uhamiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji Kakonko yatoa Elimu ya Uzalendo kwa Wanafunzi wa Jeshi la Akiba

    ‎ ‎Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Kakonko mapema wiki hii imeendesha mafunzo ya ki-uhamiaji kwa wanafunzi wa Jeshi la Akiba katika Kata ya Kasanda iliyopo Wilaya ya Kakonko Mkoa wa Kigoma kupitia kampeni ya "Mjue Jirani Yako". ‎ ‎Mafunzo haya yalilenga kuwajengea wanafunzi uelewa juu ya majukumu...
  2. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Leonard Magere (CHADEMA) adaiwa kuzuiwa na mamlaka ya Uhamiaji kusafiri Uingereza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia ukurasa wake wa X (Twitter) Julai 12, 2025 kimeandika “Tunapenda kuutaarifu umma kuwa leo tarehe 12 Julai 2025 Bw. Leonard Joseph Magere, Mtaalamu wa Rasilimali, Miradi na Uwekezaji, amezuiwa na mamlaka ya uahamiaji kusafiri kuelekea nchini...
  3. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Wazungu Wanaogopa Ongezeko la Waafrika – Je, Wana Sababu?

    Nimeangalia documentary moja nzito YouTube, ambayo inazungumzia hofu inayoongezeka Ulaya kuhusu ongezeko la watu kutoka Afrika, hususan kusini mwa Jangwa la Sahara. Mwandishi mmoja mwenye IQ ya 160 anadai kuwa: “Civilisation is a product of the genetic and cultural makeup of its founding...
  4. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Polisi, Uhamiaji na Wanausalama wengine Tizameni hili kwa jicho la Tai

    Mimi ni mtoa huduma kwa wakimbizi kutoka katika shirika la madakatari wasio na mipaka la MSF. Mara nyingi nimeshuhudia wakimbizi wasio na vibali vya kutoka nje ya kambi wakisafiri kutoka kambi la Nduta kwenda Kasulu na baadaye Kigoma manispaa. Njiani Kuna vituo vya ukaguzi lakini wakati...
  5. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Maandamano dhidi ya uhamiaji haramu huko Afrika Kusini!

    Kumbe hata Afrika wapo watu wenye mitazamo ya ki-MAGA, kama ile ya Rais Donald Trump 🤣. Huyo mdada ukimsikiliza hoja zake dhidi ya huo uhamiaji haramu, unaweza kudhani naye ni MAGA, lakini kumbe wapi! Yeye ni Mwafrika Kusini aliyechoshwa na uhamiaji haramu nchini humo. Halafu kuna hii hoja ya...
  6. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna haja jeshi la uhamiaji kufanyiwa reform wasikae kukagua mabasi barabarani tu waende Hadi vijijini na mtaani

    Habari wanaJF, Kuna haja ya kufanya mabadiliko katika jeshi la uhamiaji, Mara nyingi nmekua naona wanafanya ukaguzi kwenye mabasi tu kama Kuna raia wa kigeni lakini usiku huwa hawakagui. Kuna mapori Fulani hasa mikoa ya mpakani kwenye machimbo wageni wengi mno kutoka nchi jirani, Cha ajabu...
  7. 888I

    JamiiForums Tanzania KERO Uhamiaji badilikeni, kuweni na huduma nzuri

    Baadhi ya ofisi za uhamiaji Zina baadhi ya Watumishi wa ajabu mno ni kama hawapo kwaajili ya kuhudumia umma. Ofisi ya Uhamiaji mkoa wa Arusha nimewavulia kofia ,Wanabaadhi ya Watumishi naweza sema wa hovyo mno mtu anaongea na mteja kama tunagombana ? Mteja amekuja anahitaji hati ya kusafiria...
  8. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Vijana 331 wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya Idara ya Uhamiaji

    Idara ya Uhamiaji Tanzania imetangaza majina ya vijana 331 waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya idara hiyo kuanzia Machi 1, 2025. Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo hayo limetolewa leo Alhamisi Februari 6, 2025 na Kamishna Jenerali wa idara hiyo. “Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia...
  9. technically

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Uhamiaji irudishwe wizara ya ulinzi

    Nashauri Uhamiaji irudishwe Wizara ya ulinzi wafanye kazi na JWTZ. Katika nyakati hizi ambazo Wizara ya Mambo ya ndani ni very corrupt nashauri Uhamiaji uwe chini ya TPDF. Maana JWTZ wanahusika na Mambo ya ulinzi wa mipaka ya nchi hivyo nashauri wawe ndio wakaguzi wa uraia wa watu wote...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Uhamiaji Tanzania Bado Lina Hoja ya Kujibu Kuhusu Suala la Kuwapa Uraia Hao Wachezaji wa Kigeni

