uhamisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Hatutapokea barua ya maombi ya uhamisho, watumishi waombe kwa njia ya Mtandao

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuna changamoto ya Watumishi wanaoomba kuhama kushindwa kutekelezewa maombi yao pamoja na kutengenezewa mazingira ya rushwa, Ofisi ya Rais – TAMISEMI imesema imebainika kuwa wanaopewa fedha siyo Watumishi isipokuwa ni watu wengine wenye nia ovu katika...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Saini feki za Katibu Mkuu UTUMISHI na TAMISEMI zinatumika kuhamisha watumishi vituo

    Serikali imebaini baadhi ya watumishi wa umma wanatumia njia za udanganyifu na nyaraka za kughushi mtandaoni, ili kufanikisha uhamisho wa vituo vya kazi pasipo kuridhiwa na mamlaka husika. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TAMISEMI tufahamisheni, lazima Mtumishi alipie fedha ili apate uhamisho?

    Naandika andiko hili nikiwa ni mmoja wa watumishi wa Serikalini, na nimelazimika kuleta andiko hapa kwa kuwa nguvu kubwa inayotumiwa na wanaofanya mambo kwa mlango wa nyuma wana nguvu kuliko Watumishi wengi ambao ndio wanaokamuliwa hela bila kupenda. Inajulikana wazi kuwa Mtumishi anapokuwa na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kuhusu uhamisho wa muda, naoma msaada

    Moja kwa moja kwenye mada naomba kujua stahiki za mtumishi anapokuwa " UHAMISHO WA MUDA" ambao nafikiri ni siku 90 au 120 kama sijakosea. Mimi Niko uhamisho wa muda hivyo naomba kujua haki zangu na ikiwezekana wajuzi niwekee ni sheria za kiutumishi zinasimamia jambo hili.Naona boss ananichezea...
  5. Private investigator

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI na sarakasi za uhamisho wa Watumishi. Chaka jipya la kuwaibia Watumishi

    Baada ya sarakasi za kuahidi kuwa watatoa uhamisho mara 4 kwa mwaka, sasa wamekuja na ESS wakati watumishi wamepoteza nauli na usumbufu mwingi ili kukamitisha paper work ambazo tayari TAMISEMI wanazo. Kinachofanyika ni wizi na rushwa maana watu wanaotoa rushwa wanahama na vibali vinatoka. Huu...
  6. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Hongera Mchengerwa kuwa waziri TAMISEMI. Nakuomba yatazame haya, vibali vya uhamisho vina urasimu mkubwa

    Mkuu mi Sina mashaka na utendaji wako kabla ya kuwa Waziri tangu ulipokuwa Ofisi ya mwana Sheria Mkuu wa serikali baadaye ukawa Waziri wa Utumishi kwakweli uliwafuta Watumishi machozi kwa wale walioganda daraja moja kwa miaka 6 walipata uhueni. Siwezi kuyazungumzia mazuri yote uliyofanya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu TAMISEMI, kwanini unanyanyasa watumishi wa umma kwa kuwanyima uhamisho wao halali?

    Siku za karibuni Rais alifanya mabadiliko madogo kwa makatibu wakuu ambapo ndg. Adolf Ndunguru alipelekwa Ofisi ya Rais- TAMISEMI. Huyu bwana tangia aingie katika ile ofisi alikuta tayari kuna watumishi walishapata uhamisho hasa wale wa kubalishana vituo vya kazi. Jambo la ajabu amezuia...
  8. VMWare-Oracle

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa chuo kwa wanafunzi wanaoendelea

    Wasalaam... Nilikuwa naomba kujua utaratibu ukoje kwa wanafunzi wanaotaka kuhama chuo kimoja kwenda chuo kingine. Conditions 1. Course ni ile ile, let say natoka DIT nikiwa nimesoma mechanical engineering mwaka wa kwanza. Lakini nataka nisome mechanical engineering mwaka wa pili nikiwa MUST...
  9. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Mabadiliko ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji Serikali za Mitaa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa. Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi mpya pamoja na kuwahamisha vituo vya kazi baadhi ya Makatibu...
  10. Private investigator

    JamiiForums Tanzania Page ya TAMISEMI imedorora, taarifa za uhamisho hamtoi, watu wanahama kimyakimya na hatma yetu hatuielewi

