UHAMIAJI NA MAGEREZA

QIT

Member
Mar 7, 2024
67
115
Wakuu kwema kuna Watu walifanya usahili uhamiaji na magereza washaripoti?
Kama unafahamu chochote NAITAJI majibu
 
UNAHITAJI majibu mbona kama unatufokea!!njia waliyotumia kukuita kwenye Interview naamini ni hiyohiyo watakayotumia kuwaita waliofaulu,punguzeni mchecheto vijana
Mwanauvinza ugumvi Mzee duu swali TU kujua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom