DOKEZO Wakurugenzi na Wakuu wa Idara (sana sana DMO's na DEO's) wamekuwa kikwazo kwenye zoezi zima la uhamisho wa watumishi kwa mfumo mpya ESS

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Truth Bot AI

Senior Member
Jul 16, 2021
186
425
WAKURUGENZI NA WAKUU WA IDARA (SANA SANA DMO's na DEO's) WAMEKUWA KIKWAZO KWENYE ZOEZI ZIMA LA UHAMISHO WA WATUMISHI KWA KISINGIZIO CHA KUTOKUWA ORIENTED NA MFUMO MPYA WA HUDUMA YA UHAMISHO WA WATUMISHI ESS

Habari za Asubuhi wanajamvi,

Nimeleta habari hii baada ya kujiridhisha na kufanya Tafiti mbalimbali kugundua kama walichoniambia wadau hao ni kweli au lah na baada ya kugundua ukweli nimekuja na mada hii.

Itakumbukwa kwamba Rasmi Serikali kupitia wizara ya OR-Utumishi ilisitisha Katibu mkuu Tamisemi na KATIBU MKUU Utumishi kupokea maombi ya uhamisho Wa barua na kuanzisha mfumo wa uhamisho serkalini wenye Taarifa za mtumishi kupitia ess.utumishi.go.tz.

Kwa kuona kwamba uhamisho kwa njia ya zamani ilikuwa inapoteza Mudabwa mtumisho ,Haukusa rafiki kwa mtumishi na Kuongeza njia za ushawishi wa rushwa kwa Pande hizo mbili.

hivyo kwa maelekezo ya Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais–Utumishi aliyoyatoa kupitia barua yenye Kumb Na. FA.228/613/01/1 ya tarehe 11 Agosti, 2023. Kuhusu Mfumo huo.

TATIZO LILIPOANZA...

Baada ya barua hiyo Wakuu wa Idara na MaDED walikataa barua zote zilizokuja Kwao kuanzia Tarehe 01/09/2023 kwa kisingizio cha wamepewa maelekezo kuwa mtumishi aombe uhamisho kupitia Mfumo wa kiutumishi wa uhamisho.

Baadhi ya watumishi kwa kuwa wanajua Technolojia waliomba na matokeo yake waliporudi kwa maafiaa utumishi na waajiri na WAKUU wa idara zao ili waaprove kulitoa ombi kwa supervisor waliwajibu kwamba hawajui chochote kuhusu mfumo hivyo hawatafanya lolote.

Sasa Kama wamekataa paperwork na mfumo bado hawaufahamu.

Je, hii ni Njia mpya ya serikali kuzuia uhamisho kwa Watumishi?

Na kama sio serikali Imechukua jukumu Gani kuhakikisha mfumi unafanya kazi tena kwa Ufanisi na kwa muda?

Sehemu mpaka Sasa zinazolalamikiwa ambzo nimefanya Reseach huko Halmashauri ya wilaya ya Kongwa, Halmashauri ya wilaya ya kwimba, Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Halmashauri ya manispaa ya Ubungo, Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha.

Halmashauri ya wilaya ya Muheza, Halmashauri ya wilaya ya Handeni, Halmashauri ya wilaya ya Pangani, Halmashauri ya manispaa ya singida, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.

Halmashauri ya wilaya ya Buhigwe ,Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika.

hizi ni baadhi tu na ndo zenye malalamiko mengi ila yapo halmashauri za majiji na manispaa ambazo zima malalamiko machache.

SERIKALI KAMA MMEAMUA KUZUIA UHAMISHO KWA WATUMISHI MSILETE VISINGIZIO MAANA MAJIBU MENGI YA WAKURUGENZI NI KUWA TUNAFATA MAELEKEZO.

Sasa mtumishi afanye lipi mmemzuia Kufanya uhamisho wa barua na bado baadhi ya Waajiri wanazuia uhamisho wa Mtandao.
 
Madudu mengi ya kiutumishi kwa watumishi wa umma husababishwa na watumishi wa Halmashauri.

Kuna jamaa yangu anaitwa Moses,ananiambia kuwa baada ya kuingia kwenye mfumo eti akakuta jinsi yake wameweka KE,hapo ni baada ya kuwa tunajadili kuhusu malimbikizo ya mishahara.
 
WAKURUGENZI NA WAKUU WA IDARA (SANA SANA DMO's na DEO's) WAMEKUWA KIKWAZO KWENYE ZOEZI ZIMA LA UHAMISHO WA WATUMISHI KWA KISINGIZIO CHA KUTOKUWA ORIENTED NA MFUMO MPYA WA HUDUMA YA UHAMISHO WA WATUMISHI ESS

Habari za Asubuhi wanajamvi,

Nimeleta habari hii baada ya kujiridhisha na kufanya Tafiti mbalimbali kugundua kama walichoniambia wadau hao ni kweli au lah na baada ya kugundua ukweli nimekuja na mada hii.

Itakumbukwa kwamba Rasmi Serikali kupitia wizara ya OR-Utumishi ilisitisha Katibu mkuu Tamisemi na KATIBU MKUU Utumishi kupokea maombi ya uhamisho Wa barua na kuanzisha mfumo wa uhamisho serkalini wenye Taarifa za mtumishi kupitia ess.utumishi.go.tz.

Kwa kuona kwamba uhamisho kwa njia ya zamani ilikuwa inapoteza Mudabwa mtumisho ,Haukusa rafiki kwa mtumishi na Kuongeza njia za ushawishi wa rushwa kwa Pande hizo mbili.

hivyo kwa maelekezo ya Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais–Utumishi aliyoyatoa kupitia barua yenye Kumb Na. FA.228/613/01/1 ya tarehe 11 Agosti, 2023. Kuhusu Mfumo huo.

TATIZO LILIPOANZA...

Baada ya barua hiyo Wakuu wa Idara na MaDED walikataa barua zote zilizokuja Kwao kuanzia Tarehe 01/09/2023 kwa kisingizio cha wamepewa maelekezo kuwa mtumishi aombe uhamisho kupitia Mfumo wa kiutumishi wa uhamisho.

Baadhi ya watumishi kwa kuwa wanajua Technolojia waliomba na matokeo yake waliporudi kwa maafiaa utumishi na waajiri na WAKUU wa idara zao ili waaprove kulitoa ombi kwa supervisor waliwajibu kwamba hawajui chochote kuhusu mfumo hivyo hawatafanya lolote.

Sasa Kama wamekataa paperwork na mfumo bado hawaufahamu.

Je, hii ni Njia mpya ya serikali kuzuia uhamisho kwa Watumishi?

Na kama sio serikali Imechukua jukumu Gani kuhakikisha mfumi unafanya kazi tena kwa Ufanisi na kwa muda?

Sehemu mpaka Sasa zinazolalamikiwa ambzo nimefanya Reseach huko Halmashauri ya wilaya ya Kongwa, Halmashauri ya wilaya ya kwimba, Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Halmashauri ya manispaa ya Ubungo, Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha.

Halmashauri ya wilaya ya Muheza, Halmashauri ya wilaya ya Handeni, Halmashauri ya wilaya ya Pangani, Halmashauri ya manispaa ya singida, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.

Halmashauri ya wilaya ya Buhigwe ,Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika.

hizi ni baadhi tu na ndo zenye malalamiko mengi ila yapo halmashauri za majiji na manispaa ambazo zima malalamiko machache.

SERIKALI KAMA MMEAMUA KUZUIA UHAMISHO KWA WATUMISHI MSILETE VISINGIZIO MAANA MAJIBU MENGI YA WAKURUGENZI NI KUWA TUNAFATA MAELEKEZO.

Sasa mtumishi afanye lipi mmemzuia Kufanya uhamisho wa barua na bado baadhi ya Waajiri wanazuia uhamisho wa Mtandao.
Mkuu pitia na hapa uone
 
Nimeufatilia Kwa ukaribu sana huu mfumo, niseme tu Bado una mapungufu mengi.
1. Usajiri: kabla ya yote unataka kujisajiri, ambapo unaweka taarifa ambazo ni ChekNo, NiDA pamoja na email(Taarifa hizi ni zile ambazo zipo katika mfumo wa taarifa za mtunishi hasa email, HCMIS)
Changamoto: baadhi wanashindwa, wanapata meseji kwamba "taarfa hazifanani na zilizo ktk mfumo wa HCMIS"
AU " check Number na NiDA tayari zimetumika"

2. Login: napo Kuna changamoto mbalimbali, baadhi wamekutana na tatzo la kukataa password ambazo wametumiwa mara tu walipojiunga na mfumo.
3. Uhamisho module: Kwa maelezo na taratibu za kiutumishi ni kukaa kituoni Kwa muda si chini ya miaka mitatu, wengi walioajiriwa mwaka 2020 kabla ya mwezi wa 10 mfumo unawagomea kwamba wapo chini ya miaka mitatu kitu ambacho si sahihi.
4. Uendeshaji: Baadhi ya successer wa huu mfumo hawana uelewa kabisa, mfano Kwa upande wa uhamisho wa mwalimu utaratibu ni kwamba baada ya mwalimu kutuma maombi, mwalimu au mkuu wa shule anatakiwa aingie kwenye mfumo na apitishe Ili DEO/DSEO aweze kuona haya maombi, lakini Kwa bahati mbaya Hawa wakuu hawafahamu tu kinachoendelea.

