uhamiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Jeshi la Uhamiaji na Polisi Magereza zinatoka lini?

    Jamni wadau mwenye fununu au anae jua nafasi za JESHI la uhamiaji na POLISI MAGEREZA ZINATOKA lini tunaomba atujuze ili tujiandae jamani
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Daniel Sillo: Uhamiaji ongezeni kasi ili watu wapate Vitambulisho vya NIDA

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo amezitaka Idara mbili zilizopo chini ya Wizara yake ambazo ni Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kagera kushirikiana ili kuboresha utendaji kazi. Kauli hiyo ameitoa Wilayani Muleba Mkoani Kagera...
  3. Mona_tz

    JamiiForums Tanzania Msaada: Huwa inachukua muda gani kupata passport baada ya kukamilisha taratibu zote za maombi?

    Naomba msaada. Mimi niliomba passport ya kusafiria trh 30/03/2023 pale ofisi kuu ya Uhamiaji Kurasini. Nilimaliza taratibu zote za malipo, kupiga picha, Fingerprint na yule ofisa wa Uhamiaji akanambia niende kuchukua passport yangu trh 13/04/2023 cha ajabu nimeenda nimeambiwa tena bado haijatoka...
  4. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania MAREKEBISHO YA SHERIA: Sheria za Uhamiaji na Ardhi Zimefanyiwa Marekebisho. Je, Marekebisho Haya Yanatuletea Maendeleo au Hatari?

    Mnamo tarehe 26 Juni 2024, Mwanasheria Mkuu aliwasilisha mswada wa Sheria ya Marekebisho Mbalimbali Na. 2 ya 2024, ambao umefanya marekebisho kadhaa ya sheria, lakini kinachovutia zaidi kwa Diaspora ni marekebisho ya Sheria ya Uhamiaji na Sheria ya Ardhi. Marekebisho haya mawili yameanzisha na...
  5. KIDUDU

    JamiiForums Tanzania Tra na uhamiaji mulikeni kampuni ya digital mobile africa tanzania

    Ndugu zangu TRA, Kuna kampuni inaitwa DMA ipo dodoma na makao makuu yapo Dar es salaam. Hawa kwanza ni matapeli kutoka Zimbabwe, wametufanyisha kazi na hawajatulipa toka mwezi wa tatu na mikataba yetu ilimalizika tangu mwezi wa tano. Tupo wat zaidi ya 300 kwenye mikoa ya Dodoma, Manyara na...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yaitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea Misako na Doria kubaini Wahamiaji wanaoshindwa kufuata Sheria za Nchi

    Serikali imeitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuimarisha Misako na Doria za kuwabaini Wahamiaji wanaoshindwa kufuata sheria za nchi pamoja na uhalifu unaovuka mipaka. Hayo yamesemwa Julai 5, 2024 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo wakati akizungumza katika Ufunguzi wa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wailaya ya Maswa na Afisa Uhamiaji Wilaya ya Maswa acheni kunyanyasa raia i.e:WAHA

    Habarini, Leo tena Afisa Uhamiaji kaendeleza unyanyasaji wake kwa maelekezo ya DC wa Maswa kwa kutuma askari wa uhamiaji kwenda kumkamata raia mkazi wa Malampaka Wilaya ya Maswa kwa kile anachodai siyo raia wa Tanzania ingawa chanzo chake ni kuwepo mgogoro wa ardhi baina ya Baraka Kabezi na...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Maswa aamlisha Uhamiaji wamkamate Mwananchi aliyepewa eneo lake la Mkuu wa Mkoa

    Habari, Muda mfupi uliopita DC MASWA amewaagiza askari wa uhamiaji kumkamata Baraka Kabezi na familia yake yote mkazi wa Marampaka Maswa kuwa siyo raia wa Tanzania na hivi sasa anashikiliwa na ofisi za uhamiaji Maswa. Chanzo ni mgogoro wa ardhi baina ya Baraka na Diwani wa eneo hilo na DC wa...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna P. Makakala kuna wahamiaji haramu kutoka China kwenye Wilaya ya Chunya, Kata ya Matundasi, Kijiji cha Itumbi

    Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania ondoka ofisini, na fanya ziara za kiwilaya na kimikoa, nenda katembelee wilaya ya Chunya, Kata ya Matundasi, Kijiji cha Itumbi, kuna wahamiaji haramu kutokea nchini China. Ukifika hutauliza utajionea mwenyewe. Watu kutokea nchi hiyo ni wengi kupitiliza...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Maafisa Uhamiaji kutoka Chuo cha Uhamiaji huwa wanasoma kozi gani?