    1. Baada ya kuibuka kwa sakata la Kuwapa Uraia kiholela Wachezaji mpira wa Kigeni waliosajiliwa na timu ya Soka ya Singida United, Idara ya Uhamiaji walitoa taarifa yao ambayo wanadai kuwa inalenga kutoa ufafanuzi kuhusiana na suala hili. Taarifa husika imeambatishwa hapa kwenye uzi huu. 2...
  11. DexterLab

    JamiiForums Tanzania Tuliokosa ajira UHAMIAJI 2025 tukutane.

    Salamu, ndugu jobless wenzangu, hivi sisi tusiokuwa na koneksheni tufanye Nini tutoboe? Maana Kila post ya ajira za vyombo vya dola tunalishwa maneno kwamba "Bila mbanga huko juu hutoboi, nenda kaokote maembe TU bablai" So, tunatokaje hapo? Nawasilisha. Uzi tayari.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa aitaka Idara ya Uhamiaji kuondoa urasimu wa kuwazungusha Wananchi kupata Vitambulisho vya Taifa (NIDA)

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameiagiza Idara ya Uhamiaji kuboresha ushirikiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kuondoa urasimu wa kuwazungusha Wananchi wakati wanapokuwa katika mchakato wa kutafuta Kitambulisho cha Taifa. Bashungwa ameelekeza hayo leo...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nakuomba lifumue jeshi la Uhamiaji na taasisi zake

    Tumekuwa tukilaumu jeshi la police Kwa kukosa weledi na rushwa Sasa kwa uozo ulio jeshi la Uhamiaji ni ndo mkubwa zaidi, Kuna uzembe na rushwa sana 1. Kuhusu wachezaji wanne wa Singida Black Star kupewa uraia bila vigezo na kinyume cha Sheria Uhamiaji mnafanya hivi Kwa faida ya nani? Hamjui...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Maofisa uhamiaji Marekani sasa wapewa mamlaka kukamata wahamiaji haramu na wahalifu watakaojificha au kukimbilia makanisani, mashuleni na hospitalini

    Wadau hamjamboni nyote? Wahamiaji haramu hawana kinga tena wakijificha maeneo hayo kama ilivyokuwa zamani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Guardian staff and agencies Wed 22 Jan 2025 00.51 GMT Share US immigration authorities will be able to arrest migrants at schools, churches and...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aapishwa kuwa mwenyekiti wa tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameapishwa na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dodoma, Edwin Kakolaki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Idara ya Uhamiaji, leo tarehe 21 Januari 2025 katika Mahakama Kuu ya...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Aitaka Idara ya Uhamiaji Kutoa Huduma Nzuri kwa Wageni, Kuchochea Utalii

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuwa mstari wa mbele kuchochea na kukuza utalii nchini kwa kutoa huduma bora na nzuri kwa wageni wanaokuja nchini kwa shughuli mbalimbali. Ameeleza hayo Januari 10, 2025 Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wametoa majina watakaofanya usaili

    Angalia email yako uhamiaji washatuma mapema sana wakuu, interview trh 13
  18. N

    JamiiForums Tanzania Ninawezaje kuitolea mashitaka idara ya uhamiaji kwa kusababisha kupoteza ufadhiri wangu?

    Mwaka 2022 nilipata full scholarship lakini nasikitika nilinyimwa passport uhamiaji bila sababu za msingi na kusababisha scholarship kuisha mda wake. Hali hii unanitesa sana imeniathiri.je nihatua zipi nifanye niwashitaki?
  19. G

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kufanya maombi ya ajira katika Jeshi la Uhamiaji

    Hello Wana JF Nashida katika uombaji ajira hizi za Uhamiaji, nimesha fanikiwa atua ya awali ya kujisajiri Sasa changamoto inakuja pale ninapo taka kuendelea kuja taarifa zangu zingine hainiletei muongozo unao fuata, mwenye ufahamu zaidi naomba Msaada.
  20. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania Kikomo cha umri kuomba ajira za majeshi kama uhamiaji kiongezwe

    Naandika nikiwa na majonzi mengi sana mimi ni kijana wa miaka 27 jobless ambae napambana na natamani kubadili maisha yangu ila hivi vigezo vya ajira kwa kigezo cha umri vinatukosesha sana ajira sisi wagonga ulimbo ni kwa mara nyingine tena mfumo wa wa ajira portal uhamiaji umenitema kisa umri wangu.
Back
Top Bottom