....
.......
Itaendelea
 
Kwakweli hii ni njia mpya ya serikali kuzuai uhamisho kwawatumishi. Mana hata kwenye ku approve huwezi jua wamecomment kitu gani,wewe kazi yako ni kusikiliza majibu yu
 
Nimeufatilia Kwa ukaribu sana huu mfumo, niseme tu Bado una mapungufu mengi.
1. Usajiri: kabla ya yote unataka kujisajiri, ambapo unaweka taarifa ambazo ni ChekNo, NiDA pamoja na email(Taarifa hizi ni zile ambazo zipo katika mfumo wa taarifa za mtunishi hasa email, HCMIS)
Changamoto: baadhi wanashindwa, wanapata meseji kwamba "taarfa hazifanani na zilizo ktk mfumo wa HCMIS"
AU " check Number na NiDA tayari zimetumika"

2. Login: napo Kuna changamoto mbalimbali, baadhi wamekutana na tatzo la kukataa password ambazo wametumiwa mara tu walipojiunga na mfumo.
3. Uhamisho module: Kwa maelezo na taratibu za kiutumishi ni kukaa kituoni Kwa muda si chini ya miaka mitatu, wengi walioajiriwa mwaka 2020 kabla ya mwezi wa 10 mfumo unawagomea kwamba wapo chini ya miaka mitatu kitu ambacho si sahihi.
4. Uendeshaji: Baadhi ya successer wa huu mfumo hawana uelewa kabisa, mfano Kwa upande wa uhamisho wa mwalimu utaratibu ni kwamba baada ya mwalimu kutuma maombi, mwalimu au mkuu wa shule anatakiwa aingie kwenye mfumo na apitishe Ili DEO/DSEO aweze kuona haya maombi, lakini Kwa bahati mbaya Hawa wakuu hawafahamu tu kinachoendelea.

....
.......
Itaendelea
Mkuu Mimi sio Afisa utumishi wala sio DED ila ntakujibu kwa kiherehere Changu...
1.Watumishi wote walitakiwa kuhakiki Taarifa zao ofisi ya utumishi na Aslimia 80% walihakikiwa na NIDa ziliwekwa ila ukiona kuna shida kwenye kujiunga mwone Afisa utumishi wako atakuelekeza

2.Kuingia Ukiona password inagoma check na utumishi wao ndo wana amri ya kukupa access na kukunyang'anya

3.Uhamisho module unafata Sheria mpya na kanuni mpya za uhamisho( Si unajua ni compyuta generated ) hivyo inapokea maombi ya watu waliokaa Kwwnye mkoa au halmashauri husika kwa muda usiopungua Miaka 5
Na sio mitatu kwa kanuni za zamani..

4.uendeshaji wa successor naungana na wewe kabisa pamoja na mtoa Mada kwamba bado mfumo huu una tatzo kwenye wanaotakiwa kuapprove request bado wengi hawana elimu ama wanataka wpewe elimu kwa njia ya kijanja na ndo maana wameweka mgomo japo inawezekana wanajua na wanajua jinsi ya kutumia ila tu wanaweka mgomo ili waende semina
 
Mfumo haujakaa sawa
 
Ni namna ya kuzuia,mana makaratasi wamekataa,mfumo nao haufanyi kazi. Yani ni majanga.
Nimejaribu kwenda kuhakikisha huyu jamaa alichosema Nikaenda kuwajaribu ni kweli bhna wanasema wao hawajui Mfumo na hawajafundishwa wanauona kama mimi ninavyouona 😅😅😅

Bhasi nikawajaribu nina barua yangu wakanisomea waraka eti barua hazipokelewi...
Akili ikaona hapa sio Bure kuna ka namna 🤣🤣🤣
 
Nimejaribu kwenda kuhakikisha huyu jamaa alichosema Nikaenda kuwajaribu ni kweli bhna wanasema wao hawajui Mfumo na hawajafundishwa wanauona kama mimi ninavyouona

Bhasi nikawajaribu nina barua yangu wakanisomea waraka eti barua hazipokelewi...
Akili ikaona hapa sio Bure kuna ka namna

Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom