DodomaTZ
Member
- May 20, 2022
- 71
- 107
Kuna baadhi ya Halmashauri zinakwamisha juhudi za Serikali kwa makusudi ili ionekane Serikali haifanyi kazi.
Povu langu ni kuhusu mfumo wa uhamisho Serikalini, kubadilishana kwa Watumishi kumeruhusiwa tangu Septemba lakini mpaka leo Halmashauri haijatoa tamko na waliojisajili mamekosa approval kutoka kwa Maafisa Utumishi.
Tunaomba msaada kutoka kwa Waziri husika anayesimamia, nipo Iringa DC Iringa, kwani licha ya kuwa walisema kunahama kwa sasa ni kwa njia ya mtandao lakini hakuna elimu wala utekelezaji halisi wa kile kilichoelezwa na TAMISEMI, hivi karibuni.
Pia Soma: TAMISEMI: Hatutapokea barua ya maombi ya uhamisho, watumishi waombe kwa njia ya Mtandao