Uhaba wa Dola; Wafanyabiashara wa Kariakoo wamkumbuka Hayati Rais Magufuli

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
948
2,857
Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kwa tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo.

Wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara, wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo, inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar.
 
Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli,Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama,kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,
Wakati fulani zilikuwa bwerere kwani zile za burea de change ziliingia kwenye store moya.🤔
 
Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,
Mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya
 
Nyie wafuasi wa jiwe acheni upumbavu tatizo la dora kuadimika liko karibia nzima na hii inasababishwa na wenye dora yao kupunguza $ kwenye mzunguko ya wa biashara duniani ili wapambane na mfumko wa bei kwenye nchi yao.
Toa ushahidi wa unachodai wenye dollar yao wameiondoa kwenye mzunguko
 
Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,
Mtajua hamjuwi
 
Bureau hazihusiki na upotevu wa pesa.

Pesa ziko Bank Kuu wao ndo wauzaji wa Dollar kuja kwa mabenki ya chini yake
 
Nyie wafuasi wa jiwe acheni upumbavu tatizo la dora kuadimika liko karibia nzima na hii inasababishwa na wenye dora yao kupunguza $ kwenye mzunguko ya wa biashara duniani ili wapambane na mfumko wa bei kwenye nchi yao.
Mlamba asali mwingine huyu hapa!
 
Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,
Tulikuwa tunachangia humu ndani kuwa hizo bureaux zilipofungwa ilikuwa ni hatua sahihi. Wengine walitubeza kuwa hatujui kitu.

Hizo bureaux zinatumiwa na mafisadi kutorosha pesa nje kama ilivyo kwa Kenya. Pr Luoga alikuwa makini sasa huyu wa sasa ni laizez affair na sidhani kama anayaelewa vizuri haya mambo ya fedha.
 
Wewe hata kuandika neno dola unashindwa ni kazi kwako utakuwa na akili kweli? Pumbavu zako bwege wewe!
Si bora mm nisiye jua kuandika kuliko ww kuwa na upumbavu wa kiwango cha kumuabudu jiwe kama mungu.

Eti wana mkumbuka jiwe kwa hiyo jiwe ndo alikuwa mchapisha $ mpaka mseme kuwa angekuwepo kusingekuwa na uhaba?

Mataifa makubwa yenye nguvu za kibiashara duniani kama Uturuki,S.africa na Misri yana upungufu wa $ sembuse hiyo nchi yenu inayo nuka umasikini kila mahali?
 
Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kea tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo,wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China RMB ni hasara kwa mfanyabiashara,wakati wa Magufuli, Bureau zilizuiwa lakini Dola ilipatikana bank tena kwa wingi lakini hivi sasa bureau zipo na bank zipo lakini Dola haipo,inawawia vigumu kuagiza bidhaa kwa kutuma transfer bank ambapo inawapasa watume Dola na bank hazina hizo dollar,
Wamkumbuke yule katili?hebu kuwa serious bhana yule alowatesa wafanyabiashara wakaishi kama mashetani leo wamkumbuke?
 
Back
Top Bottom