uhaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    DOKEZO Simiyu: Kuna uhaba mkubwa wa mafuta ya Petroli kwenye Wilaya ya Bariadi

    Katika Mji wa Bariadi Makao makuu ya Mkoa wa Simiyu, mapema Leo Asubuhi kumekumbwa na Changamoto ya upatikanaji wa Mafuta ya Petroli. Nimetembelea vituo vya Mafuta 8 ambavyo vimekuwa vikitoa huduma ya mafuta ambapo vituo vyote 7 havina Mafuta huku kituo kimoja tu Total Energies ndicho chenye...
  2. SSH2025_2030

    Uhaba wa wasanii wa Reggae nchini

    Tasnia ya reggae imebaki mkiwa. Huku kila msanii akikimbilia kubana pua. Imekaaje hii wadau. Masela reggae inakufa na mmetulia tu. Wako wapi wazee wa Reggae 1. Innocent Galinoma, 2. Justine Kalikawe, 3.
  3. Determinantor

    EWURA wakanusha uhaba wa mafuta nchini

    Baada ya wananchi kulalamika uhaba wa mafuta Kwa baadhi ya maeneo nchini, hatimae EWURA wametoa tamko na "mkwara" kuwa mafuta yapo na kwamba makampuni yanayoficha mafuta yakae "chonjo"! Imeenda hio. --- Pia Soma: - Manyara: Upatikanaji wa Petroli Mbulu ni changamoto, Wananchi wanahaha kupata...
  4. DR HAYA LAND

    Tatizo sio Elimu Bali uhaba wa Fursa

    Nchi yetu Ina uhaba wa Fursa hata watu waliosoma skills From Vocational training , bado hawana opportunities za Kazi. So tujikite kuzalisha fursa na sio kuwapa lawama vijana.
  5. M

    Uhaba wa sukari mkoani Manyara unasababishwa na nini?

    Kwa takribani wiki moja sasa kumekuwa na uhaba wa Sukari katika Mkoa wa Manyara. Hali hii imesababaisha bei ya Sukari kupanda Kwa Bei, ambapo kilo moja inauzwa Kati ya Sh.3500 hadi 4500.00. Hivi hili ni tatizo la nchi mzima au ni Mkoa wa Manyara pekee!?
  6. J

    Kenya wamkejeli Samia kuhusu uhaba wa dola Tanzania

    Miezi kadhaa iliyopita Rais Samia alisikika akisema Tanzania ipo vizuri kwenye hifadhi ya fedha za kigeni, huku akisema kuna nchi jirani ina hali mbaya ambayo inahitaji msaada Kenya walielewa kuwa anailenga nchi yao yenye tatizo la fedha za kigeni pia) Sasa baada ya Tz kutangaza kuwa na uhaba...
  7. J

    Huu uhaba wa dola unasababishwa na miradi ya pupa aliyoianzisha Magufuli akijitapa sisi ni matajiri

    Miradi inatumia fedha nyingi za kigeni kufanya imports ya vifaa na kulipa wakandarasi Miradi mingi inatumia mikopo ambayo imeshaanza kulipwa kabla hata matunda ya mradi hayajaanza kuingiza kipato Haya mambo tulitarajia na tuliyasema kabla...
  8. Mwande na Mndewa

    Uhaba wa Dola; Wafanyabiashara wa Kariakoo wamkumbuka Hayati Rais Magufuli

    Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kwa tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo. Wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China...
  9. Determinantor

    Tuliwahi kusema kuwa Kuna uhaba wa kondom, haya sasa maambukizi yameongezeka!

    Niliwahi kuandika hapa jamvini kuwa kulikua na uhaba wa kondomu nchini, na kwamba Hali Ile isingedhibitiwa athari zake zingekuja kuonekana baadae. Juzi Ummy ametoa taarifa kuwa Kuna ongezeko la Maambukizi ya UKIMWI nchini, Yale tuliyoyaongea tukasimangwa ndio Leo hii yanajitokeza. Awamu ile...
  10. Mpinzire

    Kumbe kuna uhaba wa USD ($) Tanzania?

    Huko Twitter Carol Ndosi aliuliza "Kuna Uhaba wa Dola"? Majibu yalikuja ata kwa kwa watumishi wengine wa bank wakisema ndiyo! Sasa hizi mbwembwe za World Bank Uchumi wenu huko imara unatokana na nini kama Reserve yetu ya USD iko chini? Wachumi tuambiane! Mbona exchange ya USD bado iko...
  11. MK254

    Wagner watishia kujitoa kwenye mapambano, walalamika uhaba wa silaha na vifo vingi mno

    Walalamika kila siku wanapoteza wanajeshi elfu, haivumiliki tena maana Urusi haiwapi silaha ipasavyo, wametelekezwa.....wamechoka maana wazalendo wa Ukraine bado wanatembeza kichapo, yaani ndio kama wanapata mzuka mpya kila siku. ================= The head of Russia's mercenary Wagner Group...
  12. benzemah

