uhamisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania Viongoiz jifunzeni kufuata utawala wa sheria! Mkuu wa mkoa manyara huna mamlaka ya kuzuia Uhamisho wa Watumishi wa Umma

    Nchi hii ifike mahali tuwe na chombo kinacho wasimamia hawa viongozi maana nikama wakisha kuwa na madaraka ya juu basi wapo overall, Haya ya kuendelea kuwaacha waongoze kwa utashi wao na sio kuzongatia sheria kuna siku yatatokea ya Dr. Kleruu na mwamwindi Mkuu wa mkoa kwa utashi wake anasimama...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kuhusu uhamisho wa kumfuata mwenza wa ndoa kwenye kituo cha kazi

    Salaam wakuu... Pamoja na pongezi zilizotolewa kwa serikali juu ya uamuzi wa kuwasaidia wanandoa waliopo mbali kuishi pamoja, Nina ushauri kutokana na baadhi ya waajiri kutokuwa waaminifu kwa waliopo chini Yao. Ili mtumishi ajue taarifa zake zimefika wizarani ni vema kwenye mfumo wa ESS kukawa...
  3. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hili Tangazo la utumishi kuhusu uhamisho ni la kibaguzi

    Nasikitika Sana kuona "maelekezo" ya Tangazo hilo kuhusu Watumishi kuhama kuwafuata wenzi wao likiwabagua Wenza ambao sio waajiriwa WA sekta binafsi au waajiriwa wa Serikali. Eti ili uweze kuhamishiwa kwa mwenzi wako LAZIMA wote muwe Serikalini, sasa Mimi ambaye sio mwajiriwa ila mwenzi wangu...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilio cha askari kadhaa wa Jeshi la Polisi waliohamishwa hivi karibuni bila kupewa fedha ya uhamisho

    Dear Mama Samia, Pole na majukumu ya kulitumikia taifa letu. Kwa heshima na taadhima, naomba kukufikishia kilio cha askari kadhaa wa Jeshi la Polisi ambao wamehamishwa hivi karibuni lakini bila kupewa senti tano ya uhamisho. Kwa upande mmoja, uhamisho huo wa ghafla na usio na posho za uhamisho...
  5. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi kwa njia ya Mfumo tunaomba u-refrect teknolojia mpya, kwa maana ya Kasi na uharaka zaidi

    Nitumie fursa hii kuishukru serikali yetu kwa huu mfumo wa ESS kwakweli nasema kutoka moyoni mwangu. God bless this 6th regime
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri.

    Wakuu..Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri. Hii ni changamoto kwa utumishi...
  7. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Bila rushwa wala konenisheni sahau kuhusu uhamisho mfumo ni kiini macho

    Suala la uhamisho kwa watumishi wa umma limekua kero kubwa hasa baada ya ujio wa mfumo wa ess,ambapo sasa maombi yote ya uhamisho hufanyika katika mfumo huu. Tangu kuanza kwake hadi sasa kumekua na malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wanaaomba uhamisho kupitia mfumo,ambapo pamoja na...
  8. Mr SGR

    JamiiForums Tanzania Ninataka kuhamia shirika moja la uhifadhi, nifanye nini?

    Wandugu hapa jamvini nadhani mnaendelea kutafuta ugali wenu wa kila siku. Ninataka kuhamia shirika moja la uhifadhi nchini nimefuatilia nafasi nimeambiwa ipo kumcheki HR kakaza anasema hamna. Naombeni mwenye idea ya nini cha kufanya kama ni kupitia utumishi au idea nyingineyo nakaribisha maoni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu humu ndani alishafanikiwa kupata uhamisho kupitia ESS. Je utumishi huchukua muda gani kuapprove?

    Msaada jamani. Sasa hivi kila kitu ni kupitia Esss. Mimi niliomba uhamisho. Na maombi yapo utumishi yanasubiri approl. Je huwa yanachukua muda gani? Mimi Mwl muuza Kangala
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wa serikali wanatumia njia za mkato kufanikisha uhamisho? Hili ni jibu langu binafsi

    Nawasalimu wote. Naibu karibu mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia elimu amekemea vikali tabia ya baadhi ya watumishi kuhama kwa kutumia njia zisizo rasimi huku akihusisha jambo hilo na pesa. Ameenda mbali zaidi kwa kueleza kuwa Kuna maafisa Wana barua za uteuzi ambazo hazitoki kwa katibu mkuu...
  11. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Swala la kumpeleka Musonda Mazembe watupe Baleke, tutaumia

    Wakuu Nimeskia sana tetesi kuwa kutakuwa na swap deal kati ya Yanga na Mazembe Means Musonda kwenda Congo na Baleke aje Yanga. Huu usajiri kwa kweli tunaenda kupigwa kama kweli, pakubwa sana. Why? Mpaka Mazembe wanakuja kwako kumtaka mchezaji ujue huyo ni a good player! Halafu pia hawa ni...
  12. Dimah _Denis

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuchukua uhamisho wa mtoto wa Kidato cha Tano?

