Nini maana ya uhuru

Nini maana ya uhuru

YASIYOSEMWA

Member
Joined
Jun 1, 2026
Posts
31
Reaction score
58
Binadamu kama walivyo viumbe wengine kila akifanyacho ni kwa ajili ya kujiweka huru.

Huru dhidi ya magonjwa, njaa, huru dhidi ya mipaka yake ya kiasili, kama kuwasiliana bila kujali umbali, kusafiri na kwenda mbali Zaidi ya uso wa Dunia.

Kimsingi tunapambana ili kuwa huru dhidi ya kanuni za asili.

Mpaka ubadilishaji wa jinsia, mapenzi ya jinsia moja, kuzaa bila uchungu, upandikizaji wa viungo n.k

LAKINI CHA AJABU KADRI TUNAVYOPAMBANA KUWA HURU.,
NDIVYO TUNAVYOZIDI KUWA WATUMWA WA NATURE(ASILI)

Imagine huwezi kaa dakika moja bila simu, huwezi safiri bila Chombo cha moto, Haya Yote yako powered na mazao ya asili.

Huwezi ishi bila miundo ya serikali na Dini.

Uhuru Ni upi...
Kuishi tutakavyo au kuishi kulingana na kanuni za asili?
 
Duniani hakuna uhuru hata huo unaodhani ni uhuru wala sio uhuru, Kila kitu kipo controlled na nature.
 
Uhuru ni uwezo wa kufikiri na kufanya uchunguzi, kujua na kujua kufanya mambo bila kukosea.

Kwa lugha rahisi uhuru ni uelewa wa kina wa mambo na elimu ya vitu.

Kuingilia shughuli za kiasili au mpango unao-violate nature kwa sababu yoyte ya kiafya au ya kiuchumi inaingilia uhuru.
 
anapambana asizeeke, asife kwa kuja na mawazo mengi kama cyronics digital immortality, anapambana atoke kwenye sayari hii aende sayari nyingine, anajaribu kuja na mawazo ya ipo siku aweze ku manipulate muda kwa kujaribu kutengeneza artificial wormhole, kimsingi anajaribu sana ku challenge nature ila mwisho wa siku nature lazima ishinde tu
 
Binadamu kama walivyo viumbe wengine kila akifanyacho ni kwa ajili ya kujiweka huru.

Huru dhidi ya magonjwa, njaa, huru dhidi ya mipaka yake ya kiasili, kama kuwasiliana bila kujali umbali, kusafiri na kwenda mbali Zaidi ya uso wa Dunia.

Kimsingi tunapambana ili kuwa huru dhidi ya kanuni za asili.

Mpaka ubadilishaji wa jinsia, mapenzi ya jinsia moja, kuzaa bila uchungu, upandikizaji wa viungo n.k

LAKINI CHA AJABU KADRI TUNAVYOPAMBANA KUWA HURU.,
NDIVYO TUNAVYOZIDI KUWA WATUMWA WA NATURE(ASILI)

Imagine huwezi kaa dakika moja bila simu, huwezi safiri bila Chombo cha moto, Haya Yote yako powered na mazao ya asili.

Huwezi ishi bila miundo ya serikali na Dini.

Uhuru Ni upi...
Kuishi tutakavyo au kuishi kulingana na kanuni za asili?
uhuru ukisha utambua basi ujue ushaupoteza, uhuru wa kweli ni kaburini.
 
Back
Top Bottom