uhuru

  1. M

    JamiiForums Tanzania Pesa haimpi kiburi Mwanamke bali humpa uwezo wa kutovumilia ujinga

    Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii. Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi yake bila kutegemea wengine, jambo linalompa uhuru wa kweli wa maisha. Uhuru huu humfanya awe na...
  2. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Tunapoilaumu CCM tukumbuke na haya!

    Katika mijadala ya kisiasa hapa kwetu, mara nyingi lawama zote hupelekwa moja kwa moja kwa chama tawala, CCM. Wengi husema chama hiki ndicho chanzo cha matatizo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii. Lakini kabla ya kufikia hitimisho hilo, ni muhimu kujiuliza: kwa nini tumefika hapa tulipo? Je...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina haja ya kua na ushirikiano wa kidiplomasia au kimaendeleo na taifa ambalo haliheshimu uhuru wa taifa jingine.

    Na ni muhimu sana wadau wa Jf kufahamu hili. Tanzania kama nchi huru, kamwe haiwezi kubabaishwa na mabadiliko ya kidiplomasia au kimaendeleo na taifa ambalo haliheshimu uhuru wa mataifa mengine, mathalani Tanzania. Tanzania itaendelea kuheshimu uhuru wa mataifa mengine na kuendelea kua kisiwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO DIT: Wanafunzi tunahitaji Uhuru wa Kielimu, hatutaki Uchawa!

    KILIBA , TAHLISO, MAMA ASEMEWE - Iacheni DIT Kama TAASISI YA ELIMU YA JUU YA TEKNOLOJIA haiwezi Kuwa TAASISI YA KICHAWA Majuma ya hivi karibuni yamekuwa na kipindi Cha ajabu Kwa sura ya Siasa ya Tanzania na DIT kwa ujumla, kwani tangu kuanze na Tukio la Michezo Ndani ya Taasisi kumekubwa na...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ally Sykes na Nyaraka za Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Nimeiona picha ambayo nilipiga na Ally Sykes Muthaiga Club Nairobi mwaka wa 1989. Miaka 37 imepita. Ally Sykes amefariki miaka 13 iliyopita. Bwana Ally alikuwa rafiki yangu na baba yangu lakini pia alikuwa mwalimu wangu yote kwa pamoja. Hii picha nilipiga na camera ya bei rahisi sana mfano wa...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Jengo la Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika ni Alama ya Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/4Azi52gW5U8?si=Ir7sExLBDoRqPSd-
  7. YASIYOSEMWA

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya uhuru

    Binadamu kama walivyo viumbe wengine kila akifanyacho ni kwa ajili ya kujiweka huru. Huru dhidi ya magonjwa, njaa, huru dhidi ya mipaka yake ya kiasili, kama kuwasiliana bila kujali umbali, kusafiri na kwenda mbali Zaidi ya uso wa Dunia. Kimsingi tunapambana ili kuwa huru dhidi ya kanuni za...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nitajie nchi za Afrika tokea kupata uhuru au sehemu nyengine urusi ilivyounga mkono nchi zikawa na maendeleo makubwa ya kutisha

    Sawa ni super pawa ila sijawahi kuona sehemu urusi anapounga mkono pakawa salama zaidi ya watu kupitia mateso,vita visivyo kuwa na ukomo,maendeleo yanakuwa kwenye jeshi tu na watawala wala sio wananchi. Tukiwachekea hawa tuna ungana na historia za wengine.
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naombeni jibu: Je, viongozi wa harakati za uhuru wanapewa sifa kubwa kuliko hali halisi ya kisiasa iliyokuwepo wakati huo?

    Nikisomaga historia za uhuru wa nchi za Afrika inaonekana kwamba ilikuwa ni mapambano makubwa sana yaliyohitaji juhudi za ajabu kutoka kwa viongozi kama Julius Nyerere, Jomo Kenyatta na wengine wengi. Lakini nikiangalia kwa karibu, miaka ya 1950 na 1960 ilikuwa kipindi ambacho tawala nyingi za...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna kosa kubwa alilolifanya Mwl Nyerere ni kusaidia mataifa ya kusini kupata uhuru. Mpaka leo hili kosa linatugharimu

    Pesa nyingi ilitumika kusaida nchi za kusini mwa Afrika na akasahau kabisa kujenga taifa lake. Watanzania waliishi maisha dhiki huku mataifa ya nje yakinufaika na kupata uhuru. Miaka 26 aliyetawala Mwl Nyerere aliiacha nchi hovyo kiuchumi na maendeleo. Naishia hapa....
  11. B

    JamiiForums Tanzania JAB Yasema Uhuru wa Habari Uende na Uwajibikaji

    Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM — Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema uhuru wa uhariri ni nguzo muhimu katika taaluma ya habari na unapaswa kulindwa ili vyombo vya habari viweze kutekeleza majukumu yake kwa weledi...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UDA Open Letter to Uhuru: “Stop Your Obsession With Ruto” Amid Cost of Living Debate

    Former President Uhuru Kenyatta na serikali ya United Democratic Alliance wameendelea kurushiana maneno makali kuhusu hali ya maisha nchini. UDA imemshambulia Uhuru baada ya kukosoa serikali ya William Ruto kuhusu kupanda kwa gharama ya maisha, mafuta na kodi kubwa zinazowaumiza wananchi wa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC: Kurejea kwa kasi kwa matukio ya utekaji ni tishio kwa uhuru wa raia na Utawala wa Sheria nchini

    LHRC: KUREJEA KWA KASI KWA MATUKIO YA UTEKAJI NI TISHIO KWA UHURU WA RAIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI Tarehe 22 Mei 2026, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kupinga vikali kurejea kwa kasi matukio yenye sura ya utekaji nchini. Katika siku za hivi karibuni...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna import maji kutoka nje baada ya miaka 64 ya uhuru

    Hii chupa ya dripu ina nusu lita ya kimiminika aina ya ‘maji’. Lebo hapo inasema "0.9% w/v" Sodium Chloride (chumvi). Kwa kifupi, maana yake ni kwamba 99.1% ya hii chupa ni maji. Kwenye hii dripu ya 500 ml, kuna gram 4.5 ya chumvi. Kilichobaki 495ml ni maji. Haya maji yamekuja kutoka India kwa...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Picha Adimu Hazikupata Kuwepo za Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    Mkutano wa ndani wa TANU nyumbani kwa Ali Msham Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa miaka ya mwanzoni 1950 Fatilia ukurusa huu In Shaa Allah nitaweka picha zaidi kila nipatapo nafasi. Tumia picha upendavyo hazina hati miliki. Picha hii ilipigwa 1942 wakati Abdul Sykes alipokuja Dar es Salaam...
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Je, Afrika Ilipata Uhuru wa Kweli?

    Watu wengi wakisikia “ukoloni” wanafikiria wazungu walifika Afrika na bunduki tu wakaanza kuteka maeneo kwa nguvu moja kwa moja. Ukweli ni kwamba sehemu nyingi ukoloni uliingia taratibu sana kupitia biashara, mikataba na ushawishi wa viongozi wa maeneo husika. Wazungu walipofika walijenga...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru wa Vyombo vya Habari hatarini: Waandishi wa Standard Media wazuiwa kwenye hafla ya Rais William Ruto

    Waandishi wa habari kutoka Standard Media Group wamezuiwa kuingia katika event ya Rais William Ruto huko Naivasha wakati wa Second National Education Conference. Kisa hiki kimeibua mjadala mkubwa kuhusu freedom of speech na haki ya wanahabari kufanya kazi yao bila vitisho au ubaguzi. Inadaiwa...
  18. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania LHRC: Bila uhuru wa habari, sauti ya Wananchi hupotea

    Tanzania imeshuka katika viwango vya uhuru wa habari kwa mwaka 2025, hali ambayo imeelezwa kuwa inatokana na matukio mbalimbali yaliyojitokeza kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu. Akizungumza jijini Arusha katika kongamano la waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa...
  19. SamuraiJack

    JamiiForums Tanzania HOJA Mwenge wa Uhuru: Fahari ya Taifa au Gharama kwa Taifa?

    Mwenge wa Uhuru uliwekwa juu ya Mlima Kilimanjaro tarehe 9 Desemba 1961, siku ya uhuru wa Tanganyika, ukiashiria uhuru, utaifa, amani na matumaini ya taifa jipya. Tangu hapo, mwenge huo umekuwa ukizunguka nchi nzima kila mwaka kwa ajili ya kuhamasisha maendeleo, kuimarisha umoja wa kitaifa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) walaani baadhi ya Viongozi, Taasisi za Umma.. kudhoofisha uhuru wa Wanahabari na Vyombo vya Habari

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mwenendo wa Uhuru wa Vyombo vya Habari Tanzania unatisha Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) unalaani mwenendo unaoendelea wa baadhi ya viongozi wa serikali, taasisi za umma na vyombo vya usalama kudhoofisha uhuru wa wanahabari na vyombo vya habari nchini...
Back
Top Bottom