hata hivyo kila jambo lina mwisho. Maisha lazima yaendelee. Heshima na...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samia awashukuru Tume ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Uchaguzi wa Uhuru na Uwazi

    *Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo. Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kikwete akutana na Uhuru Kenyatta, amuomba ushauri

    Rais Mstaafu wa Tanzania ameenda Kenya kwa Dharura kukutana na Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta. Amuomba atumie ushawishi wake kuwatuliza Waandamanaji wa Tanzania. Tanzania na Kenya wamekuwa ndugu katika shida na raha. Uhuru aliweza kumaliza maandamano ya kenya kwa njia ya mazungumzo...
  20. Poker

    JamiiForums Tanzania Ni miaka zaidi ya 60 tangu tupate uhuru, ila ni kama hatuna uhuru

    Miaka 60 baada ya uhuru Tanzania hatuna wasomi wakuendesha bandari zetu mpaka tusaidiwe na waarabu? Miaka 60 baada ya uhuru bado kumiliki gari Tanzania ni anasa! Miaka 60 baada ya uhuru kuikosoa serikali ni makosa! Miaka 60 baada ya uhuru bado watanzania vilio vyao ni maji na umeme? Miaka 60...
Back
Top Bottom