Ongezeko la Wazanzibar kumiliki ardhi Matombo Morogoro linatisha

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,997
7,551
Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar.

Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamiliki ardhi.

Tangu lini raia wa kigeni akamilikishwa ardhi? Kwanini tusiige mfano wa nchi ya Zanzibar kuilinda ardhi yetu kwa sheria kali ili wageni wasimilikishwe?
 
Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar.

Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamikiki ardhi.

E bwana bei ya nafaka huko sh.ngapi? Sukari inapatikana?🙂
 
nchi hii itakuumiza kichwa .

wapo wanyarwanda wanamiliki maeneo sehemu mbalimbali, wakenya mpaka dar hapo,waarabu bandari ndio usiseme ilala wanamagorofa.

wazungu wenye maheka na maheka.
................................................................................................ pesa na rushwa ndio chanzo
 
Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar.

Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamikiki ardhi.

Tangu lini raia wa kigeni akamilikishwa ardhi? Kwanini tusiige mfano wa nchi ya Zanzibar kuilinda ardhi yetu kwa sheria kali ili wageni wasimilikishwe?
Acha chokochoko, hujakatazwa kumiliki ardhi au nyumba zanzibar fuata taratibu halali.
 
Rais Samia anawabeba wazanzibar wenzake kwa kuwamilikisha kiholela ardhi ya Tanganyika. Ipo siku moto utawaka. #Bringbackourland#
 
Acha chokochoko, hujakatazwa kumiliki ardhi au nyumba zanzibar fuata taratibu halali.
Taratibu watanganyika wanamilikushwa kama wageni yeyote yule sio wananchi wa zanzibar au tanzania kama hujui. Hii ni tofauti wao huku wanamilikushwa kama wananchi wa tanzania.
 
Zanzibar mtu wa bara ata kuendesha gari lazima uwe na kibali maalum zaidi ya leseni.
 
Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar.

Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamikiki ardhi.

Tangu lini raia wa kigeni akamilikishwa ardhi? Kwanini tusiige mfano wa nchi ya Zanzibar kuilinda ardhi yetu kwa sheria kali ili wageni wasimilikishwe?
Wanaruhusu vipi raia wa nchi wa kigeni kumiliki Ardhi Tanzania? Wafurumushwe hataka hao wahamiaji haramu!
 
Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar.

Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamikiki ardhi.

Tangu lini raia wa kigeni akamilikishwa ardhi? Kwanini tusiige mfano wa nchi ya Zanzibar kuilinda ardhi yetu kwa sheria kali ili wageni wasimilikishwe?
Huu muungano huko twendako tutakuja kuchinjana
 
Acha chokochoko, hujakatazwa kumiliki ardhi au nyumba zanzibar fuata taratibu halali.
Zanzibar wamesema mimi sio mkaazi wa kudumu hivyo sina haki, sasa hawa raia wao mbona wakija huku wanamiliki ardhi wakati sheria za Tanganyika haziruhusu wageni kumiliki ardhi?
 
nchi hii itakuumiza kichwa .
wapo wanyarwanda wanamiliki maeneo sehemu mbalimbali,wakenya mpaka dar hapo,waarabu bandari ndio usiseme ilala wanamagorofa.
wazungu wenye maheka na maheka.
................................................................................................ pesa na rushwa ndio chanzo
Pesa mbele Mzee wanamwaga Pesa hao wote uliowataja ni kweli wapo Ila wanamwaga Pesa Serikalini na Serekali inataka Pesa yaan kukitokea mwekezaji kalipenda eneo fulani na hilo eneo lina wananchi Serekali inaangalia Pesa ya huyo mwekezaji sio Mwananchi wa kawaida ambae hana Pesa kwa hio Serekali ipo tayari kuwafurusha wananchi wasio na Pesa imuweke mwekezaji mwenye Pesa ipate Pesa
 
Back
Top Bottom