    Naomba kujua tafadhari hawa Maafisa Uhamiaji huwa wanasoma course gani? Vyuo pia ni vipi? Pamoja na vigezo vyao.🙏🏻🙏🏻🙏🏻
  11. PANTHERA LEO

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Wilaya ya Mwanga bila rushwa hutoboi

    Habari Wanajamvi. Natumaini mko poa. Naomba serekali iweze kuangalia upya hawa watumishi WA UHAMIAJI pale wilaya ya mwanga kabla hawajaathiri watu wengi. Baada ya kuzungushwa mda mrefu katika mchakato wa kupata KITAMBULISHO CHA NIDA, Siku ya tarehe 18 niliweza kuelekezwa kwenda ofisi za...
  12. Inside10

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji: Dereva na V8 Iliyobeba wahamiaji Haramu 20 wa Ethiopia Isihusishwe na CCM

    Baada ya Dereva Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma kukamatwa akiwa amebeba Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia katika gari aina ya Land Cruiser V8 likiwa na bendera ya Chama cha Mapinduzi CCM katika eneo la Minjingu mkononi Manyara, Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji Mkoani Manyara Philon...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO RITA (Vizazi na Vifo) na Ofisi za Uhamiaji - Tanga, simamieni taratibu na sheria muache kuomba rushwa. Mnaharibu na kudalilisha Taasisi

    Nawasalimu kwa jina la JMT! Ni imani yangu ujumbe huu utafika kwa wote, na kadhalika utawafikia Walengwa na mara Moja wataacha Tamaa na tabia zisizoridhisha.. Kwanza niwasifu baadhi ya Maafisa wa Serikali wanaofanya kazi kwa weledi sana, na kujituma na kuifanya sehemu ya kazi kuwa kama ni...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania UHAMIAJI NA MAGEREZA

    Wakuu kwema kuna Watu walifanya usahili uhamiaji na magereza washaripoti? Kama unafahamu chochote NAITAJI majibu
  15. Sijali

    JamiiForums Tanzania Kama tumeshindwa si aibu

    Leo hii watu wengi washangazwa na namna nchi za Ghuba ya Uajemi, kama Emirati, Kuweit, Oman na Qatar zilivyopiga hatua kubwa, ambapo miaka ya sitini hadi sabini nchi hizi zilikuwa nyuma na maskini hata kuliko Tanzania. Ujanja walioufanya ni kuwa: kwanza walitambua na kukubali kuwa wao wako...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa aina ya maswali wanayouliza usaili wa Uhamiaji

    Wakuu wadogo zenu tumeitwa usahili wa uhamiaji tunaomba mwongozo muliowai kupita au mupo kweny taasisi ya uhamiaji
  17. T

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wafanyabiashara huichangia CCM kwa kuogopa wasiletewe TRA, TAKUKURU, uhamiaji ama Polisi

    Makonda amekiri kwamba matajiri wengi huchangia chama cha mapinduzi kwa uoga ila sio kwamba wanakipenda chama ili wasiletewe TRA, TAKUKURU, Uhamiaji ama Polisi. Msikilize mwenyewe. --- Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amesema...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kupita kwenye idara ya Uhamiaji na Magereza tunaomba uzoefu wenu

    Wakuu wadogo zenu tupo kwenye usaili idara za usalama kipindi hichi. Tunaomba muongozo muliwahi kupita au mpo kwenye idara hizi, tunafahamu kuna undugu kwenye taasisi za usalama lakini hatuchoki kuomba msitukatishe tamaa.
  19. I

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Wakuu habari, naomba kuuliza je usaili wa kujiunga jeshi la magereza na uhamiaji 2024 tayari au kuna ambayo wameshaanza kuitwa?
  20. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Wazanzibar kumiliki ardhi Matombo Morogoro linatisha

    Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar. Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamiliki ardhi. Tangu lini raia wa kigeni...
Back
Top Bottom