    Serikali yaahidi hakutakuwa na uhaba wa sukari mwaka huu

    Moja kati ya masuala ambayo yamezoeleka kusumbua na kuleta tafrani katika jamii ya Watanzania ni uhaba wa Sukari ambao umekuwa ukitokea mara nyingi tu katika miaka iliyopita. Katika kuhakikisha Watanzania wanasahau changamoto hiyo kwa kuhakikisha sukari inapatikana ya kutosha mwaka mzima...
  13. N

    Serikali imekuja na mkakati wa kumaliza uhaba wa mbegu

    Ikiwa Serikali imeongeza bajeti ya Kilimo ya mwaka 2022/23 kwa 317% huku ikilenga kupanua eneo la umwagiliaji hadi hekta Milioni 8.5 ifikapo 2030. awamu ya sita iko kazini kuiwezesha sekta ya kilimo kukua na kuzalisha mbegu bora nchini, ili kuhakikisha usalama wa chakula wakati wote. Serikali...
  14. BARD AI

    Ripoti GHACOF63: Uhaba wa Mvua utaongeza Watu wanaokabiliwa na Njaa

    JF SUMMARY Mamlaka ya Maendeleo baina ya Serikali za Afrika Mashariki, (IGAD) imesema eneo kubwa la Pembe ya Afrika linatarajiwa kukumbwa Mzozo wa Kiuchumi zaidi kutokana na Ukame utakaoendelea kwa msimu wa 6 mfululizo. Nchi za Ethiopia, Kenya, na Somalia zinatarajiwa kupata mvua chini ya...
  15. BARD AI

    Wakulima Mbeya walia uhaba mbolea ya ruzuku

    Wakulima wa Tarafa ya Kiwanja, Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wamelalamikia uhaba wa mbolea na pembejeo za ruzuku. Wakizungumza haya Novemba 28, 2022 wakati wakizungumza na mwandishi wa habari hizi ambapo wamedai kuwa katika maeneo yao mpaka sasa hakuna mawakala wa pembejeo licha...
  16. GENTAMYCINE

    Uhaba wa Maji na Umeme ungetokea katika Taifa lenye Raia 'wanaojitambua' la Kenya Rais Ruto asingekuwa anazurula zurula tu kama nzi

    1. Sishangai sana ndiyo maana hata Kielimu tu Wakenya wamewaacha mbali sana Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi. 2. Sishangai sana ndiyo maana hata Kiakili tu Wakenya wamewazidi mbali mno Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi. 3. Sishangai sana ndiyo maana Wakenya ni Watu wenye...
  17. Dr Akili

    Huko Nyakato Mwanza tuliambiwa kuna mitambo ya kuzalisha MW 80 kwa kutumia dizeli. Kwanini sasa isiwashwe kwenye kipindi hiki cha uhaba?

    Nadhani ni kwenye awamu ya nne ya JK, mitambo ya kuzalisha MW 80 ilisimikwa huko Nyakato Mwanza ya kutumia mafuta ya dizeli kwa gharama ya mabilioni mengi ya pesa. Mahitaji ya umeme ya jiji la Mwanza hayazidi MW 3, hivyo MW hizo 80 zinatosha kwa matumizi ya kanda yote ya Ziwa Victoria ie mikoa...
  18. Dr Akili

    Je, sababu ya uhaba wa maji kwa zaidi ya miezi mitatu mfululizo jijini Mwanza, nayo ni ukame wa ziwa Victoria?

    Kwa zaidi ya miezi mitatu mfululizo, jiji la Mwanza limekuwa na uhaba mkubwa wa maji unao ongezaka kila kukicha. Chanzo chake cha maji ni Ziwa Victoria. Sababu zinazotolewa ni pamoja na ukame ulioikumba nchi nzima kuanzia kipindi cha kiangazi. Ni kweli kwamba Ziwa Victoria nalo zamu hii...
  19. Analogia Malenga

    RC Makalla: Ng'ombe wamesababisha uhaba wa maji

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema mto Ruvu umacha kutiririsha maji kutokana na wananchi wa Mvuha, Dutumi na Kisaki Mkoani Morogoro kiwa na ng'ombe wengi. Makalla na timu yake waliufuatilia mto Ruvu ili kujua sababu ya kutopitisha maji ambapo wamegundua shughuli za kibanadamu...
  20. Black Butterfly

    Ina maana DAWASA hawasafishi na kuzibua visima hadi kutokee uhaba wa maji?

    Jamani hivi mmegundua kuwa tangu itangazwe kuwa kuna upungufu wa Maji unaosababisha mgawo, DAWASA wameanza kuzibua Visima 161 mitaani huko ambavyo havikuwa vikifanya kazi. Kwa jinsi hali ilivyo ni wazi kabisa kuwa hawa jamaa DAWASA hawana kawaida ya kuchukua tahadhari yoyote kuhusu dharula ya...
Back
Top Bottom