uhamiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fazzah5x

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kuomba ajira uhamiaji una tatizo gani?

    aiseeee Kila mtu mtaani kwangu huku anayehangaika kutuma maombi kwenye mfumo wa uhamiaji naona anakwama ku regester wanaandika IVALID REGSTRATION" what the hell is this???
  2. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliyefanikiwa kuedit kipengele A (personal information) kwenye mfumo wa maombi ya ajira uhamiaji?

    Nimekwama hapa Naomba msaada kwa anaefahamu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania wakuu mnisaidie hapa kuhusu uombaji wa ajira ya jeshi la uhamiaji

    nimeona hili tangazo la ajira za jeshi la uhamiaji, naombeni kujua kwamba, kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti toka vyuoni wanaombaje hizi nafas? maana nimeona vyeti vihakikiwe, inakuwaje kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti?. mwenye anaweza kunijibu/kutoa mwongozo kuhusu hili...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane update kuhusu ajira za uhamiaji zilizotangzwa hivi karibuni

    Wakubwa habarii za wakati huuu! Huu ni Uzi maalumu juu ya ajira zilizo tangazwa na idara ya uhamiaji hivi karibuni. Binafsi nafanya application lakini sijafanikiwa kufika mwisho, nikisha log in tu sion maelekezo mengne yanayofatia. Je Kuna miongoni mwetu/ ndugu/ mtu wake wa karibu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wenye Diploma na wenye umri Kati ya 26-30 UHAMIAJI wapeni ruhusa na wao waombe nafasi Kigezo kiwe mwisho 30 Tafadhari

    Wenye Diploma na wenye umri Kati ya 26-30 UHAMIAJI wapeni ruhusa na wao waombe nafasi Kigezo kiwe mwisho 30 Tafadhari .. Wenye mamlaka tafadhari tunaomba mliangalie hili . Siku ya tarehe 29 November 2024 KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI,MAKAO MAKUU YA UHAMIAJI - DODOMA. Alipitisha / kuruhusu...
  6. Shivo32

    JamiiForums Tanzania Account yangu ya uhamiaji portal umekuwa locked msahada

    Msaada wakuu account yangu baada ya kujisajili Jana nkatakiwa kulogin ,,wakati wa kulogin password nliyoweka akat na sajili iligoma nkajua labda ni mtandao kujalbu mara kadhaa naambiwa account locked. Nimejarbu kuwa tumia ujumbe kweny email yao lakn kimya toka Jana xaa Saba mchana pia simu zao...
  7. DexterLab

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji ajira 2024, msaada tutani

    Salamu, wakubwa hivi mtu ukifika hatua hii hapa kwenye kiambatanisho nilicho attach Kuna hatua Gani nyingine natakiwa kufuata?
  8. DexterLab

    JamiiForums Tanzania Askari uhamiaji analipia nauli public bus?

    Kama kichwa kilivyojieleza wakuu aya tiririkeni hapo mmoja baada ya mwingine. Nasoma replies.
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya uhamiaji watangaza nafasi mpya za kazi, November 2024

    Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo: 1. SIFA ZA MWOMBAJI Awe ni raia wa Tanzania; Awe hana ajira...
  10. Shaas

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji hao washatema nyongo vijana changamkeni

    Haya vijana achanenini na bakabaka ilo lishaenda pambaneni na uhamiaji sasa hawa hapa tembelea tovuti yao
  11. imhotep

    JamiiForums Tanzania Canada yapiga marufuku uhamiaji holela

    Waziri Mkuu wa Canada Justin Tradeu ameyasema hayo leo kwenye Mtandao wa X.Wananchi wengi wa Canada wamempongeza kwa hatua hiyo. Wachunguzi wengine wa mambo wanasema ni Pressure za Raisi mteule wa Marekani Donald Trump. Source: X Waziri Mkuu wa Canada Justin Tradeu Soma pia👇 Video: Kuna...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji marekani ndo basi tena?

    Wale wenzangu na Mimi wa kutafuta green card ndo bas tena baada ya Trump kushinda
  13. L

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji marekani ndo basi tena?

    Baada ya trump kuingia madarakani wale wenzangu na Mimi wa green ndo basi tena
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji yasema haijazuia kutoa Visa kwa Wageni

    YAH: UTOAJI WA HUDUMA YA VISA ON ARRIVAL KUINGIA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kuwajulisha wageni na wadau wote kuwa haijasitisha utoaji wa Visa kwa wageni kwenye vituo vya kuingilia na kutoka nchini. Hata hivyo, Idara ya Uhamiaji Tanzania...
  15. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Miezi mitatu nafuatilia Passport mpya, napigwa kalenda tu, ni kweli UHAMIAJI mmeishiwa material ya kuprinti Passport mpya?

    Nilianza kufanya mchakato wa maombi ya kupata Pasi ya Kusafiria kwa kufuata njia halali, awali nilienda Kibaha Mkoani Pwani, kuna staff mmoja wa pale akanishauri kuwa kama nina haraka nifanye mambi yangu mtandaoni kisha nielekeze nikachukue Passport yangu hiyo Dar es Salaam Nikafanya hivyo...
  16. wakolosai

    JamiiForums Tanzania KERO Uzembe wa Idara ya Uhamiaji Tanzania katika Huduma kwa Wateja

    Ndugu wanajamii, Nimechoshwa na uzembe unaofanywa na Idara ya Uhamiaji Tanzania hasa kwenye masuala ya utoaji wa huduma kwa wateja. Kwanza kabisa, hakuna namba maalum ya huduma kwa wateja ambayo mtu anaweza kuipigia kwa msaada pale ambapo kuna shida yoyote. Ni aibu kuona idara kubwa kama hii...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni aongoza ujumbe kutembelea Idara ya Polisi, Zimamoto na Uhamiaji ya nchini Saudi Arabia

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Idara ya Polisi, Zimamoto na Uhamiaji ya nchini Saudi Arabia. Hiyo ni sehemu ya ziara ya kujifunza na kubadilishana uzoefu katika utendaji kazi wa idara hizo katika masuala ya Usalama ikiwemo...
  18. didy muhenga

    JamiiForums Tanzania uhamiaji

    Naomba kuuliza kwa mweny updates ni lini jeshi la uhamiaji litaita watu kwaajil ya mafunzo? na utaratibu wa jeshi la uhamiaj upoje kwa anaeingia na degree na yule wa form four. Nimeulizwa hayo maswal nmeona niyalete kweny jukwaa
  19. M

    JamiiForums Tanzania KERO Upatikanaji wa Passport kwenye ofisi ya Uhamiaji pale Kibaha Mjini bado ni changamoto

    Ni muda sasa tangu watu wafanye maombi ya passport lakini hadi sasa hawajapata hizo passport. Raia kila wakienda wanaambiwa changamoto ni mtandao. Ni miezi 6 sasa na wengine wanaambiwa wafanye maombi upya. Je ni haki? Uhamiaji wana matawi tofauti nchini. Kwanini wasiwape transfer waende...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga kwenda kucheza CAF champions Zanzibar, JKU na UHAMIAJI wamekataa kuchezea Zanzibar, Kuna nini?

    Timu za JKU na UHAMIAJI ni timu za Zanzibar kindaki ndaki kuliko Yanga. Hatukuelezwa kwanini JKU na UHAMIAJI hawakutaka mechi zao za mashindano ya CAF wachezee Zanzibar, lakini Yanga wanataka kwenda kucheza CAF championship mzunguuko wa pili Zanzibar. Kuna nini hasa hapo? Ufafanuzi...
Back
Top Bottom