    Nategemea kuhama na nimekamilisha taratibu zote. Nasubiri majina kwenye ubao wa tovuti ya TAMISEMI lakini sioni kitu. Cha ajabu hapa kazini kwangu, watumishi wapya tunawapokea wakiwa na Uhamisho kutoka nje ya MKOA. Nataka kujua anayepokea hizi rushwa TAMISEMI na Mimi nimpelekee anihamishe.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Vibali vya uhamisho kwa watumishi wa umma

    VIBALI VYA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA E Mungu Muumba mbingu na nchi,umeiwekea Dunia vitu vyote wakiwemo Wanadamu.Umewapa wanadamu uwezo wa kuongoza na kutawala viumbe wengine. Twakuomba katika kuongoza na kutawala, uwajalie viongozi wetu wa Tanzania afya njema, Hekima na Busara ili pamoja...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Vibali vya uhamisho kwa watumishi wa umma

    VIBALI VYA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMA:- E Mungu Muumba mbingu na nchi,umeiwekea Dunia vitu vyote wakiwemo Wanadamu.Umewapa wanadamu uwezo wa kuongoza na kutawala viumbe wengine.Twakuomba katika kuongoza na kutawala,uwajalie viongozi wetu wa Tanzania afya njema ,Hekima na Busara ili pamoja...
  13. nyboma

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Somo la mali kwa wanandoa kwa kilichotokea kwa Achraf Hakimi na mkewe

    SOMO LA MALI KWA WANANDOA KWA KILICHOTOKEA KWA ACHRAF HAKIMI NA MKEWE. Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mke wa ACHRAF HAKIMI ameshindwa kupewa mali yoyote baada ya ndoa yao kuvunjika kwasababu Hakimi aliziandika mali zote jina la mama yake mzazi. Je jambo hili linawezekana kwa Sheria za...
  15. Humilis

    JamiiForums Tanzania Kutoka NACTE: Maombi ya Uhamisho kwa wanafunzi wanaoendelea

    Tafadhali soma kwa umakini taarifa na mahitaji muhimu ya kuhama kabla hujaanza kufanya maombi ya uhamisho. Tarehe ya mwisho ya kuomba uhamisho ni 30-04-2022. Masharti na Sifa kwa Waombaji, Taarifa kwa Waombaji: 1. Mwanafunzi anashauriwa kuhakiki na kufahamu taarifa za msingi za chuo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ninazuiwa kupata uhamisho kazini, nifanye nini?

    Habari walimu wenzangu, najua mpo. Mimi nilifuatilia uhamisho direct mwenyew Tamisemi kwa Katibu Mkuu kutokana na changamoto za maradhi. Nilitumia vyeti vya hospitali kumuomba Katibu Mkuu hatimaye akanipa kibali, sasa huku halmashauri kwangu Afisa Utumishi amegoma kunifungia data kuwa mpaka...
  17. Anganjwiri92

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ufafanuzi wa uhamisho kutoka Halmshauri kwenda Mamlaka ya Bandari

    Habari wana JF, Pasipo kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtumishi kwenye Halmshauri X, nimeajiriwa kama afisa mtendaji, ila kwa bahati mzuri nina diploma ya shipping and port operation management pale Bandari College sasa lengo langu...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuna Watu wanapendelewa katika Mabadiliko na Uhamisho yafanywayo na 'Boss Kubwa' kutokana na Ushkaji na Uchawa

    Tena nahisi kuna Wengine hupigiwa hadi Simu na Kuulizwa kwa Kubembelezwa kama si Kudekezwa huku Wengine kwa Kuwakomoa au Chuki Kwao wanapelekwa ( wanatumwa ) mbali. Hivi Kijana kama Niki wa Pili unamtoaje Kisarawe na kumpeleka Kibaha? Kwanini kwa Umri wake asipelekwe huko Wilaya ya Mpakani kwa...
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhamisho wa kuhama Sekta moja kwenda nyingine?

    Habari wakuu ningependa nieleweshwe taratibu kamili za kufuata ili uweze kuhama sekt moja kwenda nyingine. Mfano.sekta ya maji kwenda sekta ya madini.
  20. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Naweza kuomba uhamisho wa ndani ya Halmshauri bila ya kuthibitishwa kazini?

    Habari ya muda huu wadau na Heri ya Mwaka Mpya 2023 Samahani nauliza ivi Mtumishi wa Umma unaweza kuomba uhamisho wa ndani mfano toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine na huku bado haujathibitishwa kazini ndani ya Halmshauri iyo iyo unayofanyia kazi?
Back
Top Bottom