    Wakuu nilikuwa naomba kusaidiwa kwa wale wenye uzoefu. Wote tunafahamu kuwa selection za kidato Cha tano zimetoka; ila nilikuwa nataka kuichukua uhamisho kwa mwanangu. Kila nikimpigia Mkuu wa Shule nyingine anasema mpaka waripoti ndo wajue utaratibu. Shule ina HKL ila yeye anataka yeyote...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kila anayefanya vibaya serikalini uhamishwa na kulipwa gharama za Uhamisho zisizopungua milioni kumi kwa mtumishi mwandamizi na 25M kwa wakuu wa Idara

    Only in Tanzania ndipo kufanya kazi kituoni muda mrefu ni kigezo cha kushuka ufanisi. Tanzania Uhamisho wa watendaji ni maamuzi ya kila mtu. Hakuna sera inayoongoza taratibu za uhamisho. Leo kwa kauli za wakuu wetu mganga mbobezi anaweza kuhamishwa kituo kisa amekaa muda mrefu; wakuu wa Idara...
  14. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Walimu wauza Rasilimali zao kupata pesa za uhamisho

    Walimu zaidi ya 50 kutoka Katika shule za msingi zipatazo 46 katika Tarafa mbalimbali Wilayani Rombo, Mkoani Kilimanjaro wamelazimika kuuza Rasilimali zao kama vile mbuzi, kuku na baadhi ya vitu vya ndani na wengine kuingia kwenye mikopo ili kuweza kupata pesa kwa ajili ya kujihamisha wao...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwenye mfumo wa EES kwa watumishi wa umma

    Wadau nimeshafanya uhamisho huu online, status inasoma ALLOWED, kwa waliowahi kufanya uhamisho huu nini kinafuatia baada ya hapo natanguliza shukrani.
  16. CHANGER

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa njia ya mfumo wa ESS

    Habari Wadau, Mwenye uelewa juu ya kuomba maombi ya Moja kwa Moja kwenye mfumo naomba ufafanuzi. kati ya vacancy request na transfer request kipi kinatangulia? Je kutokujaza vacancy request inaweza ikapelekea maombi yako kukataliwa au kuandikiwa "vacancy not badgeted"?
  17. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wa Umma na Utawala hawasemi tatizo linalozuia vibali vya Uhamisho vya baadhi ya watumishi hata kama mwajili amesharidhia?

    Wizara hii imekuwa ni kero kubwa sana kwa Watumishi wa Umma hasa wanaofatilia vibali vyao vya uhamisho wakiwemo wale wa kutoka Taasisi mbalimbali kwenda TRA, imekua ni kasumba ya wahudumu wa ofisi ile kujibu mbovu watumishi hawa hasa wanapofika wizarani. Mfano mtu anatokea Geita, Katavi au...
  18. Mr Mjs

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani kwa Watumishi kuomba uhamisho kutumia mfumo ikiwa...

    Utumishi kupitia Tamisemi walianzisha mfumo rasmi kwa watumishi kuweza kuomba uhamisho kupitia online (ESS), lengo likiwa ni kuzuia urasimu unaofanywa na baadhi ya watendaji wasio waadilifu. Japo ni jambo jema lakini kwa sasa ni kama changamoto imekuwa kubwa kuliko awali kwa wale wanaoomba...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Tueleweshane kuhusu uhamisho ESS

    Naomba tujuzane kuhusu UHAMISHO status ina soma kama ambavyo mishale inavyoonyesha ni miezi saba sasa mwenye ufafanuzi juu ya hili. Vipi pia kuhusu wewe uliyeomba transfer status yako ikoje kwenye mfumo huu, au kama kuna mtu amefanikiwa kuhama kupitia mfumo atupe uzoefu kidogo juu ya status hizi.
  20. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)

    Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo. Pamoja na masuala...
Back
Top Bottom