UDA Open Letter to Uhuru: “Stop Your Obsession With Ruto” Amid Cost of Living Debate

UDA Open Letter to Uhuru: “Stop Your Obsession With Ruto” Amid Cost of Living Debate

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
316
Reaction score
222
Former President Uhuru Kenyatta na serikali ya United Democratic Alliance wameendelea kurushiana maneno makali kuhusu hali ya maisha nchini.

UDA imemshambulia Uhuru baada ya kukosoa serikali ya William Ruto kuhusu kupanda kwa gharama ya maisha, mafuta na kodi kubwa zinazowaumiza wananchi wa kawaida.

Kupitia barua kali, viongozi wa UDA walidai kuwa Uhuru bado hajakubali kushindwa kwa uchaguzi wa 2022 na wanaamini anaendelea kuchochea hasira za wananchi dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza. Chama hicho pia kilisema serikali ya Ruto imejaribu kurekebisha uchumi kupitia mbolea ya ruzuku, kuboresha sekta ya afya kupitia SHA, pamoja na miradi ya nyumba na barabara.

Lakini Uhuru alipokuwa akizungumza Kiambu alisema shida ya Wakenya si siasa, bali ni uchumi mgumu. Alisema wananchi wengi wanapata mishahara midogo huku mafuta na kodi zikimeza pesa nyingi kabla familia hata haijakula.

Kauli zake zimezua mjadala mkubwa mtandaoni huku baadhi ya Wakenya wakimuunga mkono wakisema maisha imekuwa ngumu, while others defended the government saying changes take time.
Wananchi wengi sasa wanasema wanahitaji solutions, siasa kidogo.
Source: Citizen digital
 
Back
Top Bottom